Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kawaida, tena on the spot, judgment zinazotolewa na HC and CoA zinawekwa kwenye website ya TANZLII. Such a sensitive judgment one would expect to be posted as soon as possible! Tuwekeeni...
0 Reactions
3 Replies
375 Views
MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA. SEHEMU YA 1 Kumekuwa na maswali mengi kuhusu mgawanyo wa mali za familia kwa wanandoa baada ya kuachana. Makala hii inajibu maswali...
0 Reactions
3 Replies
483 Views
Habari wana JF, ni matumaini yangu wote mko sawa, nadhani hii ni mara ya kwanza kupost hapa ubaoni ninaombeni msaada maana nimeshindwa hata kulala yaani. Labda nielezee hivi, sisi ni wakristo...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
📌 UWT YAJIKITA KATIKA KUTOA MSAADA WA KISHERIA KWA WANAWAKE NCHINI. 📍Dodoma Mwenyekiti wa UWT Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) ameielekeza kamati ya Haki na Sheria ya UWT inayoongozwa na Mhe. Zainab...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
🔰🔰🔰WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT WANOLEWA KUHUSIANA NA SERA YA JINSIA 📍Dodoma Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UWT chini Mwenyekiti Ndg. Mary Pius...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Iko hivi... Mimi ni mmoja wa wanahisa wa kampuni fulani mkoani Arusha.Katika harakati za kutaka kuongeza mtaji,wazo la kwenda taasisi za fedha kukopa likaibuka.Moja ya mahitaji ya hiyo taasisi...
1 Reactions
1 Replies
330 Views
Judiciary and Stakeholders' Role in Strengthening the Integrated Criminal Justice System Introduction For over two decades, the judiciary has marked Law Day with significant implications...
1 Reactions
0 Replies
191 Views
Kwema Wakuu? Nilikua naomba usaidizi wenu wa msaada wa mawazo. Ninamdai mtu kama TZS 18mil hivi na nikamfungulia kesi ya madai kwenye Mahakama moja ya mwanzo hapa Dar es Salaam. Bwana yule...
0 Reactions
11 Replies
549 Views
Kuna kitu hakiko sawa, nadhani subject to discussion (maana sasa tunaruhusiwa kujadili hukumu) Since no reason was given, the first respondent, Permanent Secretary, Public Service Management &...
3 Reactions
4 Replies
405 Views
MWENENDO WA KESI YA WAKILI FATMA KARUME NA ILIPOFIKIA Habari, leo nakuletea UPDATE YA KESI YA WAKILI FATMA KARUME a.k.a. Shangazi, jinsi ilivyoanza, jinsi alivyosimamishwa Uwakili kwa muda na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Boss wangu alinijulisha kwa mdomo kwamba natakiwa kuwa rentrenched kwa hiyo HR watanijulisha Zaidi. Siku mbili baadae, nikapewa Termination Letter ambayo inasema ajira yangu itakoma baada ya siku...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari, leo nakuletea makala fupi kuhusu dhamana kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Kwa kusoma makala hii utajifunza mambo yafuatayo: (i) Utajua maana ya dhamana (ii) Msingi wa dhamana kisheria...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
I took a mobile app loan for 8 days. On the date of repayment, the company staff started to bombard me with demands for payment. I spoke to three different individuals from the company and...
4 Reactions
2 Replies
381 Views
Habari? Kuna changamoto niliipata na kampuni moja ya ukopeshaji mtandaoni.. Nilikopa kwao pesa 21/01- Na makubariano yalikuwa niwalipe siku ya tarehe 27. Ilikuwa siku ya tarehe 27 nikapokea simu...
4 Reactions
14 Replies
478 Views
Ni haki kutoa matunzo ya mtoto kwa kiasi akitakacho mwanamke alieamua kuvunja ndoa na kuondoka na mtoto?
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Mtu akistaafu (on compulsory retirement) , hawajamlipa stahiki zake time limitation ni ipi to claim that in a court of law? Nijuavyo if UNFAIR termination from employment, time limitation to lodge...
2 Reactions
16 Replies
517 Views
Sheria imeweka kinga maalum za msingi ili kuhakikisha mazingira ya kazi yanakuwa ya staha na heshima kwa kukataza ajira ya mtoto, ajira ya shuruti na kupiga marufuku ubaguzi katika ajira. Makatazo...
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Mim ni mteja wa crdb bank nna visa card ya bank tajwa hapo juu. Nliibiwa tembo card yangu na mwizi akafanikiwa kuniibia kiasi cha 3.7m kwa mda wa siku tatu. Siku ya kwanza alitoa one M. Siku ya...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari wakuu, Samahani naomba msaada kwa yoyote ambaye ana connection na watu wa idara ya uhasibu mahakama ya mirathi temeke aweze kunisaidia mawasiliano. Mama yetu mzazi alifariki mwaka Jana...
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Back
Top Bottom