Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wanajamii, natumai mko njema.
Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda...
Majaji 3 (MLYAMBINA, . KAKOLAKI, NA AGATHO) wa mahakama Kuu Dar wameto uamuzi huo tarehe 13/ 03/2024 kuwa kifungu cha 44(1) na 44(2) (section 44) vya sheria ya Ukomo (Law of limitation Act)...
Kuna jambo linaniumiza Kichwa sana.
Baba yangu alikufa 2014, babu yangu(baba wa baba yangu) akafa 2021.
Inasadikika muuaji ni mwanafamilia mshirikina; lkn hapa nataka kuleta hoja nisaidike...
Wadau leo wacha nianze na hii story fupi kisha nitaingia moja kwa moja katika kuconnect story hii na mada tajwa hapo juu .
Ok let's start:),
Ilikua ni jioni tulivu katika kijiji cha Mazingira...
Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa maswala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii aimaanishi ni wale waliosoma sheria tu...
Kuna dogo mmoja Ni ndugu yangu wa mbali!
Amepatwa na hekaheka ya kutotakiwa shuleni pamoja na wenzake kadhaa!
Msimamo wa mkuu wa shule ni kwamba hawawahitaji wanafunzi hao shuleni kwake, hivyo...
Naombeni kuulizia nina mkopo Bayport lkn nilipo acha kazi serikalini nikawapigia kuwauliza ni kwa namna gani nitawalipa pesa zao lkn waliniambia sipaswi kulipa kwa kuwa mkopo ulikuwa issued...
Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.
Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia...
Mm nimtumishi wa umma katika idara ya afya, miezi sita nyuma nilihamia katika kata moja maeneo ya mkoa wa lindi kutumikia wananchi.
Sasa katika utoaji wa huduma eneo nilipangiwa kikazi kama...
Habari,
Naomba msaada/Muongozo jinsi ya kufikisha rufaa kwa Rais.
Nilipeleka rufaa tume ya utumishi wakaikataa, zaidi nimeongezewa kosa ambalo silitambui.
Na Mwajiri hakufuata kanuni za...
Namaanisha mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 14
Ni kidato Cha pili!
Mwanafunzi huyu anatuhumiwa kumpa mimba Mwanafunzi wa kike kidato Cha kwanza miaka 13 ya umri
Mwelekeo ni kwamba wote...
Salaam,
Nianze kwa kutoa background fupi kati ya mimi na mzazi mwenzangu.
Ni mwanamke ambaye nimezaa nae mtoto mmoja, kipindi amejifungua alikuwa akiishi kwa wazazi wangu mkoa tofauti na...
Kuna jamaa yangu kabisa tunafanya biashara moja kwa hiyo huwa tuna aminiana anaweza kunipa mzigo niende kumuuzia au kumnunulia na pia mimi nampa pia
Mwaka jana mwezi wa 5 nikampa mzigo wa kama M6...
Asalam aleykum,
nilifukuzwa kazi na utumishi na mamlaka yangu ya nidhamu. TSD kwa sasa TSC. Mimi ni mwalimu, nilikata rufaa Tume ya Utumishi wa Umma. Nao walikataa rufaa yangu. Nikakata rufaa kwa...
Mimi ni fundi ujenzi kuna jamaa namdai yeye ni fundi aliniuzia kazi sasa kwenye kunilipa ndio shida hatujaandikiana ila ushaidi wa kawaida kua namdai upo sasa naomba kujua kama naweza kumshitaki...
Habari Wanasheria mlioko humu,
Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji.
Wanacnchi tulijichanga...
Za asubuhi wapendwa, hope nyote mu wazima wa afya, na kwa wale wagonjwa Mwenyenzi Mungu awafanyie wepesi.
Hapa mtaani kuna mama amerehemika, huyo mama ameacha mume na watoto 3. Mali zote...
Kawaida, tena on the spot, judgment zinazotolewa na HC and CoA zinawekwa kwenye website ya TANZLII. Such a sensitive judgment one would expect to be posted as soon as possible!
Tuwekeeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.