Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Chama cha chadema kimefanya kazi ya ziada leo hii mitaa ya mbezi baada ya kupokea taarifa kutoka kwa wasamaria wema kuhusu hujuma zinazofanywa na wafuasi wa ccm, mpaka sasa mtuhumiwa anahojiwa...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Mapambano dhidi ya Rushwa ni suala la Kisera linalohitaji utashi mkubwa sana wa kisiasa kwenye kuyafanikisha. Tangu enzi za "Tume ya Rushwa" iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba, mahakama ilitajwa...
0 Reactions
4 Replies
797 Views
LHRC wamepinga kuongezewa mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya Independent Power Tanzania Limited, Wanasema kampuni hii inahusishwa na kashfa ya uchotaji wa mabilioni kupitia akaunti ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tangu kuingia mfumo wa vyama vingi nchini tutakumbuka kuwa kulikuwa wanasiasa wa upinzani wenye vipaji vya kuongea na wapangiliaji wazuri wa kuisema serikali ya chama tawala lakin mwisho wa siku...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
  • Redirect
Kitendo cha CCM kukurupuka na kuanza kunadi majukwaani kuwa matukio ya mauaji yanayoendelea huko ni ya kisiasa hakika tumefeli kabisa, na Tatizo hili tutapata taabu kulimaliza. Tunashindwa...
0 Reactions
Replies
Views
Wabunge wetu hakika hawajielewi, nadhani kujua kwao kusoma na kuandika ndio matokeo ya yote haya. Katika mazingira ambayo serikali imefeli sana katika utekelezaji wa bajeti iliyopita unapata wapi...
18 Reactions
61 Replies
5K Views
  • Redirect
Katika Biblia Takatifu, kwenye kitabu cha Mwanzo 4:1-10 tunakutana na simulizi la kusikitisha la Ndugu wawili wafahamikao kama Abeli na Kaini, kutokana na wivu, Kaini anamuua Ndugu yake, na...
2 Reactions
Replies
Views
Kuna makosa makubwa tena fanywa na polisi , Wachangia maada hapa n.a. wanachama wavyama cha siasa. Polisi:mnapo pewa information ya kikundi fulani kina husika hiyo information iwe siri.mkiaambiwa...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Wabunge ni miongoni mwa watu wanaoutumia sana mtandao wa Jamii forum, hivyo nimeona kupitia thread hii ni raisi kwa Wabunge kusoma yale yanayoendelea na kusemwa juu yao. Ukipita mitaani,sokoni ...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Wananchi waelimishwe tena wazi wazi kwamba askari kama hana kitambulisho asiruhusiwe kuondoka na mtu au kumkamata (isipokuwa kama amevaa mavazi ya kiaskari). Tunapoelekea hao wajulikanao kama...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Redirect
Nina imani kubwa sana na idara ya usalama wa taifa TISS ktk Utendaji kazi wake, mauaji ya kibiti, ni mauaji ya kishenzi na kikatili Sana. Wauaji wanaonekana kuwa ni kundi hatari Sana ambalo...
6 Reactions
Replies
Views
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. 1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro Ukweli ni kuwa...
66 Reactions
271 Replies
36K Views
Mama Anna Mghwira Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro aitembelea familia ya Ndesamburo na kutoa pole kwa wafia kwa kusaini kitabu cha maombolezo alipowasili mkoani hapo kuanzia kazi baada ya...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Maneno yangu ni kiduchu tu! Mh Tundu Lissu alishasimama kidete muda mrefu kupigania mikataba mibovu ya madini nchini, aliitwa mchochezi na kisha akafungiliwa kesi mahakamani. Hivi sasa wengi...
11 Reactions
38 Replies
24K Views
Nimeona taarifa ya ikulu jumatatu ile kamati ya rais ya pili kuhusu madini itawasiisha ripot yake na vyombo vyote vya habari vitakuwa mubashara. Ni japo jema sikatai,Ila lazima Watanzania muwe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bunge letu lina wabunge wa kambi ya upinzani kutoka vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na ACT-Wazalendo. Ikumbukwe kuwa CCM ina wabunge 276, CHADEMA ina wabunge 72, CUF 42, NCCR-Mageuzi 1 na...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Kupitia TBC Habari Waziri wa Mambo ya ndani ameamuru jeshi la polisi kuachia magari yote yaliyokamatwa kwa kosa la kutokulipa kodi ya leseni ya barabara. Mwigulu akiwa katika mkutano wa hadhara...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Salama. Ama baada ya salamu naomba nisaidie kujulishwa tozo, ushuru, kodi na michango yote inayotozwa kwenye bidhaa za mafuta ya petrol
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom