Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wana bodi mimi nina mtazamo tofauti kuhusu uteuzi wa mgombea mwenza wa Mh. Magufuli na ningependa pia nipate mtazamo wenu kuhusu hili. Kwanza nampongeza kwa mpangilio mzuri wa speech yake katika...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya watu "wachache" ambao wameonyesha wazi kutokuwa na huruma na hii nchi. Watu hao ni wale ambao bado wanakikumbatia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chama ambacho kimewaongezea umasikini...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu jamaa siku hizi amekuwa akijitenga sana na mambo ya CCM ,sio kama pale mwanzoni ,kila akiangalia wazee wanaikimbia CCM na kinachomtia hofu kuja kuachiwa CCM ,kwani wazee dawa sasa ikiwa akina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naona mmeingia mitini sasa hivi. Vipi hali ni ngumu? Mnamuona Lowassa mapokezi yake? Bado mnataka mdahalo? Mbona sioni mkihashtag Tunataka mdahalo tena? Kitu gani kimewapata? Imekuwaje mmeitupilia...
1 Reactions
0 Replies
531 Views
Lazima tuwe wakweli watajwa hapo juu hawajawahi kuwa msaada kwa bunge wala wananchi, wasirudishwe tena, Mrema na Cheyo wamekuwa wasaliti wakubwa wa wananchi ndani na nje ya bunge, Chenge ametajwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
KAtika siku za kuanza kampeni za ccm mwigulu nchemba alionekana akitumia chopa ya ccm kumfanyia kampeni magufuli. Lakini kwa sasa haonekani wala kusikika kbs..ametoswa au jimboni kwake hali mbaya????
0 Reactions
10 Replies
2K Views
heshima kwenu wakuu.. kila mtu anatambua historia ya siasa ya MH.e.lowasa.aliingia kwenye siasa tokea 1977.mwaka 1995 alijaribu kutaka kugombea uraisi kupitia ccm lkn akakatwa.mwl.nyerere...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
===================== Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amebainisha mambo saba yaliyopo kwenye Katiba Pendekezwa ambayo anasema yataiangamiza Zanzibar endapo Katiba...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Watu kusombwa na malori huku wakilipwa posho kwa lengo la kutengeneza tunachoshindania kwa siasa za sasa " mafuriko!". 2.Kundi watu waliopatikana kwa mtindo hapo juu kutegeshwa njia anayopita...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtu mmoja ambae ni mkazi wa Murgwanza Wilayani Ngara mwanachama wa ccm amekutwa akiandika namba za Vikatio amepgwa na wanamabdiko nusu apoteze maisha! Jamani Nguvu yamabadiliko haizuiliki...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
KUFA KWA NYANI MITI YOTE HUTELEZA! Kuna swali muhimu sana la kujiuliza na kupata ufafanuzi ikiwa tunaelekea kwenye tukio muhimu la upigaji kura. Kulishawahi kuwa na tetesi hapa jamvini kuwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mkongwe wa siasa nchini aliyewahi kuitumikia TANU na CCM kwa miaka 61na kisha kujitoa rasmi ndani ya chama hicho hivi karibuni ndugu Kingunge Ngombare Mwiru ameionya CCM kuwa isithubutu kuwahujumu...
1 Reactions
1 Replies
904 Views
~Mfumo usio wa kifisadi ~Mfumo usio na CCM ~Mfumo unaojali na kuckiliza maoni ya wananchi si kama ule uliominya maoni ya wananchi katika tume ya Warioba. ~Mfumo utakaoleta adabu na nidhamu si...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa najiuliza hvi tatizo la Tanzania ni kukosa viongozi wasafi? Jibu likawa sio wapo wengi tu hasa kabla ya kuonja madaraka. Nikamkumbuka Mkapa. Mwaka 1995 alipoingia madarakani alikuwa msafi...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Habari zenu wakuu wakati nazunguka na baiskeli yangu kumtafutia lowassa kura vijijini, nimeskitishwa na baadhi ya kauli walizokuwa wanatoa watanzania ambao pia ni wapiga kura, wengi walidai eti...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
POLISI WAVURUGA MATEMBEZI YA AMANI... Katika hali ya sintofahamu leo imetokea pale polisi walipovamia matembezi ya Amani yaliyokuwa yanaongozwa na Mama Regina Lowassa pamoja na Baraza la Wanawake...
1 Reactions
119 Replies
14K Views
Ukiwa umefuatilia utagundua kuwa chadema wamezitupa zile nyimbo zilizokuwa zinahamasisha jamii ichukie ufisadi na mafisadi sasa hivi kumpamba tu fisadi wao
1 Reactions
9 Replies
900 Views
Ndugu wana jamvi kwa muda mrefu ukianzia na nyomi/mafuriko ya wananchi wanaowaunga Ukawa siku ya Mgombea wao alipoenda kuchukua fomu tume ya uchaguzi, na mpaka sasa. Kumekua na kauli kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Kifungu cha 7 ni lazima kipigiwe kelele kibadilishwe kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom