Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani...
12 Reactions
59 Replies
1K Views
  • Redirect
Wapo walioapa kuilinda na kuitetea katiba lakini wanasema muungano uvunjwe. Haya ni madhara ya mtu kuapa dhidi ya kitu asochokielewa. Mtu anaapa kuilinda katiba je hiyo katiba anaielewa? Nimara...
0 Reactions
Replies
Views
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna watu kama Kigogo, Mange, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakidandia...
4 Reactions
47 Replies
667 Views
Kuna mambo Mawili muhimu sana, Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi...
23 Reactions
150 Replies
5K Views
Ili kunusuru Mradi wa Mwendo Kasi, ACT Wazalendo Tunapendekeza yafuatayo; i. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika. ii. Bodi ya wakurugenzi...
0 Reactions
3 Replies
133 Views
  • Redirect
Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano. Mgeni rasmi: Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
0 Reactions
Replies
Views
Wadau nimeamua kuipitia katiba lili nione kama kuna marekebisho yoyote yamefanyika ya sheria mbalimbali ikiwemo ya wabunge. Nilichokuwa nakitafuta katika katiba hiyo ni suala zima la mbunge...
3 Reactions
14 Replies
305 Views
Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake. Katika tume hiyo,polisi isihusishwe...
8 Reactions
20 Replies
647 Views
Watumishi wa Umma Huwa wapo wapo Hadi unajiuliza Hawa ni Wasomi walienda shule kuongeza maarifa au kukua na kupata cheti waje kutoa Huduma za hovyo? Huu ni aina nyingine ya ushahidi wa jinsi tuna...
2 Reactions
9 Replies
611 Views
  • Redirect
Ndio tulikuwa tunasema jana kwamba we note with great concern kwamba Makonda amekwenda Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Maadili na mkoa umebaki bila uongozi. Sasa hawa watu kwa bahati nzuri hakuna...
0 Reactions
Replies
Views
Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine. Tundu Lissu ndiye...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
  • Redirect
Mbunge wa Jimbo la Konde Visiwani Zanzibar, Mohammed Said Issa ameishauri Serikali kurejesha utaratibu wa kutumia hati ya kusafiria (Passport) kuingia visiwani Zanzibar ikiwemo Wananchi wanaotokea...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
UWT WATEMBELEA MKOA WA MOROGORO NA KUWAFIKIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Watembelea Mkoa wa Morogoro Aprili 23, 2024 na kushuhudia...
0 Reactions
Replies
Views
Ikiwa ni mwaka wa tatu(3)tangu SSH achukuwe kijiti cha uraisi kumekuwa na utitiri wa PhD za kutunukiwa mfululizo ambazo kimsingi nashindwa kuelewa muktadha wake ni nini Yawezekana akawa na sifa...
0 Reactions
10 Replies
289 Views
Kiongozi wa Chama Cha ACT wazalendo na Wajumbe wa kamati kuu wamefika wilayani Rufiji na kutoa misaada mbalimbali kwa Wahanga wa mafuriko Mkuu wa Wilaya Meja Edward Gowelle amewashukuru sana na...
2 Reactions
8 Replies
310 Views
  • Redirect
Kupotosha na kugombanisha serikali kwa wananchi ili waichukie kwa kuandika habari za uongo sasa umeyatimba, Kamanda Muliro amekuita pale central akachukue maelezo yako na akupumzishe angalau wiki...
1 Reactions
Replies
Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda(MCC) akizungumza na Viongozi na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Morogoro na kutoa pole na faraja kwa wahanga wa Mafuriko ya...
2 Reactions
3 Replies
165 Views
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa...
13 Reactions
125 Replies
3K Views
Leo Wabunge wa Zanzibar wamenifurahisha kwa namna wanavyoweza Kuwa Wamoja kwenye kutetea Maslahi ya Visiwa vyao Wabunge hao wamemwambia Waziri Jaffo wanapitisha Bajeti yake lakini ahakikisha kero...
1 Reactions
2 Replies
287 Views
Back
Top Bottom