JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wadau mimi huwa nina tatizo moja na mafundi. Fundi wangu wa muda mrefu alipata dharura akasafiri. Nikaanza mtumia mwingine. Gari ilibadilika ulaji wa mafuta ikawa inatumia lita 1 kwa kms 6. Wife...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Wakuu habari, Naomba kuulizia magari ambayo hayali mafuta kwa siku unaweza weka lita ngapi? Mfano unaenda nalo kazini tu kila siku. Umbali wa kazini na nyumbani kwa daladala ni 1000 kwenda na...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari wadau. Kuna kitu huwa kinanitatiza kuhusu ubora wa mafuta ya gari kwenye vituo vyetu. Je hivi vituo (petrol station) zina mafuta yenye ubora sawa au kuna ambao mafuta yao yana mapungufu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Tunatoa huduma ya Diagnosis ya Gari kwa bei ya kishkaji Tsh 20,000 tu. Huduma itakua na moja au yote kati ya haya: 1. Read and Clear Check Engine Lights. 2. Read and Erase ABS & SRS trouble...
1 Reactions
1 Replies
937 Views
wadau,nilishauriwa nitumie BP kwa engine oil pamoja na hydraulic,lakin naambiwa castrol ndo nzuri,naombeni ushauri
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Nimeambatanisha picha...icho chekundu, kilichoanfikwa MANU, POWER
0 Reactions
61 Replies
18K Views
Wadau heshima kwenu. Naendelea kupata maoni yenu kama kawaida, naomba kwa mwenye uzoefu wa hizo gari tajwa hapo juu aniambie nini hasa utafauti wake hasa kwenye 1. Ulaji wa mafuta..wastani km...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nimezipenda hizi gari ni ndogo kimuonekano kama bajaji vile unaweza penya kwenye foleni, zina engine ndogo hivyo kuwa na matumizi madogo ya mafuta pia. Je kuna mwenye uelewa zaidi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali...
3 Reactions
104 Replies
14K Views
Habari za asubuhi wana jamvi... Naomba kujuzwa madhara yakuzidi engine oil kwenye gari...namaanisha ikiwa ikezidi kile kipimo cha full...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Nilikuwa nauliza kwa wanaoijua aina hii ya rav 4 kunijuza juu ya uimara wake kwenye road na maintainance yake
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Jamani napenda kujifunza nna kagari kangu nnako mwaka sasa kapo sawa ila napenda kufahamu ni sehemu gani huwa inasumbua ili niwe makini na service ndogo nafanya after 3000 km. Kwa wale wazoefu plz...
1 Reactions
38 Replies
13K Views
Natafuta front bumper lip nyeupe ya toyota altezza kama ya picha below.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
-Alternator ya Harrier new model yenye engine 2AZ -Battery ya gari 12V N50 Nahitaji bei ya hivyo vitu vikiwa vipya na vikiwa used Natanguliza shukrani.
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari zenu wanajukwaa, naombeni msaada wa taratibu za kufata ili niweze kubadilisha taarida za umiliki wa gari ninalotumia.
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari wana jamvi? naomba kuwauliza hasa wataalam wa umeme wa tattzo la gage kwenye dashboard(cluster) za nissan patrol yenye main na sub tank husabishwa na nn? na linatatuliwa kwa ambao...
0 Reactions
7 Replies
932 Views
Wakuu naomba ufafanuzi juu ya matumizi sahihi ya spliter kwenye magar makubwa hii ni baada ya ubishi mkubwa uliojitokeza.. Wengine walidai unaweza tumia spliter kwenye gia zote kuanzia 1-6 kwa...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Nimejichangachanga nimepata 12M, je naweza kuagiza gari tajwa hapo juu kutoka Japan. Pia, ukiacha makampuni ya Beforward na Tradecarview, nani wengine wenye huduma nzuri na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua ubora wa hizi gari kama kuna mtu ameshawai kuzitumia tafadhari hasa kwa barabara za vumbi.
1 Reactions
22 Replies
11K Views
Tunaambiwa tukiwa angani haturuhusiwi kufungua vioo. Ila hawa jamaa wa mbele wanafungua bila shida.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom