Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi huu ili kusaidia watu kujua virefu vya maneno mafupi tunayokutana nayo. Hii ni baada ya kusoma uzi mmoja na mtu kuuliza nini maana ya LED!
LED - Light Emitting...
Mimi Mama wawili (naamini na wengine wengi) nina nia sana ya kujifunza na kuboresha uwezo wangu wa kutumia Lugha ya Kiingereza. Nimeomba ushauri na nimepata jibu kuwa kuna washiriki wengi hapa...
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati...
Achari yalisha.
The pickle is an appetizer. Pickles make the guest relish the food. (If you need something from someone request for it in a polite and pleasant manner.)
Ada ya mja hunena...
Nimekuwa nasikia maneno haya lakini yananichanganya kujua matumizi yake sahihi.
Vukiza au fukiza?
Vundika au vumbika?
Kompyuta?
Mtandao
ila
ingawa
msanii
puchu
mkwara
mwake
chuna
mbongo
Ninayo...
Kuna ripoti fulani nilikuwa nasoma nikakutana na neno "vifaranga" ikimaanisha samaki wachanga. Ni sawa samaki wachanga kuitwa vifaranga?
Majina mengine ya watoto (vikembe) wa wanyama mbalimbali...
Hebu Pata Kumi Bora za Wahenga
________________________________________
Wahenga ni wazee wenye akili waliotutangulia maana siyo kila mzee ana akili kwa sababu hata wajinga wanazeeka. Mjinga...
Ningependa sana kujikumbusha hizi..na sina uhahika kama bado zinafundishwa shule zetu za msingi!!
Amevaa mawani =amelewa
Amekula chumvi nyingi = amezeeka
Mgaa gaa mpwa hali wali mkavu
Kipya...
Whap'am? - Hello?
The official national language of Jamaica is English although Jamaicans speak an English dialect called ''Jamaican Patois''. The communication accent can be difficult for other...
Moyo ulianza kunienda kwa kasi, viganja vilianza kulowa jasho, na koo lilinikauka nilipokuwa nikikata kona kuingia katika eneo la Hospitali ya Bombo, mjini Tanga. Moyo wangu ulikuwa umegubikwa na...
Wadau nimetatizwa na swali jepesi nadhani nimesahau ama sikuwahi kufahamu
Hivi hizi rangi kama Pink; Blue. Silver, Peach, Gray, na nyinginezo zinaitwaje kwa kiswahili?
Niondoleeni aibu...
Kwa nilivyosikia mimi neno shikamoo maana yake ni "niko chini ya miguu yako.
Pia nimesikia hilo neno ni la kitumwa na lilikuwa linatumiwa na watumwa kuwaonyesha heshima wakuu wao.
Kuna baadhi...
Kuna SMS mbali mbali za busara ambazo watu hutumiana kwenye simu za mikononi zikiwa na jumbe mbali mbali za kuelemisha, kufariji, kutia moyo, kukosoa, kukejeli, kuasa, utani na vichekesho ambapo...
Nilipata kumsikia mtu akisema hangependa aitwe "mswahili". Nikapatwa na maswali mengi kichwani kwani mtu huyu alikua mzawa, mweusi na anaishi DSM.
Kabla sijamtaka undani kwa kauli yake hii...
Kuna haja ya kujulishana misamiati mipya ya lugha yetu adhimu. Kila siku lugha yetu inakua na misamiati inaongezeka kila siku.
Hapa kuna baadhi ya misamiati, pia naomba ndugu zangu muongezee...
Kama walivyo waendesha vyombo vya moto huwa na majina rasmi mfano:
Muendesha ndege ni Rubani
Muendesha gari ni Dereva
Muendesha meli ni Nahodha
Je muendesha treni au garimoshi anaitwa nani?
Uswazi ndiko misemo inakoibukia....cheki hii misemo na weka ya kwako.....
Usijisifu una mbio, msifu na anaekukimbiza.......
Fukara hafilisiki....
Ukijenga nyumba ya vioo usianzishe ugomvi wa...
wataalamu hebu nifafanulieni hapa
binamu ndio nani kwa kiingereza?
na cousin kwa kiswahili?
na niece kwa kiswahili?
nephew kwa kiswahili????????
asanteni.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.