Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Naomba msaada wa kueleweshwa: siasa vyuoni inakatazwa na sheria gani? Inakataza to what extent (inakataza nini hasa)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya ndio walioshauri mawakili: OBSERVATION 48. As you will have noted in our Opinion thus far, we have noted and we hope you have also noted, our analyses to most of the issues (if not all)...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana kwa mara nyingine tena kumetokea vurugu kati ya raia na polisi ambayo yalisababisha mtu mmoja kujeruhiwa na risasi. Hapa nitatoa maoni yangu kwa kuangalia suala moja ambalo ndilo naliweka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MSAKO KALI WA POLISI MKOANI TANGA WAFANIKISHA UPATIKANI WA BAADHI YA VITU VYA SHARO MILIONEA VILIVYOKUWA VIMEIBIWA Watu wasio na huruma walishindwa kutoa msaada kwa marehemu sharomilionea...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Source: washington post Adults in Washington state will be able to smoke marijuana legally when it is officially decriminalized Thursday, even though the Justice Department has offered no...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Hii ni kauli aliyoitoa alipokuwa anaongea na waandishi wa habari leo. Dr.Edward Hoseah amesema ushiriki wa jamii ya Watanzania katika vita dhidi ya rushwa umekuwa mdogo..."watu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wadau,naomba mnijuze hili suala,askari polisi anapokuja kukukamata kwa kosa lolote kwa sheria zetu hapa Tanzania ni lazima awe na hii "warrant of arrest",na hii hati inatolewa na mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
  • Closed
Tanzanian media owner faces £1.9 libel costs payment By Corporate Reporter Tanzanian media baron Reginald Mengi has been ordered by the High Court in London to pay a whooping Tsh4.7 billion...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
KWA UFUPI Kamanda Athumani alisema kuwa mbali ya kufukuzwa kazi askari huyo tayari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbozi ili sheria iweze kuchukua mkondo wake. JESHI la Polisi mkoani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ulikuwa unakatiza porini, ukakuta tembo amekufa, na ameanza kuoza. Ukapaki baiskeli yako nakuanza kuukagua mzoga ule, ukaona pembeni mavi ya tembo ukakumbuka kuwa yatakufaa kutibu degedege pindi...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Habari zenu wadau Naomba kujuzwa juu ya hili. Mimi niliajiriwa sehemu fulani na nimefanya kazi kwa takriban mwaka mmoja. Lakin sikuwa nimepewa contract zaidi ya offer letter na confirmation...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu shalom! Jana tar 30 Novemba 2012 katika mahakama kuu kanda ya Sumbawanga, ilitolewa ruling kuhusu hoja ya bw Aeshi aliyevuliwa ubunge kwa kukutwa na kasoro katika mchakato mzima wa uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Friday, November 30, 2012Bonyeza VidioZanziNews : Serikali yawasilisha pingamizi kesi ya viongozi wa uamsho Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mkusa Isack Sepetu amekubali ombi la upande wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, Nipo hapa Mahakama Kuu DSM ambapo nimekuja kuhudhuria kesi ya mteja wangu. Kesi zote hapa zinaahirishwa kwa kuwa Majaji wote wapo Ikulu ambapo wamekwenda kuhudhuria uapishwaji wa...
6 Reactions
51 Replies
5K Views
Imeandikwa tarehe 30 Novemba 2012 na Gloria Tesha | HabariLeo MKUU wa Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Jordan Rugimbana ameiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kubana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wataalam wa sheria naombeni mnijuze jinsi ya kumchukulia hatua daktari aliyesabisha kifo cha mgonjwa kwa uzembe yaani mgonjwa mahututi anapaswa kupewa dawa (morphin) alafu hajampa hiyo dawa kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
what does it mean by the following latin maxime "delegatus non potest delegare"
0 Reactions
2 Replies
869 Views
ASKARI JESHI watatu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua kwa kukusudia ya Swetu Fundikira wamekata rufaa kupinga hukumu hiyo Wanajeshi hao walipewa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Good afternoon wanajf. ninapenda kujua maoni ya watu kuhusu dhamana kwa watuhumiwa wa mauaji. kama tujuavyo murder cases hazina bail na suspect hulazimika kukaa rumamne mpaka uchunguzi ukamilike...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF. uelewa wangu mdogowa sheria ni kwamba bara zinatakiwa kufungwa saa 5 na grocery haziruhusiwi kuuza bia na badala yake zipo kumuwezesha muhitaji wa bia/vinywaji anunue na kupeleka hivyo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom