JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wadau, nimenunua pikipiki mpya Boxer BM 150, kwa ajili ya matumiz binafsi napenda kufahamu ni mda gani sahihi au ni baada ya KM ngapi natakiwa kubadili Engine oil. Shukrani sana.
6 Reactions
75 Replies
34K Views
Wakuu zangu nimetembea na Nissan Dualis Mpaka Musoma pasipo kupumzika na kuizima. Je, vipi kuhusu Gearbox yake kwa Skendo za kufa? Kweli imenifurahisha na imetembea sana.
5 Reactions
62 Replies
4K Views
habari za jioni wakuu, niliazima gari ya rafiki yangu kwenda nayo sehemu flani, wakati wa kuondoka sehemu hiyo nilijaribu sana kukanyaga brake ili ni push the button kuwasha gari ila ikagoma...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Naomba kueleweshwa kuhusu hizo gari kuhusiana na uimara na utumiaji wake wa mafuta. Mwenye uelewa please. Au ushauri gari gani nyingine inayofanana muundo na hizo ambayo ni economy kwenye mafuta...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..! Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii kitu tumeipanda tuliosoma Boarding public schools. Kapotezwa na kina Yutong ujinga mwingi
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Huyu jamaa huwa anatumia syllabus gani...mbona kama namna anaelezea mifumo ya engine na utendaji wa magari ni wa zamani .. Ni sawa na mm kusoma kitabu cha zaman kinachoelezea namna engine za...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu nimerudi tena, Nadhani mtakuwa mnaniona hapa mara kwa mara Kila nitakapopata changamoto Juzi kati nilipata safari ya Dodoma nikaenda na Beamer (BMW X3) na ndio ilikuwa kwa mara ya kwanza...
16 Reactions
259 Replies
13K Views
Mafundi msaada, eti gear box oil, mfano ya ist, unapima wakati engine imezimwa au iko on, naona mafundi wananichanganya sana. Msaada tafadhali.
2 Reactions
10 Replies
819 Views
Habari wadau, Mimi bhana nataka ninunue iyo gari na bajeti yangu ni 18M je show room naweza nikaipata kwa bei iyo mana Crown athelet yangu nimeiuza jana 13M sasa nimeongezea hapo 5M nataka iyo...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei. Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukiwa wewe shughuli zako Ni uchuuzi, basi chuma hiki GMC Canyon inakufaa katika shughuli zako. Double Cabin pick up, 4WD, 3,700cc, Petrol. Asante
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu Habari zenu naomba Msaada ya rpm, pikipiki yangu Ile Cc110 nimekuwa nashindwa kuelewa je rpm ina umuhimu gani na ina Msaada gani kama Dereva? Mfano nikiwa kwenye speed ya 50 rpm inakuwa...
2 Reactions
2 Replies
398 Views
Wakuu katika kuzunguka mtandaoni nimepata Suzuki Escudo 2700cc, MT, japo Bei imechangamka Ila naimudu. Mwenye kujua gari tajwa anishauri kabla sijatuma pesa. Asanteni
7 Reactions
47 Replies
6K Views
Wakuu, mwaka huu mwishoni nimepanga kufanya safari kuendesha hiyo ndinga kwenye picha kutoka Cape Town South Africa mpaka Dar es Salaam Tanzania karibia Kilomita 5,000. Kuna yeyote yaliyewahi...
12 Reactions
102 Replies
13K Views
Iwe ya diesel. Manual gear. Engine 1hz. Rangi nyeupe. Iwe katika hali nzuri both Engine na transmission bila kusahau body. Budget Mil 20
3 Reactions
11 Replies
583 Views
Naona post zake Insta akitoa maelezo kuhusu service za magari,anatoa darasa zuri sana kupitia video clip zake,hasa kwenye kuibiwa masega anayemfahamu kwa undani pliz ni fundi mzuri kwa vitendo au...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Msaada wataalam, taa za mbele zina kama vumbi kwa ndani na nataka kufuta hilo vumbi, je kuna uwezekano wa kufungua kioo nikafuta kwa ndani kisha nikagundisha tena?
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu niliibiwa na gari mwaka jana mwez wa kumi na mbili, gari ilikua na bima kubwa. Niliwasilisha taarifa yqngu bima, na uchunguzi wa polisi umekamilika lakini hakuna kilichobainika mpaka sasa...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Habar zenu Wadau[emoji8] I hope mpo pouwah na Mnaendelea na Majukumu Ya Ujenzi wa Taifa Letu. Nina ombi moja hapa. Kuna ndugu yangu yupo Arusha anahitaj gar ya kutembelea na Bajet yake ni 7.5m...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom