Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Tangu Dr. Titua Kamani atoke wizara ya mifugo na uvuvi pamekuwapo na ombwe la uongozi. Maamuzi yasiyokuwa weledi yametawala hii wizara. Dr.Kamani ni mtaalamu bingwa wa mifugo hivyo maamuzi yake...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Mnadani, Ikungi kumsikiliza...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ndani ya kipindi cha miaka 2 utawla huu wa Magufuli umeshafanya makosa mengi sana ambayo yanagusa wananchi moja kwa moja na yanayoweza kuiangusha CCM mwaka 2020 na katika uchaguzi mdogo wa...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye viwanja vya mikutano vya Peoples kuhutubia wakazi wa Singida mjini. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
  • Redirect
Kulikoni kwenye safu ya uongozi wa juu wa CCM, tokea kujiuzulu kwa Mr Nyalandu mpaka sasa chama hakijatoa taarifa kamili juu ya kujiuzulu kwa Mr Nyalandu. Mpaka dakika hii tumejione vibweka...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
..kichwa cha habari chahusika. ..Tanzania tuna lugha ya taifa nayo ni KISWAHILI. ..KISWAHILI ndiyo lugha inayopaswa kutumiwa na VIONGOZI na WANANCHI ktk shughuli zote za KITAIFA. ..sasa yupo...
4 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa bahati nzuri nimeshuudia utawala wa Mwinyi,Mkapa na Jakaya.Wote hawa waliiongoza Tanzania kwa miaka 10 Sijawahi kusikia kati ya Mwinyi,Mkapa au Jakaya akihutubia kwa lugha ya kabila lao...
1 Reactions
Replies
Views
Jana nilimsikia waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji ndugu Charles Mwijage akiongea kwa kujiamini kwenye uzinduzi wa kiwanda kimoja cha kuzalisha dawa za binadamu mkoani Mwanza kuwa amevipa...
10 Reactions
47 Replies
5K Views
  • Redirect
Hii serikali kweli ni ya kukurupuka haina watu weredi kabisa yaani hospitali ya Hydom iliyopo Manyara kwenye orodha ni namba 399 imepangia kuwa Afisa Muuguzi msaidizi daraja II katika Halmashauri...
0 Reactions
Replies
Views
Kiwanda cha kwanza cha dawa za binadamu Mwanza Maelezo ya hatua kwa hatua ya utengenezaji dawa. Habari via GSengo Blog -- MKUU wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, amewataka wamiliki wa...
17 Reactions
156 Replies
19K Views
Serikali ya Tanzania inadaiwa kujitoa kwa muda kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji yaani Open Goverment Partnership(OGP). Inadaiwa Serikali imeamua kujikita kwenye "kutumbua majipu"...
9 Reactions
117 Replies
18K Views
  • Redirect
NYALANDU ALIMPELEKEA BARUA NDUNGAI HATA KABLA YA YEYE KUPOKEA HIYO ANAYODAI KUTOKA KWA KATIBU WA CCM. ANGALIA HIYO HAPO
0 Reactions
Replies
Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma aliyekuwa akikabiliwa na shtaka...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Sikupata kujitangaza uCCM wangu ila ndio hivyo kuwa nilikuwa mwanachama na mkereketwa wa chama. Lakini kwa matukio haya ya ajabu ya serikali yetu ya CCM, bunge letu ambalo sisi ndio tuko wengi...
75 Reactions
131 Replies
12K Views
Katiba ya CHADEMA (2006) inatamka kwamba ... FALSAFA yetu ya NGUVU NA MAMLAKA YA UMMA na Dira na Dhamira ya Chama ... ni kuimarisha, kutetea, kudumisha, na kuendeleza DEMOKRASIA ya kweli, na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni wazi wamekosa utetezi au wanahofia kuibua mjadala zaidi kama sio kuhofia maswali ya waandishi. Hili jambo linahitaji majibu kutoka kwa wahusika tofauti na hapo huu utakuwa ni ushahidi tosha wa...
9 Reactions
75 Replies
6K Views
Kiwango cha mikopo isiyozalisha kwa benki ndogo na za kati kimeongezeka robo ya tatu ya mwaka 2017 kulinganisha kipindi kama hiki mwaka uliopita kulingana na taarifa za fedha za benki 19. Upande...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aslam aleykum wana jamvi, Bwana Yesu asifiwe! Binafsi yangu kama mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nafurahia sana kuona upinzani. Upinzani ambao unatoa changamoto kwa serikali upinzani...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
  • Redirect
Huyu bwana wa Singida anaonesha kweli ni mzalendo wa nchi hii. Unapoona matendo yako hayaendani na mawazo yako, Unapoona kinaxchohubiriwa hakiendani naa matendo ya mhubiri inatia mashaka. Nani...
1 Reactions
Replies
Views
Mwanzo mwanzoni nitamke wazi (narudia mara kwa mara) kuwa mimi Petro Eusebius Mselewa si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko. Najua kuwa ninachokiandika humu huwa...
27 Reactions
190 Replies
12K Views
Back
Top Bottom