Habari wakuu,
Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao.
Kutokana na mada nyingi kuwa na...
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya...
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA...
1. Hisa ni nini?
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa...
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu.
BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU:
UTANGULIZI
Kuanzia...
Dinari ya Kuwait (KWD) ndio sarafu yenye nguvu zaidi duniani. Lakini ni nini hasa kinachoifanya kuwa imara, na je, Tanzania inaweza kujifunza nini kutoka kwa mafanikio ya Kuwait? Wacha tuchunguze...
Habari za uzima ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika kiukweli (cryptocurrency) pesa za mitandaoni kama sijakosea ndio suala linalokuja juu sana japo katika nchi yetu hawajaweka...
WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227.
-Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria
-_wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu...
WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI
-Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE
-_Viwanda vya Uchenjuaji...
Naam!!
Kitambo sijaandika Uzi humu. Mara nyingi ni mchangiaji ila Leo nimepata sababu ya kuandika kitu hapa labda kitawasaidia watu au kuwakumbusha tu.
Kama wewe ni mtumishi wa umma au una ndugu...
Salaam Wanajukwaa
Kama ilivyo desturi yetu Wanajf kujuzana, kuelimishana nk..
Leo ningeomba kufahamishwa kwa wenye uzoefu je kwa mtaji wa Milioni 2 naweza fungua biashara hizi mbili
1.Saloon ya...
Habari wana JF,
Natafuta duka la dawa linalo uzwa
Ambalo lina kila kitu.
Location iwe center kidogo ambapo kuna mzunguko wa biashara.
Mkoa ni Mbeya pamoja na Songwe.
Mawasiliano;0757915171
Habari za hapa waungwana naombeni niongezeeni maarifa ya uendeshaji mzuri wa kibiashara case study ni hizi biashara zangu.
Nina jamaangu muaminifu sana kwenye maisha na ni mzawa wa hapa nilipo...
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ .
Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu.
1. Vipi risk ya hii biashara?
2. Vipi wateja...
Habari ya uzima wanajanvi?
Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?
Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
Habari wakuu!
Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery...
Kuna fulsa nimeiona Oman, ya kupeleka maharage soya na Matunda pashen, nafikilia kuanza kupeleka bidhaa tajwa hapo juu kila week, kwa kuanzia ntakua nasafirisha kilo 100 kila week.
Kama unafanya...
Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)
Ni aidha
jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
Mbinu ya kukuibia wateja kwa...
Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo...
Bonito Natural Oil ni Mafuta asili yenye mchanganyiko wa mimea na viungo mbalimbali kwa ajili ya kukuza na kuimarisha ukuaji wa nywele kwa haraka.
Pia Bonito Natural Oil ni mafuta ambayo...
Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie...
Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo.
Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni...
Habari wa jf
Kuna mtu yoyote mwenye idea au kufahamu kuhusu biashara ya mifupa ya samaki, ngozi na mabaki mengine, maana kuna mahali naweza kupata zaidi ya tani 5 kwa siku.
Naomba mwenye uzoefu...
Pesa au fedha Uzalishwa wapi??
Pesa ni chombo cha kubadilishana bidhaa na huduma katika ya watu.
Katika lugha ya kiswahili. Chombo hicho kina majina kaza wa kaza
Fedha, mshiko, chapaa, na mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.