Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Suleiman Yusuph Mwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba Aidha, Lupakisyo Andrea Kapange ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mbowe amteua Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA. Mh Mbowe amesema kuwa amefanya uteuzi huu kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA. - Mh. John John Mnyika Katibu Mkuu - Mh. Singo Benson Kigaila Naibu Katibu...
20 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rais Magufuli amempokea waziri wa maliasili na Utalii Hamis Kigwangala alipokuwa akipokelewa katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili, Rais amesema waziri huyo ni mchapakazi na amepata ajali akiwa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Unajaribu kumuua Tundu Lissu kwa sababu zako binafsi. Kwa sababu ya ushetani wako, hofu yako, woga wako na udhaifu wako. Halafu unatumia nguvu nyingi kupotosha. Unawatuma watu waropoke uongo...
9 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kama kichwa kinavyojieleza,kuna uteuzi umefanyika Leo wa Madas Majina hayo hapo chini,
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Diwani wa Kata ya Kagondo Anatory Amani na Diwani wa Kata ya Hamugembe Muhaj Kachwamba wamejiuzuru nyazifa zao zote katika vyama vyao na nafasi ya Udiwani na kurejea Ccm
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Shughuli ya uapishwaji wa Viongozi wapya walioteuliwa na Rais John Pombe Magufuli mnamo tarehe 28.07.2018 inaendelea Ikulu, Dar es Salaam. Shughuli iko live TBC. ==== Alichoongea rais Magufuli...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) tayari kimeingia katika kashfa iliyoleta mgawanyiko baada ya viongozi kutofautiana juu ya nguvu na jeuri inayotumika kukamua wafanyabiashara na wawekezaji wa kigeni kwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
iko mubashara tbc, rais magufuli anawakabidhi hati za viwanja mabalozi mbalimbali kwa ajili ya kuanza ujenzi wa ofisi za mabalozi na hatimaye kuhamia rasmi. fuatilia uzi huu kwa updates
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Salaam Wakuu, Jeshi la Polisi linawashikilia Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA waliofika Mahakamani Kusikiliza kesi Mbowe. Leo Kisutu ulinzi ni Mkali, Hawaruhusu watu kuingia, isipokua wachache tu...
7 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Msemaji wa Polisi, Lucas Mwakalukwa amesema kauli iliyotolewa na waziri wa mambo ya ndani kuwa kuna mbwa wa polisi aliyepotea bandarini si ya kweli Mbwa huyo ambaye waziri alimtaja kama Hobby...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwennyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Kheri James ametoa onyo kali kwa wananchi kuwa wanaochagua upinzani maendeleo yatazuiwa Amesema CCM ndiyo inayoamua maendeleo yafanyike ama yasifanyike, na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rais anasema kuwa kwa sasa kenya na india ndio wanufaika wakuu wa madini ya Tanzanite wakati hapa Tanzania pekee ndio yanapatikana madini hayo. rais anasema umefika wakati sasa tunufaike sote...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
#MAKAVU Live Uzwazwa wa Chama cha Kijani ni Kuendelea Kumshambulia MBOWE Kuwa ni Mwenyekiti DHAIFU; Eboo! ADUI akiwa DHAIFU sio ndiyo unaweza ku-capitalize katika udhaifu huo? Amini nawaambieni...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari zilizothibitishwa Zinasema Mchekeshaji na Muigizaji maarufu Mzee Majuto amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Majuto amekua aligua kwa muda mrefu More to follow including social...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Unajaribu kumuua Tundu Lissu kwa sababu zako binafsi. Kwa sababu ya ushetani wako, hofu yako, woga wako na udhaifu wako. Halafu unatumia nguvu nyingi kupotosha. Unawatuma watu waropoke uongo ili...
9 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mh.Kigwangwala amepata ajali mda huu akitokea Arusha kabla ya Magugu na Mtu moja kapoteza Maisha. Mh Kigwangwala Yupo kituo cha Magugu
2 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom