Hapana shaka kuwa kutakuwa na maoni na mawazo anuai juu ya masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika Jukwaa hili. Washiriki hawatarajiwi kukubaliana na kila jambo linalojadiliwa! Kwa msingi huo...
Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo...
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia...
Kwa muda mrefu sana imekuwa ikinisumbua kuelewa hasa dhumuni la nchi hasa za kiafrika kudai uhuru wetu ikiwa matokeo ya uhuru huo umekuwa na matunda mabaya sana kwa raia wake kisiasa na kiuchumi...
There are no hard distinctions between what is real and what is unreal, nor between what is true and what is false. A thing is not necessarily either true or false; it can be both true and false.'...
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA.
Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.
Kwa sasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa unatokana na kilimo...
Eti mwenzenu mimi sioni kama tunaweza kujenga uchumi imara bila kuwa wazalishaji. Biashara sioni kama ni muhimili wa jishikilia.
Mimi nikiangalia nchi nilizochagua (sijui zingine) zimepanda kwa...
Kama wazee wanapima vijana kwa kipimo walichopimiwa wao then kiwango kimeshuka, kama vijana wanaopata elimu wanaona wenyewe kuwa inawasaidia then hakijashuka.
Japo si mzee wala kijana najua kuwa...
Naam wanajukwaa
Nafurahi kujiunga na JF, nachukulia jukwaa hili kama ni sehemu ya kujifunza.
Takwimu za tanzania zinaonyesha kuwa kuna watanzania zaidi ya 1.2m wanaoishi nje ya nchi [rejea...
Hapa panaweza pasiwe mahala muafaka kwa kujadilia suala hili, lakini katika sehemu zote nilizoangalia, angalau hapa panaelekea kidogo...Nashauri wamiliki wa bodi hii waongeze kipengele cha...
Naamini tutakapopata uelewa halisi wa democrasia na soko huria na kujenga mazingira sahihi kwa haya kukua basi tutakuwa tumepata jibu. Swali lina baki ni vipi?
Mimi naweza jibu simply time...
jamani kuna habari zimezagaa kwenye mtandao kwamba Naibu waziri wetu ni tapeli na ni "kihiyo", kwamba elimu aliyoandika kwenye CV si ya kweli, sasa hili mie linanitatiza.
David , Dr. David M...
Nina idea moja ambayo kama serikali ikiamua kuifanyia kazi
a. Itainua jina la Utalii wetu
b. Itaingiza fedha za kigeni kuliko mahali popote Afrika
c. Na itaifanya Tanzania kuwa katika hadhi ya...
Ndugu,
as the globe in general is taking measures towards combatting the effects of money laundering and financial crime due to its paramount effect on a nations economy, one cant help to wonder...
Mheshimiwa Rais, nimefurahishwa vilivyo na jinsi ulivyoanza uongozi wako wa awamu ya nne kwa ziara za kushtukiza unazozifanya sehemu mbalimbali ambazo unahisi kuna matatizo yanayowaelemea...
a. Sababu ya kwanza na ya msingi ni kuwa Mzee JM ni kiongozi aliyeshindwa. Hakuna kiongozi mwingine yeyote katika historia ya Jamhuri yetu ambaye ameshindwa kiuongozi kuliko Mzee JM. Katika muda...
Kuna suala hua linaniumiza kichwa nikiwa najiuliza kila wakati juu ya viongozi kuwa wakweli ktk kutaja mali walizonazo.serikali imekua ikilifumbia macho jambo hili huku uchumi ukididimia pasi na...
tumejaliwa hazina za kila namna, eneo zuri la kijiografia, watu wakarimu na wafanya kazi hodari, lakini sisi bado ni masikini. Viongozi wetu wamekosa kitu gani? Ninachambua sifa nane za kiongozi...
Kwa muda mrefu tumeilalamikia katiba yetu kwamba inabana demokrasia. Hata hivyo ni mara chache mno tumeweza kutaja vipengele ambavyo ni tatizo. Leo nimeamua kwa kuanzia kutajia ibara angalu mbili...
Jamani wanajumuiya ya Wa-Tanzania tuishio British Virgin Islands tumeshutushwa na habari kuwa kuna baadhi ya viongozi wetu serikalini wana shahada za PhD kutoka kisiwani hapa. Ukweli hapa hakuna...
Naomba wenzangu kama mkipata nafasi mngejaribu kuangalia documentary movie kuhusu uvuvi wa smamaki mkoani Mwanza. Mimi nieiangalia na kuna mengi sana nimegundua yanatakiwa yajadiliwe
Nchi yetu...
Freedom in Education
We do not want bureaucrats in the Ministry of Education taking over control of private schools. Above all, we resent the recent announcements by the President and by the...
Mwelekeo wa uchumi wa Tanzania baada ya miezi 3 ya utawala wa Rais Kikwete ni mbaya kuliko tulivyohofia! Quartely Econmic Review iliyofanywa na BoT pamoja na wanauchumi wengine wa Afrika Mashariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.