Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Bundi katua ukawa baada ya vyama vinavyounda ukawa kumkimbia kamanda mbowe kwenye mkutano na waandishi wa habari, hivyo kupelekea kamanda kusimama kama jeshi la msaliti mmoja. ukakasi huo...
1 Reactions
Replies
Views
"Mimi nasema afadhali ya Sitta (Samuel) mara kumi kuliko huyu Makinda. Sitta alikuwa na aibu ya kupindisha sheria na ilikuwa ukimbana kwenye hoja anakubaliana na hoja yako kwa manufaa ya...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
  • Redirect
Kurejea CCM akitokea CHADEMA kumemtia hofu Mwenyekiti wa CHADEMA, freeman Aikaeli Mbowe akihofia msanii huyo kuvujisha siri ambayo mpaka sasa hakuna anayejua ni siri gani hiyo. Hali hiyo...
0 Reactions
Replies
Views
Patrobas Katambi (Mwenyekiti alieng'atuka BAVICHA) amesema kwa picha ya kijeshi jeshi CHADEMA ni sawa na MGAMBO (hawajaiva kisiasa) na CCM ni jeshi kamili (JWTZ) ndio maana amehamia. Akizungumza...
3 Reactions
83 Replies
8K Views
Freedom? From what? We were liberated only to be captured again!
6 Reactions
57 Replies
5K Views
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imepiga hatua kubwa dhidi ya vita vya rushwa na kuwataka waliokuwa wakisema kuwa nchi hii haiwezi kudhibiti...
0 Reactions
4 Replies
907 Views
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa UVCCM unaonekena kuzua malalamiko ya chini kwa chini kwa baadhi ya vijana wa umoja huo ingawa ukweli wa kilichotokea wanakijua wao wenyewe. Karika kipindi hiki cha...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Redirect
Ni mahjianiano ya mchana huu na radio DW ya Germany
0 Reactions
Replies
Views
Kesi namba 457 inayoikabili JamiiForums, kuhusu kampuni ya CUSNA Investment ambayo ilidaiwa kufoji nyaraka bandarini, kukwepa kodi na kuwatesa wafanyakazi wazalendo na kupendelea wageni toka nje...
16 Reactions
84 Replies
16K Views
Watanzania wametoa wito kwa Vyombo vya habari nchini viisaidie nchi kwa kuchunguza vitendo viovu vya serikali yakiwemo masuala ya rushwa na mengineyo. Nimependezwa na maoni haya ya wananchi. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
817 Views
  • Redirect
Tundu lissu nitasimama nitatembea nitarudi tanzania mingu ni mwema kwa miujoza
0 Reactions
Replies
Views
Kuna watu sijui ndio tuseme wameshakata tamaa au ndio hawana data... Yaani wao ukiwauliza unadhani ndani ya miaka 3 ijayo tutapata Katiba Mpya? Aidha watakujibu 'Sijui' au watakuangalia tu...
0 Reactions
4 Replies
618 Views
Mpaka mwezi Februari mwaka 2016, kiwango cha uelewa wananchi kuhusiana na Sheria Mpya za Takwimu na Sheria ya Makosa ya Mtandao maarufu kama #cybercrime kilikuwa chini sana.. Upande wa sheria ya...
0 Reactions
3 Replies
766 Views
Utafiti uliofanyika mwaka 2016 umekuja na majibu yanayotoa taswira ya hali halisi ya kisiasa nchini na mitazamo ilivyo kwa wafuasi wa vyama vya siasa.. Katika watu 10 ambao ni wanaCCM, 6 kati yao...
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Mimi ni mzalendo. Ni mfuatiliaji sana. Napenda kujua mambo yanavyoenda.. Sipendi kuwa kizani... Nimeumbwa hivyo, sio mnoko! Ukienda ofisi nyingi za umma kuomba taarifa kuhusiana na jambo fulani...
0 Reactions
1 Replies
618 Views
Nakumbuka utunzi wa Mwanamuziki Juma Mchopanga 'Jay Moe' alipokuwa akiuliza swali kuhusu kilicho bora kati ya Mvua na Jua halafu watu wanamjibu majibu tofauti kwa pamoja.. Ikabidi aulize "Mbona...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Nimemsikia Polepole jana, katika Mkutano wa UVCCM kuomba na kutoa taarifa kwa Mwenyekiti wake na wajumbe kuwa atakuwa anatembea nao wananchama wote wapya kama akina Kafulila, Katambi, Mtolea, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni uoga au hofu ya ushindani wa kisiasa? Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa 37% ya wafuasi wa chama tawala cha CCM wanaunga mkono zuio la vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano...
1 Reactions
1 Replies
727 Views
  • Redirect
Mnaambiwa Ccm mpya,Hii ni ccm kanda ya ziwa.Nadhani toka kuanza kwa chama hiki ndio kwa mara ya kwanza tunaona Ccm unaongozwa na watu wa kanda moja tu. Zile propanganda juu ya chadema na...
3 Reactions
Replies
Views
Sio maneno yangu, ni utafiti.. Kama utakavyosoma kwenye jedwali hapo chini, imebainika kuwa wabongo wengi kwanza kabisa wanaamini sana wanachokisikia kwenye redio.. Kisha wanaamini wanachokiona...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
Back
Top Bottom