Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba ufafanuzi kujua haki itatendekaje ili tuweze kupata ardhi yetu, iliyouzwa na mwanaume aliyekuwa anaishi na marehemu dada yetu. Huu mji tulikuwa tunaishi sisi familia baadaye wazazi wetu...
Wataalamu wa sheria naombeni muongozo wenu, maana tumeshapoteza imani na Bunge, Jeshi la polisi pamoja na mwenendo wa mahakama juu ya masuala mbalimbali. Je raia wenye nia njema wakiamua kujiundia...
New Employment Rules For serious Companies to adopt
SICKDAYS
We will no longer accept a doctor's certificate as proof of sickness. If you are able to get to the doctor, you are able to come to...
NOT that she had taken another womans child to the shrine to be sacrificed for sh80m but her own ten years old son.
High Court in Kampala presided over by Justice Jane Kiggundu sentenced...
mi ni mwalimu shule flani secondary wakuu wananisumbua kunipa uhamisho wa kumfuata mume wangu aliko na ni nimepereka cheti cha ndoa na barua ya kuomba kuhama ,naambiwa nitafute mwalimu mbadala ni...
Mdogo wangu alikua ameajiriwa na jamaa anaitwa richard kwenye kibanda cha tigo pesa
amepata short katika hiyo biashara, kulingana na maelezo yake, hiyo short aliipata kutokana na network mbovu ya...
Madaktari wanalilia kuondokana na hali hii. Utashangaa wengine wanang'ang'ania kuwa eti Madaktari wanataka mishahara minono.
Ikiwa hii ndiyo hali ya hospitali zetu nyingi, kuna tofauti gani ya...
Samahani naomba msaada ndugu zangu,
* Ndugu yangu wa kike anaishi Arusha mjini, alitengana na mume wake miaka2 iliyopita kutokana na ukatili na udhalilishaji wa mumewe, alikuwa akimfanyia kila...
Kama nipesa basi Mji wa wagumu Mkoani Kilimanjaro Unaongoza kwa Mungu Onisha Sasa Hela ilipo(MOSHI).
Polisi Mkoani kilimanjaro inashikilia wauzaji maarufu wa nyama ya mbuzi katika Baa ijulikanayo...
Godfrey Sanga amehukumiwa kwenda jela kifungo cha miaka mitano baada ya mahakama kuthibitisha kuwa julai 7 alichinja mbwa wanne na kuwauza katika klabu ya pombe za kienyeji iitwayo...
Taarifa kutoka Mahakama kuu zinaonyesha kuwa kesi husika itatajwa tarehe 1/06/2012 baada ya kuandikwa katika magazeti ya Mwanahalisi na Uwazi.Mgogoro uliyojitokeza kwa wale ambao hawajui...
habari ya kushangaza kidogo, watu 7 wafariki na wengine wapo hoi wamelazwa hospitalini kwa kunywa pombe haramu ya GONGO!,
hiii gongo iliwekwa nini wakuu?, mavi au?
MKAZI mmoja wa kijiji cha Piyaya kilichopo wilayani Ngorongoro aliyefahamika kwa jina la Alaisieleke Korio (48) amefariki dunia baada ya kupigwa fimbo kichwani na mwenzake .
Kamanda wa polisi...
Kamanda wa jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam,Suleiman Kova ameonya juu ya maandamano yanayoratibiwa na jumuiya ya madaktari pamoja na yale ya baraza la kiislamu.Kamanda Kova ameamuru...
Wana jamvi niko safarini kuelekea Mwanza lakini ninachokiona kwa matrafiki wetu kwanza ni usumbufu pili ni wizi au rushwa ya wazi. Tangu kutoka Arusha mpaka Babati tumeweza kusimamishwa zaidi ya...
Wakuu'
salamu mbele siku zote.
Nina jamaa yangu ni askari, na huwa anachukuliwa kwenda kusindikiza milipuko kwa ajili ya hawa wezi wanaoharibu mazingira yetu wakitafuta dhahabu sehem mbalimbali...
Court has fined a businesswoman Shs200,000 for threatening violence.
Ms Diana Ngabire, who would have spent a month in jail if she had failed to pay the fine, was found guilty of sending text...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.