Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kuna jamaa aliniuzia ardhi miaka kama 14 iliyopita, Mimi nikaendelea kutumia, mwaka huu wameibuka ndugu zake wanasema ardhi ile ni ya urithi(familia) ambayo baba yao alirithi toka babu yao hivyo...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook Habari za usiku huu, Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato! Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita...
1 Reactions
10 Replies
649 Views
Naomba kujua kama mtu aliomba mkopo then katika mkataba yule mtoa mkopo hakuweka kipengele cha "madhumuni ya mkopo",je ikitokea shida mbele ya safari yupi anafaidika mkienda mahakamani?
1 Reactions
19 Replies
626 Views
Jamani, mwenye uelewa anidaidie, Maana hii imekaa KiItelejensia zaidi
1 Reactions
17 Replies
495 Views
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu wanasheria Mzee Bingili alikuwa na watoto wawili wa kiume, Kibaki na Kaputi. Akafariki na kuacha mashamba ekari 100 lakini hakuwahi kugawa mashamba kwa watoto wake Kibaki na Kaputi ila...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu zangu, Nimemfungua kesi ya Madai ya kumdai mdaiwa wangu jumla ya Tsh 5,874,500/= tangia Tarehe 17.03.2023 katika Mahakama ya Mwanzo Dodoma. Hukumu ya kesi imetoka tarehe...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Naomba msaada wa rules za Probate na Admnistraion za Tanzania
1 Reactions
1 Replies
189 Views
Napenda kujua kuwa katiba ya Zanzibar imeeleza vipi pale ambapo Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) anapofariki au kupoteza uwezo wa kuongoza. Ni kiongozi yupi atakaeshika madaraka...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Nina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi. Naomba kama...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Napenda kujua ikiwa mtu au taasisi ikitoa mkopo kwa mtu mwingine lakini ikitokea katika mkataba husika hakuna kipengele cha "loan purpose na madhala yakapatikana ktk mkopo huo, nani kati ya...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Tunapoongelea Wanandoa kugawana mali tunaongelea Talaka. Hakuna Mgawanyo wa Mali zilizotokana na Ndoa bila ya kuwepo talaka. Kisheria Talaka inapotoka, hatua inayofuata ni mgawanyo wa Mali na...
11 Reactions
17 Replies
12K Views
Je kama hujapewa taarifa ya utwaajwi wa ardhi yako na hata taarifa hiyo ya utwaaji haipo kwenye gazeti la serikali, je hapo Kuna utwaaji? Je utwaaji huo ni halali? Je wapi nikalalamike? Je nani wa...
2 Reactions
19 Replies
558 Views
Ninaomba mnifahamishe utaratibu wa unyonyeshaji mtoto kwa mfanyakaz Inafahamika mfanya kaz amepewa masaa mawili ya kunyonyesha. Je masaa hayo huanza baada ya muda gan wa kaz?? Au unajipangia wew...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamu kuhusu hii adhabu na mahali inapotekelezwa mtu anapohukumiwa? Pia ni makosa yapi ambayo mtu akiyafanya hupelekea kupewa hii adhabu? Nani anatumika kuchapa viboko hivyo na hutumia...
1 Reactions
4 Replies
420 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye...
8 Reactions
13 Replies
646 Views
I kindly request for the interpretation on application of Rule 90(5)CAT Rules of 2019 that read as; ..."Subject to the provisions of subrule (1), the Registrar shall ensure a copy of...
2 Reactions
10 Replies
390 Views
Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
0 Reactions
4 Replies
428 Views
Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje? 1. Je kuna limitation...
0 Reactions
22 Replies
697 Views
Habari Waheshimiwa, Naomba kuuliza kama ni lazima kwa sheria za kazi Tanzania kwa employer kukupa a written employment contract unapoanza kazi. Na kama ni lazima, na employer...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom