Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

What if people stand on their positions as stipulated in the 1977's constitution in Article 4? what if political parties stop interfering the functions of executive and judiciary? it is my...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Baada ya kuona mkanda wa mauwaji ya mwangosi sidhani kama rpc wa iringa anakwepeka kwa nini asinyongwe...natumaini hata nyeerere analia uko aliko aliowaachia nchi hii..sasa basi nakuja kwa afande...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
..naomba msaada wa wanasheria hapa wenye uelewa wa kesi ya madai ya familia ya Lt.Gen.Imran Kombe. ..hivi Daudi Mwangosi hakuuwawa katika mazingira yanayofanana-fanana na mauaji ya Imran Kombe...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajamii ninaomba ufafanuzi wa kisheria kama inawezekana mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi anaweza kushitakiwa kutokana na uwamuzi halali wa bodi katika kikao halali cha Bodi.Tafadhali wanasheria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inatisha........, kila sifa jeshi letu la polisi linazo. kabla ya wingu la mauaji ya mwandishi (shujaa) MWANDOSI halijafutika juzi askari mwingine toka tazara amekamatwa na wenzake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waelewa wa jambo hili hasa upande waajira hivi mtu akiajiriwa katika wilaya tamisemi je akiacha kazi na kuomba kwingine ataajiriwa? Ila siyo tamisemi tena anaweza akaingizwa kwenye malipo ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kufahamu maana wengi wao wanaonekana kwenye barabara wakideal na magari, daladala, Kwenye supu muda wa kufanya kazi, Kwenye vijiwe vya madalali wa magari mida ya kazi kama pale magomeni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua kama sheria ya tume za uchunguzi ilioongelewa na Mh. Tundu Lissu kuhusu swala la kupinga tume ilioundwa na Waziri wa mambo ya ndani haina exception to the general rule
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wana Jamii. Naomba msaada wako wa kunielewesha. Gari langu lilipata ajali.kama unavojua ukipata ajali hapa Dar inakuwa dili kwa wenzetu vibaka. Wakachukua kadi la gari.hati ya...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nimekodi gari napeleka mzigo wangu kwa wanyalukolo kutoka dar. Kama kawaida ya magari ya mizigo,dar tumetoka usiku. Kufika kibaha mizani tukasimamishwa na polisi mmoja(hana sare ya trafic) umri...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana JF naomba kujua sheria ya utumishi wa Umma inasemaje kwa mtumishi kutembea na mke wa mtumishi mwenzake kimapenzi huku wakifanya kazi ofisi moja mf walimu shule moja ofisi moja?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This is what the Law (The Statistics Act, 2002) provides: Sec. 11.-(1) Every person employed in the execution of any duty under this Act shall, before assuming duties, make' and subscribe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama hii mada itaondolewa ndani ya dakika mbili ni mtihani kwa mods. Kama nikipata BAN i will happily receive it, Haiingii akilini kuwa watu waliokuwa wanashikiliwa na vyombo vya dola kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Asha Bani MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam, imewaachia huru wanafunzi 51 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), waliokuwa wakikabiliwa na kesi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
katika kile kinacholalamikiwa na Waislam kuhusiana na Sensa bila kumungunya maneno TBC1 hamuwezi kukwepa hili hata Rais katika hotuba yake ameonekana kukerwa na kitendo cha taasisi ya umma...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Watanzania wenzangu wenye kupende maendeleo ya nchi yetu naomba mtujuze ni utaratibu gani halali unatakiwa kutumika kikatiba na kisheria kumuondoa raisi madarakani.Sisi ndio waajiri wake ila...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, hasa mliobobea kwenye fani ya sheria, naomba tuelimishane katika hili. Mimi katika kupitia pitia vitabu vya sheria nimeona haya, naamini kuna mengine. Sheria ya Makosa ya Jinai Sura ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
what happened in Iringa, that is, the brutal killing of late Mwangosi is how Police treat those they suppose to protect?, especially in a country claimed to be a peaceful country?
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Habari za kusikitisha kutoka kampuni ya kijerumani iliyopo hapa hapa Dar inayoitwa STRABAG, Zinasema kwamba, mdada mmoja mtanzania alilazimishwa na mzungu kufanya mapenzi na mbwa wake huku...
0 Reactions
45 Replies
16K Views
Ninavofahamu mimi, kwny criminal case serikali inatakiwa kuhakikisha watuhumiwa wanashikiliwa hasa wale waliokuwa eneo la tukio.SWALI: kuna walioshikiliwa kwenye kifo cha mwandishi wa Iringa? Na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom