JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English. Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi...
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022 Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Nna gari aina mark x inasumbua sana tatizo la starter na power steering. Hasa starter. Jinsi lilivyo ukiliwasha Majira ya asubuhi litawaka vzuri ukitembea kuanzia kilometer 40 kuendelea au ukikaa...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Welcome to the Formula 1 official thread. Anything related to F1, you are welcome. Teams: 1. Red Bull Racing 2. Ferrari 3. Mercedes 4. Alpine 5. McLaren 6. Alfa Romeo 7. Haas F1 Team 8. Alpha...
4 Reactions
51 Replies
1K Views
Wajuzi naomba ushauri baada ya kujichanga na ni mpya ktk kumiliki usafiri. Lipi gari zuri kwa matumizi private, ukizingatia uchumi pande za spare, durability, running expences kati ya prado...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Habarini za kazi, Jana nilienda kufanya service kwenye kababy walker kangu. Baada ya service ya kawaida (kubadili oil, greasing n.k) fundi akaangalia transmission fluid (ni ya toyota ATF Type IV)...
0 Reactions
9 Replies
509 Views
Kama kichwa cha habari hapo kinavyoeleza maombeni msaada wa DIAGRAM ya ist yenye engine ya 1nz fe na ile ya 2nz fe kwa mwenye nazo anisaidie wakuu nina shida nazo kwa mwenye nazo naomba me na kwa...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Na gari ndogo ya abilia Aina ya Rosa. Inasumbua Sasa kuzima gafla. Fundi moja amesema pump za umeme zinasumbua anasema nibadili. Ila bajeti inakuja m4+. Sijaelewa. Nahitaji fundi aliyoko Kanda ya...
1 Reactions
0 Replies
432 Views
Wakuu naombeni msaada nifanye Nini kuondoa mis kwenye gari ya Suzuki Swift old model 2001 ilianza baada ya kuosha engine. Fundi amenishauri nibadilishe plug, pump lakini bado miss ipo vilevile...
0 Reactions
8 Replies
693 Views
Miami International Boat Show ni maonyesho makubwa ya boti na vifaa mbalimbali vya majini. Mashindano haya hufanyika katika mji wa Miami huko Marekani na kukutanisha makampuni ya utengenezaji...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt). Je, nini kina chagiza hili...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
=PATA UPDATES ZOTE ZA : RALLY (WRC) (ARC) (NRC) etc : DRAG RACE (Oldonyo SAMBU) (Masinga TT) etc...
7 Reactions
345 Replies
31K Views
Salama wana GT Kuna jamaa anataka kununua family car, na baada ya search ya muda mreefu amepata Honda Crossroad ila hana uhakika na upatikanaji wa spare parts, so anaomba ushauri kwenye spare...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wakuu Naomba msaada.Hii gari sijawahi kubadili Oil tangu ninunue hivyo imefika wakati nataka kuweka Engine Oil.Naomba ushauri wa Engine bora kabisa na genuine kwa gari hii. Ahsanteni
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za saa hizi wakuu, poleni na majukumu, gari yangu (corolla spacio) ilipata majanga iligongwa mbele vitu vyote vya mbele vikaharibika including fan, radiator na vyote vya mbele pale, so...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Wapi nitapata na kufungiwa Vitz compressor na Kwa bei gani?
0 Reactions
5 Replies
961 Views
Wadau! Ninaishi Chanika na ninafanya kazi Kariakoo. Ninamiliki Rav4 lakini naona inanielemea kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta. Ombi langu kwenu: Nataka kununua gari lenye CC chache ambalo...
8 Reactions
85 Replies
12K Views
Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao...
1 Reactions
6 Replies
778 Views
Naombeni kujua bei ya engine and gearbox mtumba za scania 124. Kuna mtu anataka kuniuzia lakini naona anataja bei kubwa kuliko nilivyoelekezwa na fundi wangu.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
IVI KWANINI HIZI GARI AINA YA PRADO TX,, HUWA WATU WENGI WANAZIITA MCHAGA,,,, VIPI KUHUSU UBORA, SPARE UPATIKANAJI, ULAJI WA MAFUTA N. K
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom