Rais kasema hawezi kunyonga! anaogopa kunyonga kwakuwa anamuogopa Mungu!!.
Sasa kwakuwa wapo hadi leo walio hukumiwa kifo,inamaana wataendelea kula bila kufanya kazi kwa kipindi cha miaka 8! na...
Miaka zaidi ya 18 sasa toka baba wa taifa atutoke naukumbuka sana mwaka huo 1999 wakati radio tanzania ilipotoa tangazo la kifo chako yalikua ni majonzi ya hali ya juu kwa watanzania wote na watu...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Bw. Kailima Ramadhan amewaasa wadau wa uchaguzi kuhakikisha kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani utakaofanyika katika Kata 43, Novemba 26...
Tangu uchaguzi wa kanda ulipomalizika na ndio ilikua mwisho wa kusikika sosopi akilalamika demokrasia kuzingirwa na uongozi wa chadema taifa,hasikiki tena kiongozi huyu kijana haijulikani nini...
TUMTENDEE HAKI LISSU
Kwa wale walioamua kumponda au kumkebehi Lissu eti tu kwa maamuzi ya Serikali na Acacia hawamtendei haki.
Kwanza Lissu alikuwa hashindani na mtu yoyote isipokuwa alikuwa...
Wale tuliobeza makubaliano haya tujifikirie upya !Tuendelee kushikamana kama watanzania na wazalendo.
Tuwapuuze watu kama kina Zitto ambao ni wasaliti na watetezi wa matumbo yao.
Hebu tusome...
Salamu wanajamvi!
Naam! Ndivyo unavyo weza kusema. Hujafa hujaumbika. Usemi huu umesadifu barabara mazingira ya Nchi yetu kwa sasa kiuchumi na kisiasa.Niwarudishe nyuma kidogo, miaka ya 60 , na...
Kwa muda sasa niliamua kukaa kimya tu, nisitoe mchango wangu wa kisiasa, hasa siasa za nchi za kiafrika. sababu kuu ni kutoridhishwa namna siasa za kiafrika zinavyoendeshwa.
Lakini baada ya kale...
Ndugu wanabodi,habari za asubuhi!!!!!!!!!!!!!
Kwahali inayoendelea sasa katika nchi yetu kuna muhimu umuhimu kwa waastafu wote kwa kila idara waje watusaidie kutoa ushauri jinsi kuendeleza...
Ziara ya Kagera, Magufuli chagua pia mwenyewe ambako ungetaka kwenda, yaoonesha wasaidizi wako hawapendi uje huku makwetu Rusahunga - Ngara kwani bila shaka utawatumbua tu.
Mh. Rais ilikuwa...
Sote tunakumbuka jinsi Rais alivyokaa muda mrefu kabla ya kuunda Baraza la Mawaziri. Lakini sote pia tunakumbuka kwamba Baraza hilo la mawaziri limebadilishwa mara kadhaa kwa wengine kuondolewa na...
2 years on: Tanzania’s Magufuli isn’t a bulldozer. He’s a magician.
BY DAN PAGET
NOVEMBER 6, 2017
President John Magufuli hasn’t just “pushed through” change. He’s achieved things that were...
Kabla ya mechi ya marudiano kati ya South Africa na Senegal kuanza, wachezaji wa South Africa walifanya mazoezi ya kupasha misuli wakiwa na fulana zenye kutangaza utalii wa nchi yao.
Jezi zilikuwa...
Habari zenu wote, wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani. Maslahi ya Wafanyakazi yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli, pia imeelekea...
Najiuliza tu endapo kila Waziri atasimama bungeni na kusema " sasa naiagiza Takukuru imshughulikie/ chunguze fulani" ina maana hao Takukuru wanasubiri kuagizwa na si kuinitiate wao wenyewe...
Takribani miaka miwili nimekuwa nikifatilia mienenendo na tabia za upinzani na watu walio ndani ya upinzani nimegundua ni watu wasioleweka japo sio wote .
Tangu mwaka 1995 hadi 2015 takribani...
Wachambuzi karibuni.
Mwl. Nyerere alisema,ili tuendelee tunahitaji mambo kadhaa,muhimu ikiwa ni Ardhi, Watu ,Uongozi bora na Siasa safi . Hapo kwenye kuendelea,naamini alimaanisha ni pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.