Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Nashangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Z,bar Ali Vuai anapotowa sifa ya Muungano kwa kusema kuwa Zanzibar inafaidika zaidi kwa kutowa mfano wa kulipiwa mkopo wa masomo kwa wanafunzi kutoka Z,bar...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Chadema - Wikipedia, the free encyclopedia Wikipedia ni kamusi elezi ya kimtandao. Kamusi hii inataarifa na habari mbalimbali ambazo huwekwa humo bila gharama yeyote. Nimesikitika nimeingia...
0 Reactions
3 Replies
951 Views
  • Closed
Ihanja; Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), kimepata pigo kubwa katika kampeni zake za kutetea kiti cha udiwani wa Kata ya Iseke, Singida Magharibi, baada ya Katibu wake wa Kata...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
JESHI la Polisi wilayani Igunga, mkoani Tabora, linashikilia malori nane mali ya Kampuni ya Kichina ya Sun Shine Mining Ltd, kwa kosa la kusafirisha shehena ya mchanga wenye madini bila kibali cha...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Jana mawasiliano ya barabara yalikatika kati ya Morogoro na Chalinze kutokana na ajali mbili mbaya. Kilichosababisha usumbufu ni magari yaliyopata ajali kuziba barabara. Ninawaomba wabunge...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Pale Iguguno leo saa 11.30 hivi jioni doct Kitila Mkumbo wa UDSM na kamanda mwandamizi wa CHADEMA alikuwa Iguguno kuongea na wananchi nao kutoa kero zao. Walimtaka angalau awasalimu kidogo kwa...
1 Reactions
69 Replies
5K Views
OCD na mkuu wa kituo cha police bomangombe HAI wamekuwa tatizo kwa wananchi wa wilaya ya Hai kwa ujumla. Sis mwananchi wa wilaya ya hai imebidi nijitokeze kwani kwa muda mrefu sasa tumevumilia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DARUSO NI CHAMA GANI? Mwaka 1966 unabaki kwenye kumbukumbu katika vitabu vyetu vya historia.Mapema mwaka 1966 wanafunzi wa UDSM walifanya mgomo mkubwa ambao ulitikisa Taifa.Mgomo huu unabaki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JULIUS MTATIRO NA CUF. Julius Mtatiro ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara.Nilikutana na Julius Mtatiro mwaka 2006 nilipojiunga UDSM.Tukio la kwanza llilonifanya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu, inarushwa hivi sasa kutoka viwanja vya karimjee jijini DSM, ni uzinduzi rasmi wa rasimu ya katiba mpya, mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. KATIBA...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwalimu nyerere ni mmoja wa waasisi wa ccm.nimekuwa nikitafakari angefufuka leo angeingia chama gani cha siasa?
0 Reactions
5 Replies
980 Views
Hiv karibuni kumekuwa na mtiririko wa hoja za wanasiasa kadhaa kutaka baadhi ya mitandao ya kijamii hasa jamiiForum.. ifungiwe kwa madai kwamba wanatukanwa sana, kudhalilishwa na mambo kama hayo...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Leo ni uzinduzi wa rasimu ya katiba mpya. Uzinduzi huo unafanyika viwanja vya karimjee. Kuna vituo ya tv kama itv na tbc vinaonyesha live. Mgeni rasmi ni makamu wa rais na makamu wa kwanza wa rais...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA SUSAN JEROME LYIMO (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Julius Mtatiro ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara.Nilikutana na Julius Mtatiro mwaka 2006 nilipojiunga UDSM.Tukio la kwanza llilonifanya kumfahamu zaidi Julus Mtatiro...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia...
0 Reactions
64 Replies
4K Views
Leo kuna mkutano wa mbunge wa kigamboni na wana nchi wa kibada jamaa anazungumzia masuala mengi nilichojifunza. 1. Hakukuwa na nyimbo za komba na ccm hazikuwa zikipigwa tofauti na wabunge wengine...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF), imetishia kuandamana nchi nzima ikiwa haki haitatendeka kwa mwenyekiti wao, Katani Ahmed Katani aliyekamatwa na na polisi kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nianze kwa kutambua umuhimu wa sisi wananchi kutambua na kutimiza wajibu wetu kwani ukweli ni kwamba ukiwa hutimizi wajibu wako unakosa sauti ya kudai haki yako. Hii ni kwa wakulima, wafanyakazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA SUSAN JEROME LYIMO (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom