Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Mpenda kiki katika juhudi zake za kumrudisha Bashite kwenye Public, huku akielewa kuwa vyombo vyote vya habari vipo hewani Chongeleani Tanga, akaona huo ndo wakati muafaka wa kuwapatanisha Ruge na...
8 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo limefanyika tukio la kihistoria lakini tulivyo ovyo watz tunaona kupatanishwa ruge na makonda ndo habari kubwa ;););)
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Makonda alikataa kutokea kwenye kamati ya uchunguzi wa tukio la uvamizi wa kituo cha cloudstv iliyoundwa na waziri Nape. Makonda alikataa kuomuomba radhi Ruge pamoja na kuombwa mara kadhaa...
0 Reactions
Replies
Views
Lipo swala la service charge kwenye bili za umeme ambayo imekera watumiaji wa umeme kwa muda mrefu sana.Service charge hii haina mantiki yeyote,ila ilikuwa uonevu uliokuwa dhahiri kwa wananchi.Kwa...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Ubao wa matangazo pembeni ya jukwaa kuu ukisomeka Simba 0 Stella Abidjan 2, dakika zikiyoyoma, ghafla mashabiki wa Yanga wakaanza kuimba kwa nguvu "uzalendo umetushinda, uzalendo umetushinda"...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
  • Redirect
Mh. Rais JPM awataka RC Makonda na Ruge wapeane mikono, wakapeana na kusalimiana na kuondoka wakiwa wameshikana mikono na kuwataka wawe kitu kimoja huko Tanga.. Mh. Rais kasema ni vijana wawili...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Akimalizia hotuba yake leo kwenye uwekaji wajiwe la msingi amewaita jukwaani na kuwataka wasgukane mikono na kuwata mambo yao yaishe Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaita na kuwapatanisha Mkurugenzi wa Clouds Ruge Mutahaba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwa anahutubia katika uzinduzi wa Bomba la...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ruge & Makonda damu damu, jiongeze mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
Kuna mwenye taarifa inaendeleaje? Nani anaitumia kwa wakati huu? Iko salama? Na iko salama kiasi gani? Muungwana ameitumia lini mara ya mwisho? Matumizi yake yana tija kwa taifa? Nina hamasa ya...
0 Reactions
128 Replies
35K Views
Maalim self akiwa kwenye kisomo kuhusu Haki yake inayonyanganywa na wenye nguvu,akielekeza kwa mungu,watu wengine usema haki ni ya wenye nguvu na sio wanyonge,mkuki imara wa haki hauvunjiki,haki...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu msafara wa Rais Magufuli. Kwa watu ambao wana fikra pana na wamebahatika kuwa katika msafara wa Rais Magufuli lazima pia watakuwa wanajiuliza maswali...
15 Reactions
152 Replies
18K Views
KWA muda mrefu sasa Chama cha Wananchi (CUF) kimekuwa kwenye mgogoro, hivyo kugawanyika makundi mawili; moja ni la Mwenyekiti, Profesa Ibrahim Lipumba na lingine linamuunga mkono Katibu Mkuu...
0 Reactions
2 Replies
761 Views
  • Redirect
Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini, kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche jana alikamatwa na polisi alipokwenda kituo cha polisi cha Tarime kufuatilia kukamatwa...
0 Reactions
Replies
Views
Hizi habari za kusema wananchi wamezuia msafara wa Rais kumuelezea shida zao nadhani ifike mahala sasa tuseme ukweli!!! Hakuna anayezuia msafara wa Rais,kama ushaona speed ya gari za kwenye...
19 Reactions
62 Replies
5K Views
  • Closed
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi. Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA...
17 Reactions
358 Replies
51K Views
  • Redirect
Naungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Magufuli na Serikali yake pamoja na Rais Mseveni wa Uganda kwa kuandika historia mpya ya ushirikiano...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo tumesika kuwa bomba linalojengwa ambalo ufunguzi wake ni leo lina urefu wa takriban Km 1400 na kwamba ndilo litakuwa bomba refu kuliko yote Africa.Wakati huohuo tuliashaelezwa kuwa bomba la...
0 Reactions
Replies
Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime-Rorya linamsaka kwa nia ya kumkamata na kumweka chini ya ulinzi Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche muda mfupi baada ya jeshi hilo hilo kumwachia kwa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa nini tangu mwaka 2015 October, Tanzania imegeuka jehanamu kwa watu wenye vijipesa vyao.? ( wengi wao wafanyabiashara). Kila kukicha tunaona vibwanga ya kila aina, wa kufunga biashara kama...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Back
Top Bottom