Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Bia zimeandikwa Haziuzwi kwa Mtu mwenye Umri Chini ya Miaka 18 Kumbi za muziki zimeandikwa hivo hivo. Lakini bado unakuta vitoto vidogo viko bar vinagonga ile mambo alafu ukiingia kumbi za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa, Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) Eliezer Mbuki Feleshi atakua mgeni katika kipindi maalamu kitakachooneshwa na kituo cha Televisheni cha ITV muda mfupi kuanzia sasa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba msaada wa softi copy ya sheria hizo
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kuna rafiki yangu kapewa barua na mwajiri kuwa anahamishwa kituo cha kazi kwa kuwa ni mtovu wa nidhamu. Tafsiri yangu huu ni uhamisho wa adhabu. Na ati hatakiwi kulipwa stahili zozote za uhamisho...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Nina mshikaji wangu huu mwaka wa tano anateseka kudai mtoto wake bila mafanikio. Stori ilikuwa hivi: Yeye kaoana na mmarekani walikutana alipoenda huko kimasomo, bahati mbaya mkewe aligundulika...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Habari za mwisho wa wiki wana JF, Naomba msaada wa kisheria kuhusu hili: Kaka yangu alizaa mtoto nje ya ndoa, na akamtambulisha huyo mtoto kwetu sote hadi kwa wazazi wetu na ndugu wote...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hi, I am an owner of an IT start-up in Tanzania. I cannot afford to keep people on the payroll so I want to make use of a freelancing model. In this model, I get people to work on some project...
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Majuzi nimeingia makao makuu ya tanesko kilimamnjaro nakakuta muziki wa injili unapigwa kwa sauti ya juu sana ofisini. Naomaba kujua sheria za kazi zinasemaje juu ya uhuru wa mfanyakazai anapokuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie hii. Nilisimuliwa tu wakati naanza maisha ya ukanda huu wa pwani na nikaona baadaye kwa rafiki yangu. Sijui "mila" au utaratibu wa "sheria za nchi" au "sheria za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari zenu? Naomba wataalamu wa sheria wanijulishe kuhusu haki ya mfanyakazi kupata bima ya afya (yeye mwenyewe, mke/mume wake na watoto). Sehemu nyingi nilizopita kufanya kazi, hususan...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mrema 'ayeyuka' na hati ya wito wa Mahakama Send to a friend Thursday, 07 July 2011 21:06 James Magai MWENYEKITI wa Chama Cha Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa alioa mke kwa ndoa kanisani yapata miaka mitano iliyopita huko kijijini na kuhamia Dar kikazi, wakabahatika mtoto mmoja. mwanamke alianza kubadirika baada ya kufika mjini ugomvi ndani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Obama tries to stop execution in Texas of Mexican killer US president warns Texan authorities that execution would put America in breach of international legal obligations...
0 Reactions
3 Replies
893 Views
Heshima yenu wakuu, Naomba kufahamishwa kama NGOs zinalazimika kuwa audited kama yalivyo Makampuni. Pia naomba mwenye Non Governmental Organizations Act, No. 24 of 2002 atuwekee hapa nasi tuisome...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Casey Anthony found not guilty of murdering daughter Caylee Florida jury acquits mother of killing 2-year-old toddler who went missing in 2008 and was found dead six months later...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Balozi mstaafu apata pigo kortini Send to a friend Tuesday, 05 July 2011 20:46 Daniel Mjema,Moshi MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imemuamuru...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Attached is Mtikila's petition to the African Court of Human Rights (ACHR).
0 Reactions
1 Replies
1K Views
leo nilikuwa nafatilia bunge wakati linapitisha sheria ya fedha ya mwaka 2011 lakin mwenendo alioutumia Mweshimiwa Makinda kukataa mabadiliko yaliyopendekezwa na Dhambi na Tundu Lisu na Mnyika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika pitia yangu ya magazeti ya bongo nimeona picha ya mtu aliejeruhiwa katika ya ajali ya gari, chini yake kuna maelezo kua jamaa anakimbizwa Polisi kupatiwa cheti ili akatibiwe....... Hivi...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Back
Top Bottom