Wakuu naombeni msaada wenu kwani nimekua katika hali ya kujiuliza swali hili kwa kipindi kirefu bila jibu. nimekua nikisikia kua kuna watu ni wasufi, mara dini flani ina usufi ndani yake n.k...
habari za asubuhi wana jamvi nimatumaini yangu kwamba hapa ndo mwisho wa suluhisho la tatizo langu kuna maneno mpaka sasa hivi sijapata maana yake naomba kusaidiwa.
Kwa moyo mmoja nayawasilisha...
"Upo mwenyewe nyumbani usiku unaingia, unaogopa kulala ndani mwenyewe, unaenda kwa jiran kumtafuta mtu wa kuwa nae ndani ili usiogope " maelezo hayo kwa msamiati mmoja tunasemaje. Saidia jamani.
Ukiangalia katika nchi za Afrika ya mashariki ni Tanzania pekeyake mtu anayeongea english uitwa msomi.
Hii inapelekea watu kuanza kuchanganya lugha anapoongea ili haonekane msomi.
Ukienda...
Tujikumbushe kuhusu "tongue twisters" kwenye lugha ya Kiswahili. Hivi kuna neno la kiswahili la haya maneno "tongue twister"
Nakumbuka tongue twister moja ni hii:
WANAWALI WALE WA LIWALI...
Wakuu na wataalam wa lugha yetu ipi ni kauli sahihi inyapaswa kutumiwa kati ya hizo mbili, mara nyingi nimewasikia viongozi akiwemo waziri wetu mkuu wakipenda sana kuitumia kauli moja kati ya...
Wadau wa lugha naomba mnisaidie juu ya neno hili 'worry out' maana naona limeshika kasi sana kwenye mazungumzo na maandishi yasiyo rasmi(informal writings). Nashindwa kuelewa kama ni sahihi ama si...
Neno Washenzi asili yake haswa lilikuwa likimaanisha watu wote wanaotoka Bara yaani katikati ya Ziwa Tanganyika na ukanda wa Pwani, kwa maana wakati huo walikuwa hawajastaarabika na hivyo Watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.