Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wakuu, Leo ndo ile siku ambayo Edward Lowassa anatangaza nia yake ya kugombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mkutano huu umekuwa gumzo katika vyombo vingi vya habari. Mkutano huo...
17 Reactions
2K Replies
225K Views
MCC yainyima rasmi Tanzania msaada wa trilioni moja kwa kutotimiza masharti ya demokrasia Zanzibar na kutofanyia marekebisho sheria ya makosa ya mitandao. Pamoja na kunyimwa msaada huo, Tanzania...
16 Reactions
2K Replies
188K Views
Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa...
136 Reactions
2K Replies
105K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka jiji la Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka...
17 Reactions
2K Replies
374K Views
Wanaukumbi, Kuanzia leo Jumatano, 28 Septemba Mwananchi limeanza "series" zangu na za waandishi wengine kuhusu Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika. Tusomeni kwa furaha. Mohamed Said...
23 Reactions
2K Replies
147K Views
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa...
56 Reactions
2K Replies
260K Views
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na...
60 Reactions
2K Replies
131K Views
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi...
133 Reactions
2K Replies
153K Views
Mwanasiasa maarufu duniani Tundu Lissu leo atakuwa akihojiwa na mwanahabari nguli Africa Mzee Shaka Ssali kuhusu demokrasia ya Afrika. Ssali anayeheshimika kuendesha vipindi makini vya Straight...
74 Reactions
2K Replies
182K Views
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI Amepatikana akiwa ametelekezwa kwenye viwanja vya Gymkhana Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda...
46 Reactions
2K Replies
220K Views
KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia...
11 Reactions
2K Replies
202K Views
  • Closed
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha...
162 Reactions
2K Replies
253K Views
Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo...
27 Reactions
2K Replies
196K Views
Mubashara kutoka Ukumbi wa Chimwaga na kupitia hapa JF tunakuletea kinachojiri... Viongozi mbalimbali wa kitaifa wameshaingia kwenye ukumbi wa Chimwaga. Yupo Katibu Mkuu Kiongozi, Waziri wa...
25 Reactions
2K Replies
205K Views
  • Closed
Kile kimya kirefu cha Dr. W. P. Slaa kitakwisha baada ya kuzungumza na vyombo vya habari hapo kesho tarehe 01.09.2015. Sote hatujui atasema nini ila tuombe Mungu shetani ampitie mbali asirudi...
37 Reactions
2K Replies
165K Views
  • Closed
2008-08-09 09:37:58 Na Simon Mhina Kuna taarifa kuwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kumshawishi Profesa Samwel Wangwe Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, awanie ubunge Jimbo la...
0 Reactions
2K Replies
187K Views
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika...
22 Reactions
2K Replies
100K Views
Leo ni August 1,2015 Wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) nchi nzima wanakusanyika katika maeneo ya matawi yao kuchagua mgombea mmoja atakayeshindana na wagombea wengine kutoka vyama tofauti na...
21 Reactions
2K Replies
408K Views
Wanaukumbi. Waliokuwa Katika Picha Hii na Ndilo lilikuwa Baraza la Wazee wa TANU (Wengine: Hawapo) [*=left]Abdallah Shomari (Tandamti No. 3) [*=left]Nassoro Kalumbanya (Simba)...
35 Reactions
2K Replies
187K Views
  • Closed
Kama nilivyosema jana kuwa leo kabla ya saa nane mchana nitaweka wazi unafiki wa Zitto katika suala la posho , suala ambalo halihitaji vikao vya Chama kulijadili isipokuwa vyombo vya habari na...
71 Reactions
2K Replies
122K Views
Back
Top Bottom