Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mgombea Urais wa ACT, Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hata ukawa wanalindana kama ndio maana ya mfumo, mfano mzuri huyo lowasa alikuwa mbaya alipokuwa ccm amekuja ukawa mnamuona mwema, mnamlinda. Sumaye anaonekana mwema mnamlinda, hata Dr. Slaa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mgombea wa Ubunge Chadema Tabora mjini AKATWA MAINI
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Niko nafuatilia matangazo ya Moja kwa Moja ya kituo cha luninga cha ITV kinachorusha uzinduzi wa ilan ya uchaguzi ya asasi zisizokuwa za serikali kiukweli zijaelewa kwanini haya yasingefanyika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiangalia kwa undani utagundua kwamba Chadema ilikuwa inaonekana km chama cha kikanisa kwa sababu ya image ya Dr Slaa. Ccm waliweza sana kutumia propaganda hii kufanya kundi kubwa la Waislamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatudanganyiki. Tumechoka kulaghaiwa. Lowasa mmemfuga nyie, nanyi mkaimba wimbo uleule wa fisadi. Wengine wote mme wa-retain then yeye ndo anakuwa conspicious vile kakataa mfumo wenu wa kupeana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake...
9 Reactions
306 Replies
31K Views
CCM ina wachama milioni 6. Mwaka huu watanzania waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 23. Tangu uhuru wastani wa wapiga kura niasilimia 75,japo mwaka 2010 waliopiga kura ni asilimia 42.6...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo Magufuli anafanya mkutano wa kampeni hapa Iringa, nipo hapa luxury pub napata supu kidogo but tutajuzana yanayojiri soon. stay tuned!
1 Reactions
33 Replies
5K Views
James Mbatia akifungua kampeni vunjo. Akihutubia makumi ya wana vunjo alisema achaguliwe kua mbunge.
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Kama tunavyofahamu kiongozi wa ACT bwana ZZK anafungua rasmi kampeni zake katika mkoa wa Kigoma na kumtambulisha mgombea urais mama Anna yeye kama mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwenye vituo mablimbali vya habari na kuona makundi ya vijana na wazee wakijinasibu kutoendelea kuburuza na uongozi wa Chadema kwa kile walichoita kuwakaribisha watu wenye...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nakubaliana na wanaotaka uadirifu,nakubaliana na wanaokataa ufisadi.....lkn tulipofika sasa,CCM lazima ife kwanza.....mengine tutajadiliana baadae
0 Reactions
13 Replies
1K Views
By mkulima wa zao la Pamba. Wakulima wa zao la Pamba kanda ya ziwa tumekuwa WATANI wa serikali iliyomikononi mwa CCM kwa zaidi ya miaka 50. Ndugu watanzania wenzangu (hasa wakulima wa zao la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wananchi Wa Morocco wameweza. Chama tawala sasa kimekuwa chama cha upinzani. Opposition wameshika dola. Chama hicho tawala kilikuwa na mamlaka ya tume ta taifa ya uchaguzi, vyombo vyote vya dola...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Haibadiliki hata mara moja.
0 Reactions
0 Replies
475 Views
habari wakuu Serikali ya awamu ya nne chini ya rais Jakaya Kikwete wakati inaanza pamoja Waziri mkuu Edward Lowassa hadi leo natamani ingekuwepo jamaa walijitolea kweli yani na ile kauli mbiu ya...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Mengi yanasemwa kwamba kuna wizi wa kura ... hebu tufahamishwe mbinu, ujanja na jinsi wizi huo unavyofanywa ili kwa wale ambao hatuna elimu hiyo tuweze kufahamu na kuukwepa ikiwezekana tuufichue
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga anayewakilisha UKAWA Mwita Mwikabe Waitara jana alizindua rasmi kampeni za Ubunge jimbo la Ukonga kwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa Pugu...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kulikuwa ni sintofahamu ktk jamii na mimi mwenyewe nikiwa miongoni mwa watu hao. Juu ya uhakiki,usahihishaji, na uhamishaji wa taarifa za mpiga kura. Mimi ninaishi Dar ila nilijiandikisha Mbeya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom