Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Haji Omar Kheri, amesema Zanzibar ina mpango wa kuweka Camera za CCTV katika baadhi ya Maeneo Zanzibar katika kukabiliana...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwenendo mnaokwenda nao ni kuhamasisha vurugu kubwa isiyowahi kuwapo hapa nchini. Haiwezekani wabunge na viongozi ambao wanafaa kuwa mfano wa kuiga leo wanageuka kuwa kioo cha utovu mkubwa wa...
1 Reactions
3 Replies
795 Views
Katika kutetea maslahi ya wengi lazima wengine tujitoe muhanga, na hili halitapita hivi hivi tutakwenda Mahakamani
10 Reactions
96 Replies
9K Views
Salaam wakuu, kwanza poleni sanaa kwa uzuni tulizonazo kwa kuondokewa na mzee wetu Ndesamburo Niende kwenye lengo kutokana na vuta nikuvute kati ya Bulaya, Mdee na Mnyika kamati ya maadili...
0 Reactions
10 Replies
986 Views
Ni habari za kuaminika kwamba mipango imekamilika kabisa kama CCM watamteua Lowasa kugombea urais kupitia chama hicho basi kundi la Sitta litaunganisha nguvu na CHADEMA kuhakikisha CCM inapotezwa...
7 Reactions
140 Replies
10K Views
Wadau naomba tusaidiane kuliokoa Bunge letu japo Kwa ushauri.Bunge letu kuyumba Na kutokuwa imara kama mabunge yaliyopita tatizo ni nini? Elimu ndogo Kwa wabunge wetu? Kuwa la kichama sana Kwa...
0 Reactions
39 Replies
2K Views
LEO taifa linaadhimisha kifo cha muasisi wa taifa letu, Mwalimu Julius Nyerere. Katika maadhimisho haya hotuba mbalimbali hutolewa, shughuli mbalimbali hufanyika, ibada na kuweka mashada ya maua...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
  • Redirect
MH. NDUGAI, TOKA LINI UMEKUWA RPC, KAMANDA SIRO AU AMIRI JESHI KUU?. Kwanza nianze na kuwapa pole wale Askari wa bunge waliondolewa bungeni kwa kosa la kuchelewa kumkamata na kumtoa nje Mh...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Bunge letu limetoka mbali sana, ila niatajikita katika bunge la vyama vingi, bunge ili limeanza Mwaka 1995, kuwa na Wabunge wengi wa upinzani.. Matarajio yetu sisi wananchi kungekua na mambo mengi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndugai ni nduli Dikiteita Idd Amin Dada
0 Reactions
Replies
Views
Baada ya yule Prof. kuwa katibu mkuu, na sasa Anna Mgwira, bila shaka itafuata zamu ya Zitto Kabwe. Hivyo Mh. Zitto Kabwe anaungana rasmi na waheshimiwa Lyatonga, Ahamadi Rashid, Lipumba, Lamwai...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
CHADEMA IMENUNULIWA, UKAWA IMEKODISHWA, BORA LENDE! Naona kuna upotoshaji mkubwa unafanywa na watu dhidi ya chama chetu cha ACT, nafikiri kuna haja ya kuweka mambo sawa au kukumbushana tu, sababu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Kuwatetea wanaCCM waliopewa adhabu kuliko wanaCCM wenyewe kiasi cha kutoa cheo cha ushujaa kwa wanaofukuzwa ama kupewa adhabu kutokana na kwenda kinyume na chama cha CCM. 2. Wanamchukia Prof...
17 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwanini asinge unganisha lake chala lake jipe akapindisha kuicha maranu Kenya. Swali maranu kuna nini? Alikuwwa na interest gani kukata vitu vyote vizuri kama lake chala, mt. Kilimanjaro,lake...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Salaam wakuu, Siku mbili baada ya Rais John Magufuli kupokea ripoti ya Kamati ya Prof.Abdulkarim Mruma, iliyochunguza mchanga wa dhahabu unaosafirishwa nje ya nchi, Katibu wa NEC Humphrey...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mh. Spika, kumbuka ulimpiga mtu fimbo akazimia, Jamii ya watanzania, ndugu jamaa na marafiki wakakusamehe/ukasamehewa, nawe samehe usamehewe! “Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa. Msilaumu, nanyi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Viongozi wa dini wanajiandaa kumpa tuzo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kwa utendaji mzuri uliojaa ubunifu na uwajibikaji. Hayo yameelezwa katika...
2 Reactions
5 Replies
926 Views
Kutokana na geographical nearness ya Arusha na Moshi kuwa ni Mwendo wa Lisaa Limoja hadi Moshi. Mrisho Gambo ameamua aache shughuli zake zote za Leo na kwenda Kuhuduria na kutoa Pole Kwa Familia...
11 Reactions
82 Replies
11K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa mfuatiliaji wa siasa hasa za wabunge hapa Tanzania. Wakati bunge linarushwa mubashara vipindi vya jioni vilikuwa havinipiti na nilifanya jitihada kupata kila...
0 Reactions
1 Replies
611 Views
COORDINATOR Sn. Position Quantity 1 Training Coordinator 1 a. Reports to: VTC Principal b. Job purpose: To effectively and efficiently administer and maintain trainees’ enrolment, registration...
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Back
Top Bottom