Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wakuu Najaribu kutafakari na kuiomba tume ya taifa ya uchaguzi kuweka kwa heshima iwatendee haki wagonjwa wote siku ile ya uchaguzi kuweka vituo vya kupigia kura mahospitalini kwani kuna watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"Ni nyembamba na waionayo nakupita wachache.Njia ya upotevuni ni Pana na waionayo na kuipita ni wengi" Samahani wanjamvi nimetumia maneno yaliyotumiwa na nabii katika kitabu kimjawapo kitakatifu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siri ya Edward Lowassa nje Na Jabir Idrissa - Imechapwa 09 March 2011 MBINU za Edward Lowassa kutaka kurejea kileleni katika ulingo wa kisiasa zimemnasa mbunge wa Kilindi (CCM), Beatrice...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Kwa wanaofahamu utendaji kazi wa engine safi, wanaelewa kuwa huwezi kutumia oili chafu na bado ukapata matokeo mazuri. UKAWA katika siku za hivi katiribuni waliamua kufanya service ya gari lao...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wandugu kuna tetesi kuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania anaishi hotelini yeye pamoja na familia yake. Analipiwa kila kitu na serikali, kisa hakuna nyumba za watumishi wa umma. Nipo busy...
1 Reactions
157 Replies
13K Views
Nimekuwa nikiangalia matokeo ya POLLS mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF. Pote nimeona UKAWA ukiongiza kwa asilimia nyingi dhidi ya CCM na vyama vingine. Hali hii imenikumbusha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama kinanuka hiki,huko Rufiji wagombea wawili wote wanatamba kushinda,hii ni kutokana na mamlaka kutaja mshindi zaidi ya mmoja katika mda tofauti.Kila mtu anakomaa kushinda.Mwingine kwa nguvu ya...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wanajukwaa! Habari ya ITV saa mbili sasa hivi wameonyesha wanachama wa ccm wakifanya maamuzi ya kuhama kutoka CCM kwenda chadema! Maamuzi haya yameongozwa na Diwani wa kata ya Mateves!
0 Reactions
18 Replies
3K Views
kauli ya goli la mkono aliyotoa nnauye kwa ushindi wa ccm ilifaa huyu jamaa kufungiliwa mashitaka dhidi ya utata wa kauli yake ili atuweke wazi wapiga kura alimaanisha nini kutoa kauli hiyo...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Wakuu habari zetu, naulizia kuna mwenye taarifa yoyote juu ya Mheshimiwa Edward Lowasa kuchukua fomu ya Uraisi maana naona tarehe zinasogea na hakunafeedback au taarifa yoyote kwa wanachama na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya vutankuvute kwa takribani wiki1 Dr Chegeni katangazwa mshindi dhidi ya Kamala kwa kura elfu13,Dr Kamani elfu 11
0 Reactions
19 Replies
3K Views
UKOSEFU WA AJIRA Kiwango cha ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wenye umri wa kati ya miaka 15 – 24 ni asilimia 13.45. Ukosefu wa ajira pia uko juu zaidi miongoni mwa wasichana (asilimia 14.3)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani hizi ni taarifa za ndani kabsa hili swala la watumishi wa majeshi kupewa amri kutoka mamlaka ya juu kukusanya shahada zao za kupigia kura linaleta taswira gani katika uchaguzi mkuu wa oct...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi karibuni pembe za ndovu zinazokadiriwa kuwa na thamani ya Tshs.800,000,000 zilikamatwa nchini uswisi zikiwa zinasafirishwa kwenda China. Pembe hizi zilipita kwenye uwanja wa JNIA ambapo kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Najitanabaisha kwa wasio nifahamu mimi si Mwanachama wa Chama chochote kisiasa, mimi ni Taifa kwanza vyama baadae.Kwangu CDM, CCM, CUF au NCCR wote sawa tunajenga Nchi. Lakini humu JF kama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wataalamu hivyo huyo Lowasa akishindwa uchaguzi October 2015 atahama nchi au ataondoka Chadema na kujiunga na CUF maana hawana Mwenyekiti. Tena kwa ushauri wangu nafikiri angehamia CUF mapema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wenye mitizamo isiyo badilika , Hv mmewahi kufikilia lengo la chama cha siasa? Wengi mtasema ni kushika dola, lakn ni zaid ya hapo!! Mtizamo wangu chama cha siasa lazima kiwe na...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Tumshukuru mungu Tanzania kuwa mwanachama wa mahakama ya kimataifa ya makosa ya kihalifu dhidi ya binadamu maana uchaguzi wetu mwaka huu unaonyesha dalili za kufikishana huko. Watu wameacha...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
hili sasa limedhihirika, kila mitaa kwa chama cha mapinduzi, kupenyeza choko choko kutugawa kwa makundi. Wagawe uwatawale, ndivyo wafanyavyo kwa ukanda na ukabila, tusikubali. kwa udini na kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu jf imevamiwa! Kuna kundi kubwa la vijana waliohamia kutoka Friends of Lowassa na 4u Movements wamekuwa wakipinga vikali sana tuhuma za mgombea wao aliyekatwa kutoka CCM kwa mtu yeyote...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Back
Top Bottom