Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mkataba wa ajira, kama ilivyo desturi kwa mikataba mingine kwa mujibu wa sheria, huzaliwa, huishi na kufa; kama ilivyo kwa binadamu na viumbe hai vingine.
Unazaliwa mara baada ya mwajiriwa na...
Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.
Mwulize jina lake
Mwulize namba yake ya uaskari
Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa.
Raia ana haki ya...
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa...
Asha Mkwizu Hauli akipelekwa Mahakamani
R. v. Asha Mkwizu Hauli, Crim Sessions Case No 3 of 1984 (DSM) (unreported).[/COLOR]
Mnamo tarehe 19 Novemba , 1983 mwanamke mmoja aliyejulikana kwa...
"Why do we Kill People who Kill People to Show that Killing People is Wrong ?"
Je ni sawa kuwa na Hukumu ya Kifo?
Baada ya yule Chizi wa Norway kuua kadamnasi ya watu (ukizingatia Norway life...
When I was in secondary school, the girl used to sit next to me died after performing illegal abortion. It was very sad because it happened a week before we started our final exams.
Women who...
Wana-JF,
Karibuni hapa kwa maswali mbalimbali yahusuyo Sheria ya Ndoa,1971.Wale wote waliopo kwenye ndoa na wanaotarajia kuwa kwenye ndoa wanakaribishwa hapa kuuliza na kujibiwa. Nitashirikiana...
Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo;
1.Ni kozi ngapi zinafundishwa
2.Utaratibu wa malipo ya...
SURA YA KWANZA
HISTORIA YA MFUMO WA MILKI YA ARDHI
Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:-
A. MFUMO WA MILKI YA ARDHI...
Maana ya ndoa
Kwa mujibu wa Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao.
Aina za ndoa
Kuna aina mbili za...
Naomba kama kuna watu humu ndani wanazijua sheria zinazohusu talaka hapa tanzania.wanifafanulie kidogo.
Je, kuna sheria moja kuhusu mgawanyo wa mali kwa ndoa zote, I mean za Kiislam, Kikristo na...
Ukiwa na nyumba au kiwanja bila hati miliki haiwezi kukusaidia kupata mkopo, naomba wakuu mnisaidie mchanganuo wa gharama za kuipata hati miliki na taratibu zake, ninaanzia wapi na kuishia wapi...
Tukio lenyewe lilitokea hapo majira ya asubuhi mnamo Februari 21, 1978. Ni baada ya kuambiwa mumewe wakati anaenda kazini kwamba akirudi asimkute hapo nyumbani, na kama akimkuta, atamtoa hapo...
Wakuu, nilipewa offer ya employment na kampuni moja miaka mitatu iliyopita. Offer hiyo ilieleza kuwa baada ya mwaka nitasaini mkataba wa miaka miwili ambao unaweza kuhuhishwa (renewable)
Baada ya...
Marital Rape: Je, Mume anaweza kumbaka mke wake?
Ni ukweli unaokubalika ya kwamba Mume na Mke katika zama hizi za kisasa wako sawa kama ‘partners na kila mmoja akiwa na haki iliyo kamili...
Ndugu watanzania,
Redio kadhaa na magazeti zimetuambia tar 30 Oct wana review tena kesi ya Babu Seya na wanae waliofungwa maisha milele kwa kubaka.
Tukisubiri usanii tena wa serikali...
It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to...
HAKI NA WAJIBU WA MUME NA MKE KATIKA NDOA KISHERIA SEHEMU YA 1
Maana ya ndoa
Ndoa maana yake ni muungano wa hiari kati ya mwanaume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote...
Naomba kuwafahamisha kilichotokea leo
with regards and respect.
===================
ONLINE REPORTER,
11th February 2010
Daily News
THE Court of Appeal has sustained both conviction and life...
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.
Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa...
Wana JF naomba mnifahamishe kuhusu sheria ya upangaji kama mpangaji anataka kuhama. Je anatakiwa amjulishe mwenye nyumba muda gani kabla ya kuhama? Au mwenye nyumba akitaka kuchukua nyumba yake...
DHAMANA NI NINI?
Dhamana ni hatua ambayo mtuhumiwa wa kosa fulani huachiwa huru kwa muda, ili kusubiri hatua za kufikishwa mahakamani, au kama tayari amefikishwa mahakamani husubiri kuendelea na...
UMEWAHI KUKAMATWA NA POLISI BARABARANI?
Je, umewahi kukamatwa na polisi wakati ukiendesha gari, pikipiki au baiskeli?
zijue haki na wajibu wako !
Bila kufuata sheria na kanuni za usalama...
Heshima zenu wakuu, na poleni na majukumu ya wiki nzima.
Kuna jambo naomba kujuzwa kuhusu kubadili jina. Hii inatokana na ukweli huu "nilipokuwa std 4 tz nilihamishiwa shule huko kenya ambapo...
Habari zenu wandugu!
Kuna jamaa kaniuliza swali kuwa RB ile ambayo mtu akiripoti tukio polisi huwa anapewa kirefu chake ni nini? Sikuwa na uhakika na jibu langu lakini nilijibu nadhani itakuwa...
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425...
=========
ILANI: Makala hii hailengi wale wasio na leseni kabisa. Aidha, unashauriwa kupiga picha leseni yako ili angalau uwe na kumbukumbu ya namba ya leseni
=========
Kusimamishwa na trafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.