Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Najiuliza sana maswali kuhusiana na wabunge waliohusika na kupitisha mikataba yenye ukakasi kwa kupiga kelele za "ndiyooooo" Wengi wao(bila shaka) hupiga hizo kelele bila hata kujua yaliyomo ndani...
0 Reactions
1 Replies
554 Views
  • Redirect
1. Ni utani ulioje kwa aliyekuwa wa kwanza kuitikia ndioooooooooooooo! kwa lisauti la kuunguruma na kushangila miswaada kupita pia akifurahia wapinzani kufukuzwa nje ya geti la bunge leo...
4 Reactions
Replies
Views
Kampuni ya Acacia iliyoenda kinyume na Makubaliano kuhusu mchanga wa Madini ipo kwenye mkakati wa kupunguza wafanyakazi hasa kwenye sekta ya ulinzi. Inadaiwa watu 400 wataondolewa. Chanzo: The...
2 Reactions
130 Replies
10K Views
Wakuu, nikiwa kama Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu huwa nasikitika sana jinsi akina Lissu, Mdee, Zitto, Kafulila nk jinsi wanavyodhihakiwa huku wakitetea maslahi ya Watanzania. Binafsi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jana nilikuwa makini kuangalia Tv ili kujua ripoti ya Tume ya pili juu ya uchunguzi wa mchanga pamoja na ushauri wa nini kifanyike. Raisi aliongea kwa uchungu sana, na mwisho akasema Watanzania...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
  • Redirect
Mheshimiwa Raisi wangu ukimaliza hili la mikataba ya madini/makinikia naomba tuelekeze nguvu hiyo hiyo kwenye mikataba ya gesi Mtwara.
0 Reactions
Replies
Views
habari wadau. jana nimemuelewa rais wangu kipenzi why hataki wamachinga wasumbuliwe. maana wanahangaika wapate ugali wao tu sababu rasilimali zao zote kama watanzania viongozi mnaziiba na bado...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie...
3 Reactions
85 Replies
9K Views
  • Redirect
hii barua inautata .. huyu mwandishi alikuwa amekurupushwaaa au ndio mwisho wa ufahamu wake?? barua imeandikwa 29 may 2016 ikijibu barua ya 04 may 2017....????
0 Reactions
Replies
Views
ACACIA imeundwa kimkakati ili ikitokea chochote haswa kesi za ukwepaji kodi au utoroshwaji wa maliasili iwe ngumu kuiwajibisha kisheria. Ni dhahiri kuna watu ndani ya Tanzania wamevuta pesa ndefu...
1 Reactions
2 Replies
674 Views
1. wakati miswaada hii ya kijambazi inapelekwa bungeni kwa dharula upinzani ulitolewa nje ya bunge kwa amri ya maccm ili yaitikie ndiooooooooooo na mkulu akiwa wa kwanza kwa sauti...
0 Reactions
5 Replies
715 Views
Ni kweli yawezekana kuwa kujiuzulu Uwaziri kumepokelewa kwa furaha na wengi (mimi mmoja wao). Yawezekana kwa kufanya hivyo uchunguzi utakuwa huru (sidhani alikuwa anazuia uchunguzi anyway)...
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Wakati Mahakama ya Kisutu imetoa arrest warant leo Chenge akamatwe, Kikwete anaingia jimboni kwake Bariadi Magharibi kumnadi kama alivyofanya kwa Mramba na Lowassa. Mahakama imeona kuwapo kwa JK...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Leo hii picha ingekuwa na maana sana. Na mimi ningelia maana haya malori yote yangukuwa yetu 100 % tuliyochimba sisi.... Kwa nini pamoja na utajiri wote tuliougundua tunao tume haikutoa wazo la...
0 Reactions
6 Replies
613 Views
Katika kile ambacho wachunguzi wa mambo ya kisiasa wamekiita tukio la kimapinduzi na mwanzo wa mabadiliko mapya ndani ya CCM, Mgombea wa Urais kwa ticket ya CCM Dr. John Magufuli amefanya kile...
1 Reactions
297 Replies
32K Views
Wakuu, Tumesikia watu wakishangaa Benki Kuu kuwa na PhD holders 17 lakini hawakurekodi dhahabu kama export yetu kwa muda wote huo. Sasa na mimi ningependa kujua, mabaraza ya mawaziri kwa nyakati...
0 Reactions
5 Replies
569 Views
Kwa Nguvu Kubwa inayooneshwa na huyu mama ni Wazi Kuwa Chadema watakua na Maumivu mengine mtu asiyeweza Kutembea kwa gari Nchi nzima ama kuhutubia kwa angalau dakika 8 atakua akigombea Urais...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom