Tanzania tuna makabila mengi kuliko kenya lakini tuliweza maliza ukabila. Njia zilizotumika ni kama baadhi ni Nchi kuwa na lugha ya taifa pia kupiga marufuku Radio, magazeti yanayoandika na...
Anaandika Baraka Kimata
Diwani Kata ya Kitwiru -IRINGA (CHADEMA)
CCM ILICHOKA,IKAUMWA,IKAFA,IKAOZA NA SASA INACHIPUA KUWA CHAMA IMARA TENA.
"Ndugu zangu wanachadema, wana ccm, wanachama wa...
Mwanasheria lissu kwa hakika ni mwanasheria tu lakini siasa hafai na hajui. licha ya sheria lengo lake kua ni kutoa haki kwa mwenye haki mawakili hujifunza kumpatia haki mteja wao kwa kila mbinu...
Kuna dhana inazidi kujengwa na kubebewa bango kwamba watanzania ni wale tu wenye ngozi nyeusi peke yake na wale wenye ngozi nyeupe kama Wazungu, Waarabu na wahindi si watanzania. Inaonekana kwamba...
Najua kwamba kwenye sector ya madini na gas tunaibiwa sana. Ila nisinge anza kwa kukamata makontainer wala kuvunja mikataba.
Ningeandaa mikataba upya inayonufaisha pande zote mbili kisha...
Ofisi ya mawakili imeshambuliwa na kitu kinachosemekana ni mlipuko.
Kati ya hawa wafuatao nani kafika eneo la tukio?Ni shauku tu
RC wa Dar
Kamanda Polisi wa kanda
Waziri wa mambo ya ndani
Waziri...
Habari wanaJF,
Walinzi wawili ambao walikuwa wanalinda ofisi za wanasheria za IMMMA zilizoshambuliwa wamekutwa maeneo ya Kawe jijini Dar Es Salaam,wakiwa hawajitambui mithili ya watu...
Habari za Jumapili!
Kuna kampeni inaendeshwa na ccm na viongozi wao kuadai kuna mawakili raia wa Tanzania wanaitetea Acacia na kuwaita sio wazalendo na kauli zongine kuwa ni mawakala wa mabeberu...
Ndani ya mahabusu kwa saa 48 hatimaye Mwanasheria Mkuu wa Chama na rais wa TLS Mh Tundu Lissu amepewa dhamana ya Polisi majira ya saa 11 jioni.
Amepewa masharti ya kuripoti kituo cha polisi...
Mazungumzo yanakaribia mwezi sasa hatujui nini kinaendelea. Kama vile nakata tamaa ya kupata Noah yangu niliyoahidiwa..Wenzangu vipi mna matumanini??
Bombadier yetu nayo sijui ishapigwa mnada...
Serikali imetakiwa kujenga Tanzania bora kama dola ya kimaendeleo bila kupoka haki na msingi wa kidemokrasia na kuacha kamatakamata ya viongozi wa upinzani ambayo inasababisha sekta mbalimbali...
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa...
Nimesoma na kusikiliza simulizi nyingi juu ya namna soko la Kariakoo lilivyoanzishwa, wanabodi naomba tuchukue muda kutafakari hasara taifa linayopata kwa kuweka imani juu ya soko LA Kariakoo...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa mungu
Polen na majukumu ya hapa na pale
Sisi wote ni watanganyika na nchi yetu ni moja kwahiyo bas ni jukumu letu sote kuunda nchi saf yenye uchumi safi...
Tangu kuapishwa novemba 5 2015 suala la viwanda limekuwa ndoto za mchana. Kujifariji ikatangazwa kila vyerehani vinne ni kiwanda kidogo.
Suala la kuhamia Dodoma nalo ni kigugumizi kila kukicha...
Tumeona picha mbalimbali na Mbwembwe nyingi kuhusu ujenzi wa FLY OVER ya TAZARA,
Kwa Experience yangu, kutegemeana na sehemu mbalimbali nilizopita katika Dunia hii. Sina wasiwasi na bajet ya...
Anaandika Tundu Antiphas Lissu:
UKUTA UMEFUNUA SIRI YA TANZANIA
Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wanafikiri kwamba nchi yetu inatawaliwa na chama cha siasa, yaani CCM.
Hata hivyo, wapo...
Wadau,
Nimeona nyuzi nyingi sana jukwaani zikizungumzia juu ya mazungumzo kati ya serikali na "wanaume" wa Canada.
Awali kama taifa tulifarijika sana na msimamo uliotolewa na Mh.Rais baada ya...
WB: ‘Tanzania short of skilled, efficient manpower to drive the economy’24 August 2017, 12:04
Bella Bird said new entrants to the Tanzania’s labour market, currently estimated at 800,000 a year...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.