Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wana JF, Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa. Nina picha ambazo...
84 Reactions
1K Replies
264K Views
  • Closed
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha...
162 Reactions
2K Replies
257K Views
  • Closed
Wakuu kumepambazuka vema, Viunga vya mahakama kuu vimetulia, watu wakiendelea kuwasili tayari kwa usikilizwaji wa pingamizi la Zitto Kabwe kutaka kamati kuu ya chadema isijadili utetezi wake...
203 Reactions
3K Replies
257K Views
(UPDATED 13:30 - October 16, 2015) Kwa mujibu wa Jerry Silaa (aliyekuwa Meya wa Ilala): Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la...
15 Reactions
2K Replies
255K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa...
15 Reactions
1K Replies
251K Views
Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na...
1 Reactions
24 Replies
250K Views
Wakuu, Mada maalumu zimeandaliwa kwa ajili ya Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania. Mada hizo zimepangwa tokana na Mikoa kama ilivyoanishwa hapa chini; 1. Arusha -...
2 Reactions
1K Replies
247K Views
Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu...
11 Reactions
3K Replies
246K Views
SAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi. Njoooni hapa wana LOWASSA tupeane update kwa...
12 Reactions
2K Replies
243K Views
Angalia hapa kupitia Facebook Angalia hapa kupitia youtube Soma ripoti ya kwanza ya mchanga wa madini => IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri...
55 Reactions
3K Replies
239K Views
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa...
68 Reactions
3K Replies
238K Views
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa mawzo yake kwakuwa ana utashi wake binafsi so naomba nitoa mtizamo wangu na sitatoa maoni ili kumfurahisha mtu humu ndani ya Forum ni maoni...
35 Reactions
2K Replies
237K Views
Wakuu, Kama ilivyo kawaida yetu kuwahabarisha kupitia hapa, tutaendelea kuwaletea kila kinachojiri, kuanzia kufunguliwa vituo vya kura, upigaji kura, flow ya wapiga kura, matukio yoyote...
16 Reactions
2K Replies
236K Views
  • Closed
Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga. Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na...
2 Reactions
3K Replies
234K Views
Uongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unatarajia kuwa na press conference, siku ya Ijumaa, Agosti 18, 2017 itakayofanyika jijini Dar es Salaam. Kupitia mkutano huo, uongozi...
68 Reactions
3K Replies
232K Views
Heshima Kwenu wakuu, Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye. Karibuni. ======= UPDATES; ======= 13:08hrs: Nipo hapa...
98 Reactions
2K Replies
231K Views
Habari Wanajamvi, Leo ndio ile siku inayosubiriwa kwa hamu hapa Mkoani Arusha, pale ambapo mgombea wa Urais kwa tiketi ya Ukawa Ndugu Edward Lowassa atakapotambulishwa rasmi mkoani hapa. Hakika...
54 Reactions
1K Replies
231K Views
Wakuu, Leo ndo ile siku ambayo Edward Lowassa anatangaza nia yake ya kugombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mkutano huu umekuwa gumzo katika vyombo vingi vya habari. Mkutano huo...
17 Reactions
2K Replies
229K Views
  • Closed
Heshima zenu wakuu, Mwaka huu tunakuja na utaratibu mpya. Tumeona ni busara kufuta level za premium membership zibakie mbili tu. Gold Member and Tanzanite Member. Gold itakuwa itakuwa Tshs...
79 Reactions
335 Replies
227K Views
--Kwa Ufupi-- Wakili msomi Mhe. Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa, sawa na ushindi wa 88% ya kura zote. Katika...
82 Reactions
2K Replies
225K Views
Back
Top Bottom