Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Wakuu, Kesi namba 458 iliyo chini ya Hakimu Victoria Nongwa imeahirishwa hadi tarehe 22 Januari 2018. Imeanzwa kusikilizwa leo saa 8 na dk 12 mchana. Wakili wa Jamhuri (Batilda Mushi)...
0 Reactions
Replies
Views
Bunge la Afrika Mashariki linataraijiwa kufanya uchaguzi wa spika wake leo baada ya mchakato huo kushindikana jana Uchaguzi huo ulishindikana baada ya kujitokeza kwa mvutano ni nchi gani...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Jana katika hotuba yake ya kushukuru na kufunga mkutano mkuu wa CCM rais Magufuli alivishukuru vyama vya upinzani walivyovialika na kuhudhuria na kuvitaka navyo vijifunze kufanya chaguzi katika...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
EAC: Bunge la EALA kujadili umoja wa sarafu 2017-12-19 Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki linatarajiwa hivi karibuni kuanza mjadala wa kuwa na sarafu ya pamoja. Bunge hilo hasa litajadili...
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Uzi huu una lengo la kuwasaidia wananchi, wanasiasa watafiti na wasomi kuelezea kisayansi na kwa kina sana matukio ya wanasiasa wanaohamia CCM kwa madai ya kumuunga mkono rais (Scientific...
25 Reactions
81 Replies
7K Views
  • Redirect
Mgogoro wazuka kwenye uchaguzi wa spika wa jumuiya ya EAC Desemba 19, 2017 Makao makuu ya jumuiya ya Afrika Mashariki mjini Arusha, Tanzania Mvutano mkubwa uliibuka Jumatatu mjini Arusha...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tokea mwaka 2015 ulikuwa mwanachama hair wa chama chetu cha mapinduzi na taarifa zangu hazionyeshi kuwa hapa katikati umewahi kuhama chama Tangu kipindi hicho ukiimba nyimbo za kumpigia kampeni...
0 Reactions
Replies
Views
Angalau nafsi yangu imetulia nilipomsikia M/kiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu Dr. John Pombe Magufuli, akiwataka viongozi wa CCM waliochaguliwa kuhakikisha washindani...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Redirect
Hii ni dalili mbaya kabisa kwa NEC , kwa hatua iliyofikia kwa kujitamhulisha rasmi kwamba wao ni tawi muhimu LA CCM. Chadema ilisha toa msimamo, na chadema kama chama cha siasa kina taratibu...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Niwaase tu viongozi wa vyama vya upinzani bara na visiwani wasiishie kususia chaguzi tuu, hii itawakatisha mataa watanzania ambao hawana imani kabisa na serikali hii ya CCM ambayo kwa sasa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Igwe wanaJF! Nichukue fursa hii kuwapongeza ndugu Mbowe na Zitto kwa kutoa maazimio ya vyama vyao ambayo kimsingi yameonyesha kukubali utendaji wa Raisi JPM na CCM yake katika kuwaletea maendeleo...
0 Reactions
Replies
Views
JUKWAA LA KATIBA LATOA TAMKO KALI LEO KUMB NA. JUKATA/TAMKO/DISEMBA/009 17 DISEMBA 2017 YAHUSU: TAMKO KWA UMMA Baada ya kutafakari kwa kina juu ya mwenendo na matukio mbalimbali yanayoendelea...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema inafuatilia tuhuma za rushwa zinazotajwa dhidi ya wabunge wanaohama vyama vyao. Msingi wa kauli hiyo ya Takukuru ni swali lililoulizwa...
4 Reactions
81 Replies
10K Views
*KWA UFUPI YALIYOJIRI MAPOKEZI YA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA MKOA WA DODOMA JUMATANO 13 /12/2017 VIWANJA VYA CCM MAKAO MAKUU* Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Mkoa wa Dodoma leo tarehe 13/12/2017...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini CCM na wapambe wao wamekuwa wakimwandama sana mwenyekiti wa CHADEMA MH. Mbowe. Baada ya kutafakari nikagundua CCM na wapambe wao wanaojiita kama ACT-Wazalendo...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Dr Salim Ahmed Salim ameng'atuka katika uongozi wa chama na sasa atabaki kuwa mwanachama wa kawaida. Dr Salim amewaaga na kuwashukuru wajumbe wa vikao vya CCM kwa ushirikiano waliompatia wakati...
10 Reactions
189 Replies
18K Views
  • Redirect
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesikika asubuhi hii wakati akihojiwa na Radio Clouds Fm kwenye kipindi cha Power Breakfast, akisema kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Dar/Singida. Wakati zikiwa zimebaki siku 25 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika Jimbo la Singida Kaskazini, kivuli cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Lazaro Nyalandu kimeigawa Chadema...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom