Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Katika kipindi hiki cha kampeni tumeshuhudia CCM ikifanya vituko vingi katika kumnadi mgombea wao DK John P. Magufuli. Tumeona wameacha kusema CHAGUA CCM sasa wanasema CHAGUA MAGUFULI hii ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hawa pamoja na wagombea wenza wao wameteka nchi. Wameteka media. Wameteka majimbo na kata. Wameteka mikutano na hata fikra za wananchi. Watawaponza wengi. Watawaponza waliotingwa na kampeni za...
1 Reactions
3 Replies
975 Views
Watanzania wenzangu tunaelekea katika wakati muhimu wa taifa letu. Tunatakiwa kuwa makini na watu tunaowachagua. Ngoma ya Ukawa imeshikwa na Wachaga na ambao walitumia kila mbinu kuhakikisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hadi sasa score sheet inasomeka Lowassa 95% Magufuli 3% Weapon kubwa ya wana CCM ni kuwagawa ukawa/chadema. Of koz wameshindwa kabla hawajaanza! Mbinu ile ile expecting different results...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tukieelekea uchaguzi tunaitaji.toba na.msamaha wa dhambi kwa ajiliya taifa letu Kingine n.kuona uhuru wa mtandao..nimekuwa.nikiona.malalamiko.mengi juu ya kufhtwa.ama kutokuwepo thread za...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Zitto kabwe ni kiongozi mpenda maaendeleo kwa taifa lake, anapingania kila Jamii katika Taifa lake, Wanyonge, Masikini, Wakulima, Wafanyabiashara, Wanamichezo, Mataajili, Wasanii, n.k...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
WANANCHI HAWATAKUBALI, MH LOWASSA HATAKUBALI PIA. Kwanza naomba niaze kwa kuwapongeza wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura mwaka 2015 na pia waliohakiki...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Kuna watu walianza eti kushangaa iweje Lowasa alikuwa mmoja wa viongozi wa CCM, leo anawakosoa? Nimeona niwakumbushe hao wanaoshangaa haya machache. Lowasa amekuwa kipinga sera za serikali ya...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Mgombea kwa tiketi ya CCM mambo yamemzidi baada ya kuonekana sasa yeye ni kama vile mpinzani wa chama chake ama anagombea kama vile mgombea binafsi, baada ya kuwa anatoa kauli zinazozalilisha CCM...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mke wa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, Janeth Pombe. KUMEKUCHA! Siku chache baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli kuteuliwa na Chama Cha...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Wengi walihisi n comedy.lakin kwa mnaojua.siasa kutokea mawaziri zaidi ya kumi wanagombes urais ile ilikuwa n shds kuna udhaifu sehemu mkubwa tu na.pengine wamekuwa wakivumilia huko waliko...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Leo jioni, mjini Iringa kwenye viwanja vya Mwembetogwa, Mh Mwigulu Nchemba alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, alisema kuwa Watanzania wana uhuru mkubwa sana wa kuongea mpaka wanakosa adabu...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Saizi Ccm wako Meatu wanatangaza mkutano magufuli atakuwa meatu mkoani simiyu kwani watu wameambiwa wakae barabarani centre za vijiji kuna magari yatapita kuwabeba ilikuwaleta meatu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nipashe limeandika hiyo stori. Nimenakili. Lakini kwa kifupi wametaja mikoa tisa: 1. Dar es Salaam milioni 2.85 2. Mwanza milioni 1.44 3. Arusha milioni 1 4. Tanga milioni 1 5. Dodoma milioni...
2 Reactions
46 Replies
9K Views
Kama ilivyotokea 2010 ni wazi viongozi wa UKAWA wameshindwa kushika mawili. sasa mgombea wa UKAWA amebaki kujipigania mwenyewe kwenye kampeni. Hii inatokana na ukweli kuwa wengi wa wapiga...
4 Reactions
135 Replies
10K Views
kinachoendelea sasa hivi Meatu kwa CCM ni maigizo hivi sasa gari ya matangazo ya CCM linapita maeneo mbalimbali ya wilaya ya Meatu ikiwatangazia wananchi kuwa kesho 12/9/2015 mgombea uraisi wao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Magufuli anavyompigia kampeni Lowassa Ahmed Rajab Toleo la 422 9 Sep 2015 DK. JOHN Magufuli, mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) siku hizi anabeba vikapu vingi vilivyojaa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
If Tanzania govt is going to restrict you from job which you where given by international community / Is much better for you to go back! why? because,nothing that what expected should happen...
1 Reactions
3 Replies
847 Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema amechoshwa na manyanyaso wanayoendelea kuyapata wakulima hapa nchi kwa kukopwa mazao yao na kutozwa ushuru na serilkali bila ya wao...
4 Reactions
360 Replies
43K Views
Mkutano mkuu wa ufunguzi rasmi wa kampeni jimbo la Segerea uliofunguliwa tarehe 9 september 2015 na mgombea mwenza wa chadema Mzee Duni ulikosa watu. Pamoja na uwepo wa Mzee Duni na makamu...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Back
Top Bottom