Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nilikuwa nisafiri kwa shirika fulani la ndege toka Dar kwenda Nairobi. Nikaahirisha safari. nikatoa taarifa airport mahali nilipolipia na kuwaambia nimeshindwa kusafiri, wakasema tiket itakuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani naomba kufafanuliwa sababu hasa inayosababisha wapiga picha za Runinga na wengineo wasiruhusiwe kupiga picha wakati hakimu/Jaji anaendesha kesi, kutoa hukumu n.k Kama mahakimu wetu ni...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Salamu wakuu wa jukwaa hili. Naomba ushauri kwa jambo lililotokea. Ndugu yangu aliingia mkataba wa kusupply vifaa kwenye taasisi moja ya serikali. Wakati wa utekelezaji wa mkataba huo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanamke Sitabai Chouhan akiwa hospitalini. SIKU ambayo mwanamke Sitabai Chouhan alipolazwa katika Hospitali ya Maharaja Yashwant Raoin huko Indore, India, kwa jaribio la kutaka kujiua kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu wa nchi wako busy na misafara huku kisima cha kuchota pesa za kusafiria hakikauki wakati baadhi ya majengo ya mmoja ya mhimili wake yakiwa hoi na yanatia kichefuchefu. Gharama ya kukarabati...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Endapo baba akifariki akaacha watoto wawili wakike (18+) na wakiume (18+), lakini hajaacha wosia uridhi wa ardhi ya marehemu itaridhiwa na mtoto yupi? Au watoto wote? Je endapo marehemu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Inasikitisha kuwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru moja ya muhimili wa dola Mahakama inatumia lugha ya wakoloni (kingereza) kama lugha ya mawasiliano(kuandika hukumu) .Inashangaza kuona hukumu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wanajamvi naomba anayefahamu mwenendo wa kesi ya yule mkenya joshua gitui aliyejisalimisha kanisani akikiri mwenyewe kumteka na kumtesa dr ulimboka atujuze tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndg wana JF, Nimejaribu kuangalia kufikishwa kwa kiongozi wa UAMSHO Sheikh Farid Hadi mahakamani na nimeshtushwa na masharti aliyopewa ya dhamana maana yamekaa kimtego mtego! Yaani kama yanataka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
hellow,kuna mwanamke kule kahama aliishi na mmewe kwa mda mrefu,wakazaa watoto wa tatu. walijenga nyumba pamoja,baada ya kuishi kwa mda mrefu ,mme wake akaanza kumnyanyasa,kumpiga,na...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
habari za mchana ,je mwanamke anaweza kupata vipi haki yake ,endapo kaachwa mme wake?,by jovex
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Wakuu nipo katika mchakato wa kununa nyumba maeneo ya hapa Dar nahitaji nyumba ya kisasa zaidi lakini naomba mnisaidie msaada wa kisheria, taratbu zipi nizifate ili nisije kutapeliwa na wajanja wa...
0 Reactions
5 Replies
902 Views
Nilianza kazi tar 2-3-2012 mazingira niliyopangwa kufanyia kazi ni mazuri ila kuna memba mmmja wa staff yetu anatabia ya kuwapaka wafanyakazi wenzake matope halafu hutoa siri za wenzake katika...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Nawasalimu wakuu!! Jamani yeyote mwenye ile act yenye tax brackets za ku'calculate P.A.Y.E naomba anisaidie.........
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu wanajamii forum naombeni ushauri juu ya namna mirathi hutolewa na upokeaji wake,hapa namaanisha kwamba pesa ya mirathi hutolew namna gani mahakamani......
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Jamani mimi ni mama ambaye nimempatia kijana wangu anifanyie biashara ya mpesa tangu july mwaka huu sijakutana na shida leo hii ninapigiwa simu kutoka nyumbani wananiambia wamepeleka kuweka hela...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar za leo wanajamvi! Najitokeza kwa mara ya kwanza katika jukwaa hili kuomba mchango wako kisheria juu ya jambo linalonisibu. Nina dada yangu ameolewa mwaka wa 3 sasa na wameanza hawana kitu na...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Kuna mfuasi wa CCM alikuja na thread yake juzi eti: Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election. Unajua CCM ni wataalamu na mabingwa waliobobea katika kujifariji. Haya...
0 Reactions
6 Replies
910 Views
wana Jamii,inasikitisha kuona watoto wapo Dar live mpaka usiku wa manane,kwenye karibu matamasha yote yanayofanyika hapo.katika Picha hizi,mfano hiyo ambayo ina mpigapicha,katikati ya miguu ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Endapo baba akifariki akaacha watoto wawili wakike (18 ) na wakiume (18 ), lakini hajaacha wosia uridhi wa ardhi ya marehemu itaridhiwa na mtoto yupi? Au watoto wote? Je endapo marehemu akiacha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom