Naibu Katibu Mkuu wa CUF-Chama Cha Wananchi, Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, atakuwa Live na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Ofisi ya Makao Makuu, Vuga, Mjini Unguja. Kupitia...
Kupitia mwaka wa fedha 2016/17 serkali ilitenga fungu la kuweza kuajiri watu zaidi ya 70000
bunge hilo la bajeti lilihizinisha kiasi hicho lakini mpaka sasa ninauhakika kiasi hicho kijatumika...
Ndugu zangu, nimeshindwa kuelewa kwanini benki kuu wanaposti report ya hali ya uchumi ikiwa na makosa, kwa kukopi na kupaste kile walichoripoti mwezi uliopita. Katika repoti ya hali ya uchumi ya...
Ni kweli kwamba biashara ya viroba ilikuwa biashara halali,na ilikuwa na leseni zote.
Katika kipindi ambacho biashara hiyo ilikuwa halali,kuna wafanyabiashara walinunua stock kubwa na kuweka...
MAGUFULI WAKATI POVU LA MDOMO LIKIKUTOKA NA “KA-TA” UMEME ZANZIBAR KWA DENI LA BILLIONI 121 TUNAKUKUMBUSHA KUWA TANESCO INAENDESHWA KWA RASLIMALI ZA MUUNGANO IKIWA NI PAMOJA NA KODI YA MAPATO...
Uchumi waathiri sekta za kilimo na viwanda Tanzania
28 Februari 2017
Mshirikishe mwenzako
Ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania inaeleza jinsi ukuwaji wa taratibu wa uchumi wa taifa ulivyo athiri...
Kuna wakati unaweza ukaona vyema Ikulu kuongozwa na genge la wahuni wenye hofu ya Mungu na maadili kwa wananchi kuliko ikaongozwa na Mtu mmoja anayejipa ufalme na ukuu wa miliki zote hadi zisizo...
Habarini
Ningependa kuweka kumbukumbu sawa kuwa wale wabunge wawili wa CCM na Chadema wa mkoa wa Mara waliomuudhi Mh.Rais kwa kuachiana mda wa kuongea bungeni walikuwa wakichangia kuhusu...
Kama kawaida nikiwa mdau wa masuala ya Siasa za Tanzania nimeona ni jambo la Afya kwa pamoja tukijikumbusha na kuziangalia sifa zinazozingatiwa wakati wa Uteuzi wa mgombea wa Kiti cha Ubunge...
"Katika mazingira ya sasa kwenye sekta ya afya
huko nchini Kenya, kukubali kuajiriwa nafasi ya
udactari Kule, ni Sawa na uvamizi wa AJIRA za
wenyeji, siyo hivyo tu, Bali ni Sawa na uharamia
dhidi...
Sakata la kushikiliwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini, Yusufu Manji limeendelea kuchukua sura mpya, safari hii yakiibuka mabishano Mahakama Kuu baada ya Serikali kukana kumshikilia...
Ha ha ha ha, siasa ni maisha, siasa ndo kila kitu, ukiweza kuzicheza vzr bac mambo yako yatakunyokea tu!
Hawa ni magwiji ambao wamekuwa mahili sana ktk kuzicheza turufu zao kwenye siasa zetu wkt...
Nina uona ushindi wa Baba Jesca kuwa chini ya 40% ifikapo 2020.
J.K kipenzi cha watanzania mtoto wa mjini ushindi wake ulishuka kutoka 80.28 Mwaka 2005 mpaka 62.83 Mwaka 2010 likiwa ni anguko la...
Nape bado ni kijana mdogo, ana nafasi ya kujiimarisha zaidi kisiasa. Binafsi ningemshauri kuungana na Benard Membe, Sophia Simba na Mama Salma ili kujiimarisha zaidi na kuhakikisha wanaiteka kanda...
Moja ya sifa kuu za kiongozi wa taifa nikulinda umoja na amani ya watu wake.
Kiukweli kabisa Mh Magufuli hili tayari limemshinda na sasa taifa kila mtu anasema la kwake. Umoja wetu, mshikamano na...
Push-Up Anniversary! Ubishi Unaendelea.Sasa Leo Warudi hapa...!
Leo ni Mwaka Mmoja Tangu mgombea Urais wa CCM John Pombe Magufuli alipoongeza nguvu katika kampeni zake za Urais kwa kuaminisha...
Arusha. Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo ni miongoni mwa makada wawili wa Chadema waliojitokeza kuwania uenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini.
Katika uchaguzi huo...
Unaweza Ku imagine mtu kajeruhiwa damu inatoka puani na mdomoni,halafu wewe unakuja kuzuia damu isiendelee kutoka kwa vile itaisha.Wazo lako ni zuri.Ila unapoziba pua na mdomo ili kufanikisha...
Salam!
Moja kwa moja kwenye mada.
Ubakaji (kutoka mzizi wa Kiarabu) ni tendo la kumlazimisha mtu afanyiwe asichokubali.
Juzi juzi hapa,media zimelalamika kufanyiwa vitu wasivyovikubali,aka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.