Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kuna tangazo linarudiwarudiwa sana kwenye kituo cha televisheni ya star (startv).Tangazo linahusu ubora wa king'amuzi cha continental. Anayekisifia king'amuzi hiki anatoa maneno mengi ya sifa huku...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu haya maneno yana tofauti gani?na lipi ni sahihi kutumika?
0 Reactions
7 Replies
25K Views
SEHEMU YA KWANZA Masimulizi ni zaidi ya tafakari.Sikushangazwa kwani hata michirizi ni zaidi ya mistari iliyonyooshwa kwa rula na mjuvi wa taaluma ya uchoraji kwani hutumia ustadi wa hali ya juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ILIYO SHEHENI MAUDHUI YA KUFUNZA YA KUTOSHA, UZUNI., VICHEKESHO NA HISIA ZILIZOBEBWA NA WAUSIKA MBALIMBALI AKIWEMO MR.CHEICHEI MWANADADA CPRO, DR. LADYA NA WENGINE WENGI. HII NI SEHEMU NDOGO YA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf ,tusaidiane kazi ya modal auxiliary verb.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
mm n graduate natafuta mwalimu mzur wa kiingereza atakaeweza kunibrush ili niweze kuongea english fluently.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Umofia Kwenu wana JF, Escrow ni neno ambalo limetoolewa kutoka lugha ya kifaransa,ni neno linalojitegemea halihusiani na tegeta wala PAP ni neno la kiingereza linalomaanisha "Fedha,mali,mkataba...
3 Reactions
9 Replies
10K Views
Huu wimbo huwa si-elewagi anazungumzia nin ukianza audio, pamoja na video... Song:Tubonge Artiste:Dr.Jose Chameleon lable:Leon Island Language:Swahili Tubonge ,Chameleon...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshindwa kutofautisha maneno hayo mawili,naomba msaada!
1 Reactions
7 Replies
4K Views
nini maana yaneno hili nilimsikia mbunge akilisema eti ni hamu je ni hamu ya nini isijekuwa ni matusi maana wabunge hawa dizaini ya lusinde wamepinda =========== =========== Salaam wanaMMU...
0 Reactions
39 Replies
16K Views
Katika Kitabu cha Tito katika tafsiri ya Swahili Union Version, tunaona vifungu hivi: Utauwa badala ya Utawa Nalikuacha badala ya nilikuacha Kuna yeyote anayeweza kuniambia hizi na lahaja za wapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana J-F. mimi ninajua kiswahili na kiingereza kidogo. Ninajua Raisi akiwa mwnaume mkewe ni 'First Lady' kwa kiingereza. Iwapo Raisi ni mwanamke mumewe ataitwaje kwa kiingereza?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
ok msanii ni kioo cha jamii jadili kwa kutumia riway yoyote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wataalamu wa kiswahili nielewesheni wingi wa neno uwanja ni nyanja au viwanja,neno hili (NYANJA) utumiwa na waandishi wa habari utasikia na sasa ni nyanja za kibiashara au nyanja za kimataifa...
0 Reactions
0 Replies
11K Views
mamboz,naomba mniambie maana ya neno"gubu"?
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Nimekua nikisumbuliwa sana na hili jina Albino wakati tangu nazaliwa karibia nusu karne sasa, Neno sahihi la kiswahili ni Zeruzeru. Sijaona ubaya wa neno hilo jamani. Albino sio neno la kiswahili...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
"if" huwa inanisumbua kuitumia kulingana na nyakati tofautitofauti,mwenye utaalam anisaidie please
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanini WaTZ hutumia kiambishi(?) "to" wanapotaka kukanusha badala ya "ta?" Kwa mfano, atasema, Sitokuja badala ya kusema "Sitakuja." Ni kosa au ni lahja tofauti? Kwa muda mrefu nilikuwa nikifiri...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie ni wapi nitaweza kujifunza lugha ya kiarabu?? Kulingana na nature ya mishe mishe zangu, kuna uelekeo wa kufanya biashara na partners ambao wengi wao lugha yao...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom