Wana jamii
Napenda kuchukua fursa hii kukuomba Mh Rais ukiona kama itafaa kuondoa agizo lako la kusudio la kukata umeme Zanzibar, najua kauli yako ni agizo kwa watendaji wako vilevile ningeomba...
President Yoweri Museveni’s recent state visit to Tanzania was to rescue the crude oil pipeline project after Dar officials pushed to revise the low tariff that lured Uganda to prefer the southern...
Ndiyo hivyo CCM inaongoza Tanzania na itaendelea kuongoza Tanzania kwa miaka 50 mingine ijayo hilo halina ubishi, na sababu ni kama vile British Monarchy mpaka leo hii bado inatawala Makoloni yake...
Heshima kwenu wakuu,
Hii kesi ya Richmond siielewi, yaani sijui Sheria inafanyaje kazi kwenye hii kesi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 21, 2017 itatoa hukumu katika kesi ya Richmond...
Kwanza kabisa naaza na kusema TLS ni toothless society sababu mawakili wengi wamejikita katika maslahi yao binafsi kuliko masuala ya jamhuri. Hivyo wanachi wengi wanakosa msaaada wa kisheria na...
Toka uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 upite wabunge wateule hawaonekani majimboni kwao kusikiliza na kutatua kero za wananchi wao kama wawakilishi wetu.
Ukizungumza na wananchi wengi ukawauliza mbunge...
Eti mtu mmoja cheo kimoja.
Kama kweli rais Magufuli anataka wazo lake hilo likubalike, basi aanze yeye kujivua uenyekiti na rais wa Zanzibar ajivue umakamu mwenyekiti Zanzibar. Kama hilo kwao...
Natoa rai fupi lakini muhimu kwa viongozi wa kiserikali na kichama (CCM) kuhusu suala ya deni la umeme la Zanzibar. Suala hili linapaswa kufanyiwa kazi kwa umakini na uangalifu mkubwa. Suala hili...
Tathmini inaonyesha kwa sasa nguvu ya upinzani imebakia CHADEMA tu baada ya CUF, NCCR na ACT kupoteza dira na mwelekeo.Ndio kusema CHADEMA yenyewe iko mikononi mwa Lowassa na hata ukiangalia...
Viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro hapa Arusha vimeshafurika wananchi wa Arusha. Wapo hapa kumsubiri Mbunge wao wa Arusha Mjini na Viongozi wenzake wengine ambao watafanya mkutano wao wa...
Hili si la kubisha tena, ndugu yetu na katibu wetu Wa chama chetu anapwaya katika nafasi aliyokabidhiwa
Nini kifanyike ? Ushauri kwa mwenyekiti Wa chama plz
Wananchi wa Rukwa wameiambia Serikali kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 itabidi Serikali ichukue wanyama 'viboko' mitoni ili waipigie kura kwa kuwa inawathamini wanyama hao kuliko binadamu...
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana...
Wadau, amani iwe kwenu.
Kama nilivyoahidi tangu jana kuwa kuanzia leo tarehe 10 Machi 2017, nitaanza kuwaumbua wale wote wanaopanga na kushiriki mikakati ya kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM...
Haya sasa, naona kasi ya vyeti sasa imetua Bungeni,kwa waheshimiwa ambao nao inasemekana hawajakwenda shule.
Zamu hii sakata limetua kwa Mbunge wa Mtera, Mh Livingstone Joseph Lusinde,yeye...
JESCA JONATHAN MSAMBATAVANGU.
Unatafuta nini kwa kupinga mabadiliko ya katiba ya ccm.
Tunataka ufahamu kuwa mipango yako yote ya kupinga dhamira nzuri ya chama cha mapinduzi imefahamika,umekuwa...
Kupitia mwaka wa fedha 2016/17 serkali ilitenga fungu la kuweza kuajiri watu zaidi ya 70000
bunge hilo la bajeti lilihizinisha kiasi hicho lakini mpaka sasa ninauhakika kiasi hicho kijatumika...
IKO WAPI TANZANIA YA VIWANDA?:
Ni takribani mwaka mmoja na nusu sasa umepita laki bado ile “Tanzania ya Viwanda” tuliyohubiriwa kwa mbwebwe na msisitizo wa sauti za juu, Pushapu nyingi na za...
Maswali Muhimu yenye kuhitaji majibu toka kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ambaye hivi sana, he is in absentia, au kwa maneno mepesi aliyepotea au AWOL (Absent Without Leave) kwa ufupi wake.
Na...
Ni kupitia Soko la Hisa la Dar es salaam
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt.Ashatu Kijaji, ameipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC kuwa ya kwanza kutekeleza sheria ya EPOCA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.