Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Baada ya Magufuli kuingia kama kiongozi wa awamu ya tano; bila shaka na sote ni mashahidi kuwa ameleta changamoto kubwa sana katika public sector na Taifa zima kwa ujumla. Nchi yetu ilikua...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
wakuu Nchi inahitaji saaana busara na hekima toka kwa wazee, hivyo tunawazee ambao ni wakongwe na wabobezi wa siasa tunahitaji kusikia sauti zao zilizojaa nasaha! Ni dhahili sasa nchi imepitia...
5 Reactions
46 Replies
7K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi wapendwa Kabla ya yote husika na kichwa cha habari hapo juu Najua hizi ni habari mbaya sana kwa ndugu zangu watetea wezi Ukweli ni huu hapa, uchaguz ujao Lissu huna...
10 Reactions
78 Replies
7K Views
Jimboni kwake tuna shida nyingi, tena siyo shida za kukalia kimya. Tunapatwa na mshangazo kuona mbunge wetu kuwa kimya. Ukimya huu labda ungefanywa na mbunge ambaye jimbo lake walau...
7 Reactions
75 Replies
11K Views
Kwa maswala ya kimkoa kwa moyo mmoja tumechagua UKAWA sasa iweje CCM kuingilia maamuzi yetu?
22 Reactions
83 Replies
5K Views
  • Redirect
Waziri mkuu amepokea pole kwa mauajiyanayofanywa Kibiti na sasa wanahakikisha wanawapata wahalifu halisi ili kuepuka kuingiza watu wasiohusika kama watu wanavyoleta hisia kuwa mauaji hayo...
0 Reactions
Replies
Views
UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa m/kiti wa TIC
5 Reactions
96 Replies
16K Views
  • Redirect
Mwigulu Nchemaba amesema anaweza kufungia taasisi zinazopingana na kauli ya Rais aliyoitoa huko Pwani na kusema hayo yalikuwa ni maelekezo na sio maoni na hawahitaji mjadala Amesema msimamo ni...
0 Reactions
Replies
Views
Kama lengo la serikali ni kutunza maadili na kuzuia ngono katika umri mdogo basi justice for all!Sio wale watakaotiwa mimba tu!Napendekeza watoto wawe wanapelekwa hospitali kila mwanzo wa mwaka wa...
0 Reactions
6 Replies
825 Views
Awamu ya tano ipo kuuwa Upinzani kwa nguvu si kwa sera, kuweni Makini. CUF ni mwanzo tu, yafaa kuungana kuipigania CUF ili wasione ni njia ya kuuwa Upinzani, Yafaa kuishitaki Tanzania hata...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kimsingi nimewahi kufanya kazi na serikali zote, lakini hii ya awamu ya tano ni kiboko. Haya ni baadhi tu ya mambo ya uwongo ambayo waliwahadaa watanzania; . 1: kila kijiji kitapewa milioni 50...
16 Reactions
69 Replies
5K Views
Wana jf wenzangu Idd Mubarak Awali ya yote ninamshuru mwwnyezi Mungu kwa kunipa afya njema Leo tena. kuna mambo kadhaa ambayo kama mkulu asipokuwa makini na kuyarekebisha atajikuta anafanya kazi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Redirect
Ulokole wa Mwigulu Nchemba hatari kwa usalama wa Taifa Tanzania ni Taifa lisilofungamana na dini yoyote kwa mujibu wa Katiba yetu (1977), katika ibara ya 3. Lakini, kila kukicha, utamsikia Rais...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Waziri Nchemba awatisha wanaopendekeza Wanafunzi wazazi kurudi shuleni Chanzo: swahilitimes.com WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ametishia kuzifutia usajili asasi zisizo za...
1 Reactions
Replies
Views
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism). Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu. Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari...
68 Reactions
358 Replies
28K Views
  • Redirect
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, imeufuta mtaa uliopewa jina la mchezaji wa Kimataifa wa Kenya katika Kata ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Kamati ya Kata ya Ubungo jana...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu viongozi wa Dola, heshima kwenu. Kuna hili suala Kila siku mnahimiza wananchi kulipa kodi. Ni jambo jema Sana, kwani kodi ni msingi wa maendeleo kwa serikali bora, serikali inayotumia...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
  • Redirect
RAIS MSTAAFU MWINYI amesema "Kama si utawala wa Katiba uliopo nchini, utawala wa Rais John Magufuli unapaswa kuendelea kuwepo miaka yote."
0 Reactions
Replies
Views
THE CIVIC UNITED FRONT (CUF–Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMM A NA VYOMBO VYA HABARI Imetolewa leo Tarehe 25 June, 2017 VIONGOZI WA CUF, WANACHAMA NA WANAPENDA MABADILIKO NCHINI MPUUZENI...
8 Reactions
64 Replies
5K Views
Uhuru wa kujieleza nakupata Habari uko Kikatiba na Kimataifa pia tumesaini Kama Haki za Binadamau, Uhuru wa Vyama vya Siasa Upo kisheria Tanzania na Duniani kunamikataba Tumesaini ya Uhuru wa...
2 Reactions
5 Replies
969 Views
Back
Top Bottom