Kwa mara ya kwanza kituo cha BBC ambacho kinarusha vipindi vyake moja kwa moja London toka mwaka 1957 hadi sasa hivi wakati naandika uzi, kwa sasa matangazo yatakuwa yanarushwa dsm Tnzania kwa...
Wanaintelligensia, leo nakuja kifalsafa, hebu tuchemshe akili katika kuambiana maana na matumizi ya maneno hayo hapo juu, ukweli ni upi na uhalisia ni upi.
Asanteni.
Habari wanaJF ningepebda kujua nini maana ya maneno yafuatayo ambayo yanatumika katika mchakato wa katiba mpya.
1-Randama
2- Bango Kitita
Ahsante naomba kuwasilisha.
Mambo. Mimi ni msomaji wa kiswahili na nataka kujua vile watu wanaongea barabarani. Ni noma kusoma hii lugha kisanifu halafu kwenda nje kugundua kwamba inatumika tofauti kabisa. Kwa mfano...
Habari za muda huu,
Nimejiuliza bila kupata majibu kwamba jina hili "kondakta" tunalotumia kwenye usafiri wa umma, chanzo chake au asili yake ni lugha gani? Nimewaza kwamba limetoka kwenye...
hii ni sehemu ya pili ya shairi nilotunga kumkumbuka Meja KHATIBU MSHINDO.
5)ULIITAMANI HAKI,WATU WAISHI KWA AMANI.
WAISHI BILA MIKIKI,NDO FURAHA DUNIANI.
ROHO YAKO ITABAKI,TWAKUMBUKA MAISHANI...
HILI NI SEHEMU YA KWANZA YA SHAIRI NILOTUNGA KUKUMBUKA KIFO CHA MEJA KHATIBU MSHINDO,ALIYEFARIKI AKILINDA AMANI NCHINI CONGO.
1>ILIKUWA MACHI MOJA,ULIPOJIUNGA JESHINI.
TENA KWA MOYO...
Umofia Kwenu wana JF,
Kuna neno "Boma" huwa linatumika sana hapa kwetu tanzania wakimaanisha ni jengo chakavu au pagale! Boma kwanza si neno la kiswahili bali ni kifupisho cha British Overseas...
Ndugu zangu hapa Dar ni chuo gani au kituo gani kinafundisha vizuri lugha ya kiingereza 'english course' cha kuongea na kuandika.
Maana naona matangazo mengi sana mitaani, redioni na tv kuhusu...
Kibanda umiza - is a local cinema where all movies are translated live to Kiswahili by a DJ, so that the audience can understand.
Baobonye - Keyboard
Neno au msemo gani wa Kiswahili uliouona...
Miongoni mwa vyombo vya habari vyenye weledi usio na shaka katika habari zake ni BBC Swahili. Nami nimekuwa msikilizaji na msomaji wa chombo hiki kwa muda mrefu sasa hasa nyakati za asubuhi na...
Ziwe mbili au tatu, Hilo Bado mgogoto,
Nina mengi nawazua, wa kunifumbua hola,
Na hata akitokea, Heko yake nitampa,
Ziwe mbili au tatu; Serikali Tanzania?
Tume yake Warioba, Maoni ilikusanya...
Kila lugha ina maneno fulani yanayosumbua wanaojifunza hiyo lugha. Nimegundua katika Kiingereza yapo haya maneno yanayotumiwa vibaya na baadhi ya watu kama ifuatavyo:
their, there, they are...
Salaam wana JF!
Kuna hili tatizo ambalo nimeliona katika jamii yetu (humu JF) na kwenye mitandao mingine ya kijamii. Nalo ni la kuchanganya matumizi ya maneno 'lose' na 'loose'. Haya maneno ya...
siku hizi mimi naona neno la jamaa. inaonekana neno ya jamaa kuna maana mengi.
1. Amekwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki. Hapa jamaa ina maana watu ambao una mahusiano nao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.