Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Eti ni haki kuvutiwa gari parking za nje ya mji kama mwenge,sinza, nk.. ukipaki pembeni ya barabara wakidai wanasafisha jiji nfano nilipark TRA nje ndani kulijaa na wakanicharge tsh 195000...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katıka nchı nyıngıne uzınzı (adultery) nı kosa la jınaı na mtu anaweza kushıtakıwa. Kwa Tanzanıa, ukımfumanıa mkeo/mmeo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukifatillia kwa makini utakuta kwamba wanasheria wengi wa kujitegemea wanashinda kesi nyingi sana zidi ya serikali na kuitia hasara mara mbili, pengine ukiangalia kiundani unaona ushahidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba legal authorites kwa hii kitu, leo jion nilenda bank fulani kwa lengo la kudeposit 500,000/= Tshs but instead wameweka 50000/= Tshs kwenye acount. what are ma legal rights and obligation...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Gari ya ndugu yangu imekamatwa leo huko Morogoro kwa kosa la kutofanyiwa ownership transfer. Jamaa alinunua hiyo gari miaka miwili iloyopita na hakubadili jina kwenye kadi. Leo amekamatwa na agent...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KUNA kitu kinatokea Zanzibar ambacho kisipotafutiwa dawa kinaweza kuleta sura mbaya katika jamii ya Tanzania na ya kimataifa. Pamoja na kuonekana kwamba Zanzibar kuna utulivu, kumekuwa kukizuka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ningependa kujua sheria inaseamaje kwa mbunge mteule akifa kabla ya kuapa inanakuaje, je 1) uchaguzi mpya utafanyika??? 2) Mshindi wa pili aliye fuatia kwa wingi wa kura ana weza kuchukua nafasi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mimi ni mtanzania ninaishi botswana'serikali ya nchi hii imeamua kutoa sheria kali kwa wageni wanaofanya kazi na biashara'nina kampuni lakini wamenipa masharti magumu kabisa ya kupata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bunge lifanye nini endapo serikali haitatekeleza maamuzi ya kamati teule za bunge mfano katika tuhuma za Rushwa?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
juzi nilienda polisi kufungua kesi ya madai,but askar waliokua zamu pale kituon wakakata na kuniambia hizo kesi wao haziwahusu so niende direct mahakamani kufungu charge.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu yangu amepanga nyumba anakaa na familia yake,mkataba ni wa mwaka na ameshakaa miezi minne mpaka sasa.sasa mwenye nyumba juzi kabandika tangazo getini,akitangaza kusudio la kubadili matumizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kwa bongo hii mikataba huwa ipo? kama ndio huwa inatumika katika kesi za kugawana mali wakati wa kuachana (divorce)? Kwa sababu kama mwanamke aliolewa na urithi wake wa let say, nyumba zenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, ametangaza ripoti ya uchunguzi wa kuzama kwa meli ya MV Spice Islanders, inayopendekeza vigogo wa serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAKI ya mtu kuwa huru ni haki ya kikatiba na kisheria ambayo haipaswi kuingiliwa na mamlaka yoyote ila kwa mujibu wa maelekezo ya sheria ambayo, hata hivyo, sheria hiyo nayo haipaswi kupingana na...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimeiona hali ya kuzuia mshahara ikiwakumba hasa waalimu wa shule za msingi kwa visingizio mbalimbali kama kutokuandaa azimio au andalio la kazi. Mwalimu Mkuu hutaarifu nia ya kuzuia mshahara wa...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Polis Kinondon wanamsaka Mwingira baada ya kubomoa Ofisi za Afrophus mwenge dsm jmosi! Source gzt uhuru
0 Reactions
247 Replies
36K Views
Kutokana na Mgogoro wa Madaktari Bingwa na Wizara ya Afya unaoendelea. je serikali inaona umuhimu wa Wataalamu hawa?
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Kuna rafiki yangu amefanya kazi kenye shirika miaka 28,mwajiri akaamua kumfukuza kazi,kitendo ambacho jamaa yangu hakuridhika nacho. Akaenda CMA ambao wametoa hukumu yao kwamba arudishwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wapedwa kaka na dada wasomi.nimeandika kichwa cha habari hicho nikiomba ufafanuzi wenu wa kisheria kuhusu matamko ya wanasiasa yanayotolewa kwa watu waliojenga kwente ama hifadhi za barabara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wana jf naombeni msaada nataka kujua siku za hivi karibuni ukienda kwenye taasisi nyingi mfano bank migodi. viwanda na hata hotel unakuta wamefunga cctv camera je mahakama zetu zinatumia...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Back
Top Bottom