Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Alhamisi njema Wadau, Tofauti na ilivyozoeleka kwa Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Rushwa na Mbunge wa zamani wa Monduli, Edward Ngoyayi Lowassa kuonekana kwenye kwenye matukio mbalimbali...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Katika Ibada Kuu ya Pasaka ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Mwenge, Dar-Es-Salaam; wakati wa Neno la Pasaka 20.4.2014, lenye kichwa, "JE, KUIDAI TANGANYIKA NI HALALI KATIKA MPANGO...
8 Reactions
61 Replies
17K Views
  • Redirect
Tambueni tu hawa mabwana wanajaribu kutikisia kiberiti huku wakitambua nguvu kubwa waliyonayo viongozi hawa na wakiona hawatetereki wala kurudi nyuma, bila kuchelewa hawatakawia kuwata kwa lengo...
1 Reactions
Replies
Views
Na *Abdul Nondo* Habari watanzania nimependa kuchangia nanyi jambo hili kujua mstari wa siasa na dini. Jana nikiwa na rafiki yangu *Deogratias Mahinyila* tukiongea,huku nikiperuzi simu yangu...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Za jioni wana JF. Ningependa kujua hao wadau wa enzi zileeeee ya miaka 2015 kurudi nyuma wapo wapi. Wanafanya nini, wapo kwenye mrengo gani wa siasa hivi sasa? Je wanaionaje hali kisiasa nchini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tanzania ni moja ya taifa ambalo wanasiasa wengi sio wakomavu na hawajielewi. Wamekuwa wanasiasa fuata upepo na muda mwingi hupotea kutokana na upepo fulani ukipita. Wanasiasa ambao hawana vision...
0 Reactions
0 Replies
584 Views
No offense, lakini matukio haya ya wagombea kudondoka jukwaani sio ishara nzuri hata kidogo. Tunaweza kuja kuwa na Raisi ambaye ana matatizo ya kiafya akaiingiza nchi kwenye matatizo makubwa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
  • Redirect
Nimefatilia Leo hoja na tamko LA Wizara ya mambo ya ndani kupitia Katibu Mkuu wake juu ya kufuta taasisi za dini zinazo kosoa serikali. Katibu Mkuu amesema kuna katiba na sheria zinazo wapa...
8 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
LETTERS FROM A NAIROBI HOSPITAL BED By Tundu AM Lissu (MP) I INTRODUCTION More than sixty four years ago, on 21st September 1953, Nelson Mandela, then serving a ban...
4 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Salamu wanabodi ! Sasa ni dhahiri kuwa hawata mkamata na kumhoji mtu wa madhabahu,wakili wa Mungu Askofu Zachary Kakobe. Wengine walikuwa wanajipendekeza tu kwa mkubwa. Aliyetumwa ambae hakika...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
.LETTERS FROM A NAIROBI HOSPITAL BED By Tundu AM Lissu (MP) I INTRODUCTION More than sixty four years ago, on 21st September 1953, Nelson Mandela, then serving a ban...
5 Reactions
Replies
Views
Wakubwa, Sioni tena zile cheche za wapinzani, mijadara mbadala ya kuikosoa na kuishauri serikali inapotea kwa kasi. Sioni mijadara ya watu wanaopinga kwa hoja na kuirekebisha serikali. Sasa...
0 Reactions
2 Replies
600 Views
salaam kwenu wana jf!! sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn...
15 Reactions
146 Replies
11K Views
Nimeona tangazo kupitia luninga ya ITV likisema leo saa 3.00 usiku kutakuwa na matangazo ya moja kwa moja kutathmini utendaji wa mkuu wa mkoa wa Dsm, mh Paul Makonda. Karibu kwa maoni! Up dates...
2 Reactions
146 Replies
11K Views
wakuu. hii kasumba ya kutaka tulazimishane kuunga mkono kila kitu sio sahihi. Kwa mfano mbaazi zangu zimeozea ndani bado mnataka tuwaunge mkono wakati soko mlilivuruga wenyewe. Bei ya mahindi...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini, amesema mwenendo wa matukio ya kuteka na kutesa watu yaliyoripotiwa kutokea hivi karibuni yanawatia hofu viongozi wa dini. Akizungumza...
2 Reactions
61 Replies
10K Views
Baada ya kufanya uchunguzi wa kina kwa kuzingatiasiasa za Tarime pamoja na tamaduni za wanatarime nimegundua mambo yafuatayo; 1. Wanatarimehawachagui chama bali wanachagua mtu. Hii inatokana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanabodi ni takribani miaka miwili na mienz kadhaa toka ile nguvu ya umma peoples power iliyokuwa inajenga cdm kupotea makamanda wa leo sio wa zamani makamanda wamepoteza imani kwa wananchi...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Askofu Zakary Kakobe mpuuze na hoja igeuze. Huna haja wala hoja ya kutubu kwa toba kwakuwa unatoa tiba kwa miiba ya Tanzania. Unatibu bila tabu yaliyokuwa majaribu mujarabu kwa watanzania...
23 Reactions
79 Replies
6K Views
Kenya imepokea mwaliko kutoka Marekani kuhudhuria katika hafla ya kuwashukuru kwa kuendeleza urafiki itakayofanyika Januari 13, 2018 Ni baada ya Kenya kuwa miongoni mwa nchi ambazo hazikupiga...
5 Reactions
184 Replies
15K Views
Back
Top Bottom