Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Na Mwandishi Uzalendo, Unajua kuna baadhi ya watanzania tuna matatizo sana, Watu wanaosema kua CHADEMA kwa sasa kinaenda kufikia mwisho ni kwa sababu zipi hasa? Wamepoteza nini hasa ndani ya...
1 Reactions
1 Replies
866 Views
Tokea siasa ya 1992-2017 nimeona mengi sana! Enzi zile kampeni bila Mgogo Malecela zitanogaje?! Enzi zile likitajwa jina Mrema polisi yupi asingestuka?! Enzi zile bila Pius Ng'wandu Maswa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Historia ni mwalimu mzuri kweli. Kiongozi yoyote aliyesoma historia ni rahisi sana kuongoza. CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Ndicho chama kinachofuatia kwa kuwa na wafuasi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
FROM the HIGH COURT OF TANZANIA at Dar es SALAAM : Mbele ya Mheshimiwa Jaji WILFRED DYANSOBERA, Mahakama Kuu ya Tanzania imeipiga marufuku Bodi FEKI ya Lipumba kufanya shughuli zozote zinazoihusu...
15 Reactions
102 Replies
10K Views
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
1 Reactions
174 Replies
25K Views
Kijana huyu wa kizanzibar amestahili kuaminiwa tena na Ndugu Mwenyekiti wa CCM Taifa na UVCCM Taifa kushika wadhifa wa katibu mkuu UVCCM Taifa katika kipindi cha 2017-2022. Awali alikuwa naibu...
5 Reactions
8 Replies
5K Views
Hivi hawa wanatupiga changa la macho au Ni kwamba sisi wajinga hatuoni au wanalofanya ni sawa...?? Ni kwamba hawa watu wanatumia kipengele cha kampuni mpya kupewa Miaka Mitano ya Kutokulipa...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Naomba kusema kitu kimoja, kama hakuna kitabu chochote cha Mwenyezi Mungu kinachozuia mtu kuhoji watawala wake au kupinga kila asichokubaliana nacho ndani ya serikali sioni sababu ya watu kuzuiwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwaka 1988, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa bado ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi alialikwa kama mgeni rasmi wa maadhimisho ya miaka 11 ya CCM ambayo yalifanyika Kitaifa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
  • Redirect
Kumekuwa na vyama vya upinzani ambavyo vimekuwa vikilaumu Tume huru ya uchaguzi kuwa haiko huru, na hoja yao kubwa ni jinsi wajumbe wa tume wanavyopatikana. Sasa Leo niombe kuuliza; hivi ili...
0 Reactions
Replies
Views
"Hapa ninapozungumza Airport wameshakamata dola bilioni moja, zilikuwa zinaingia nchini, ndivyo Tanzania inavyotumika kutakatisha fedha," - Magufuli Rais Magufuli ameyasema hayo katika sherehe za...
17 Reactions
575 Replies
71K Views
  • Redirect
Siasa ni hisia kutoka moyoni kwa mtu, apende kitu atakacho... Ni ngumu kumlazimisha mtu apende kitu kwa Nguvu
0 Reactions
Replies
Views
Jana wakati Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli anafungua tawi la benki ya CRDB-LAPF Dodoma ameiagiza Benki Kuu ya Tanzania "kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni kwenye matumizi ya biashara na...
8 Reactions
100 Replies
6K Views
Awali, uongozi wa Chadema ulitangaza kuwa kamwe hautashiriki katika uchaguzi huo mdogo katika jimbo hilo na pia lingine la Longido mkoani Manyara kutokana na kutoridhishwa na masuala kadhaa ndani...
0 Reactions
83 Replies
10K Views
Nashauri ili KUKOMESHA hii Tabia ya baadhi ya watu kuvamia maeneo /viwanja/MASHAMBA ya Watu/Taasisi wachukuliwe Sheria Kwa kufikishwa Mahakamani badala ya kuwavunjia tu.Wavamizi hao wamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
471 Views
Kwenye mkutano mkuu wa CCM, nimemsikia kiongozi mmoja mstaafu akisema Mwinyi na Kikwete ni wastaarabu hawawezi kuita watu wapumbavu. Lakini Mkapa ndio anaweza kuita watu wapumbavu. Hii maana yake...
3 Reactions
106 Replies
12K Views
Kiongozi katili na korofi wa Liberia akizungushwa mitaani akiwa kakatwa masikio na uume Maisha haya kuna watu wanajisahau sana,wanajiona kama wao ni wadogo zake Mungu na maisha yatabaki hivihivi...
10 Reactions
44 Replies
6K Views
Naona Kama Chadema/Ukawa wanavumilia Ushenzi ambao hauvumiliki kabisa! Ni mtu aliyelogwa pekee anayeweza Kuvumilia hujuma za CCM dhidi ya Katiba na Haki za Kisiasa za Vyama Vingine. Nawaheshimu...
13 Reactions
31 Replies
5K Views
Back
Top Bottom