Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mimi kwenye cheti cha kuzaliwa nimeandikisha majina mawili yaani Frank Mkono lakini kwenye vyeti vya taaluma natumia jina moja yaani Mkono hili jina la Frank ni ubatizo je hii haiwezi kuleta...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
MAHAKAMA YATUPILIA MBALI PINGAMIZI DHIDI YA RUFAA YA ALIYEKUA MBUNGE WA ARUSHA MJINI(CHADEMA)GODBLESS LEMA Godbless Lema akiwasili katika viwanja vya Mahakama ya Kuu jijini Dar...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi Zanzibar Viongozi wa Jumuiya mbili za Kiislam Kisiwani Zanzibar wanaotuhumiwa kwa makosa tofauti ya kutoa lugha za uchochezi na kusababisha ghasia na vitendo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BREAKING NEWS............ VIONGOZI WA UAMSHO WAPEWA DHAMANA YENYE MASHARTI MAGUMU. WAREJESHWA RUMANDE Maelfu wa wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Ni sheria na kifungu gani kinachosema mkishaoana mke apate transfer kwenda kwa mumewe mnisaidie wakuu.
0 Reactions
3 Replies
834 Views
:A S 12:Naombeni msaada Wenu wana JF, mimi natararajia kufunga ndoa kanisani mwez wa 12 mwaka huu. swali ni je cheti cha ndoa nitakachopata kanisani kinatambuliwa na serikali kwenye uhamisho wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UHABA wa mafuta umeendelea kuleta usumbufu mikoani na hivyo kusababisha kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha Channel Ten, Daudi Mwangosi, kushindwa...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Nilisoma kwa news kwa gazeti moja hivi siku si nyingi,waliandika hivi Tanzania kinara wa Uongozi na Utawala bora hadi wakatunukiwa cheti cha Utawala na Uongozi bora. Lakini nikajaribu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CRDB BANK Nimepata account pdf file ikionyesha Statement ya account yangu; Pesa sionyeshi maana ni saving na ina pesa kidogo Akina Riz1 na wenzake watanicheka. Ninachotaka kuonyesha ni Makato...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Zamani kidogo nilisoma kuwa mke wa hayati Jenerali Kombe aliyekuwa ameuwawa na Polisi kwa kumdhania ni jambazi alishitaki serikali kuwa imlipe mabilioni ya pesa. Alishitaki kwa kuwa waliokuwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Watu wana balls za kutangaza wazi wazi biashara ya kuchakachua rekodi ya matumizi/uchakavu wa gari, odometer reading, ukisikia "lawlessness" kwenye nchi ndo hii... Kwenye nchi zingine kurudisha...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Ninaishi kwenye mazingira ya kijijini na kuna incidence imetokea na kwa maelezo ya jamii niliyonayo wanaona kwa mtoto au mtu mzima kubakwa ni kitendo cha aibu na kwenye jumuia hii mtoto/binti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zijue haki na wajibu wako ukisimamishwa na polisi wa usalama barabarani....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyabiasha wa nyumba za kupanga mkoani arusha. Hoja yangu ni kuwa mpangaji mmoja anataka nimpe mkataba ambao haujawekwa saini ya mwenye nyumba na mpangaji. Mpangaji huyu anadai huo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimebahatika kufanikiwa kupeleka vitu vya kufungua Hospitali Tanzania ambavyo nimevipata hapa USA kwa miaka miwili na nusu. Vitu vyote ni vya Hospitali na sijachanganya Container langu na kitu...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamaa anayetajwa kuwa ni mwanajeshi (mstaafu au bado anafanya kazi) amembaka mwanamke hadharani eneo la Magomeni Makanya (Dar es Salaam) mchana huu kwenye mida ya saa 6. Kwa simulizi ya shuhuda...
6 Reactions
69 Replies
8K Views
Nilikua nauliza hivi, afisa upelelezi wa makosa ya jinai katika jeshi la polisi jina lake la cheo hiko kwa kifupi anaitwaje? ikiwezekana na kirefu chake hiko kwa kingereza. naomben mnisaidie
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Ile kesi inayowakabili viongozi wa CDM AMBAO NI DK.KITILA MKUMBO, JJ MNYIKA NA MWIKABE WAITARA IMEANZA KUSIKILIZWA LEO MKOANI SINGIDA MWENYE TAARIFA ZAID JUU YAKINACHOENDELEA ATUJUZE KUMBUKA...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom