JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Hello ndugunina tatizo nahitaji mnisaidie, Nna Gari yangu Toyota premio ambapo imekuwa ikitetemesha mguu unapopunguza mwendo hasa ukiwa kuanzia speed 60 Tatizo hili limedumu kwa miez miwili sasa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Niliparalyse mguu na mkono wa kulia.Nimejaribu kuendesha baiskeli nimeshindwa. Kwa mguu na mkono wa kushoto pekee naweza kuendesha gari?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwema ndugu zangu? Gari yangu ni runx inagonga sana mguu wa kulia wa mbele nikiingia rough road. Nimepeleka kwa fundi akasema nibadilishe shockup lkn bado inapiga kelele yani inagonga sana...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naombeni ushauri kujua ni engine gani za Toyota chini ya cc2000 ambazo hazisumbui na spear zake ninapatikana kwa wingi na kwa bei rahisi? Wengine wanasema ni 5E kama za Toyata Raumu na wengine...
1 Reactions
19 Replies
11K Views
Msaada wakuu, maana nishatembea mwaka mzima, uwa namwaga Oil ya Engine tu.. Pia service gani nyingine natakiwa kufanya maana chombo bado hiko Poa, si mnajua ki gari cha kwanza wakuu, kwaiyo mambo...
4 Reactions
14 Replies
9K Views
Gari ilipata ajari, engine inawaka kama kawaida, hub ya nyuma kushoto imeng'oka na bodi ndiyo kama hivyo. Zipo gereji wanaweza kulirudisha gari kwenye muonekano wake wa awali? Msaada tafadhali...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Ndg wapendwa naomba kusaidiwa juu ya tatizo nililokumbana nalo kwenye gari aina ya nissan vanete, gari hii ilikuwa nzima lkn kumetokea miss ambayo imeshindikana kutoka chanzo ni kwamba pale...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Msaada nawezaje kununua gari online kutoka Japan ikanifikia Tanzania? Je, ni njia salama? Naweza kufanikiwa? Kwa maana naona gari mtandaoni ni gharama ndogo sana ukilinganisha na zinavyouzwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Members nimetokea kuipenda hii gari muundo wake nataka kumuagizia wife nauliza kwa yoyote mwenye kuijua vema Je, kwa mazingira ya Tanzania itafaa? Spear zake upatikanaji wake upoje? Kuna mafundi...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu wangu nawasalimu. Naomba kujuzwa Garage Gani nzuri isio na usumbufu ambayo naweza peleka kiatu changu kilicho pata ajali na kukipaki home Kwa zaidi ya miez kadhaa kwa ajili ya kujichanga...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu ya siku nzima? Wadau ningependa kujua ubora wa hizi gari katika nyanja tofauti tofauti kama vile:- 1. Ubora wa engine, body na gear box. 2. Upatikanaji wa spare...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habarini wataalamu, Naomba ushauri kati hizo mbili gari ipi ipo vizuri katika vipengele vifuatavyo: 1. Uimara wa bodi 2. Gharama za spare zake. 3. Inaweza kwenda safari ya km 600 (mara moja kwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika? Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Kwa mkoa wa Dar es Salaam, ni zipi kampuni best kwa kukodisha magari? Na je mtu anaweza kupata choice ya magari yafuatayo: - Range Rover - Audi - Landcruiser V8 Natanguliza shukrani...
5 Reactions
11 Replies
6K Views
Pikpiki yang nkiwasha inaonyesha alama nyekundu picha yake hapo chini hii alama kila ninapoiwasha hali ambayo mwanzo haikuwepo naombeni msaada wa kujua kama kuna kitu kimeharibika ama service ya...
1 Reactions
7 Replies
763 Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema! Nimenunua gari kwa mtu ambaye naye alilinunua kwa mtu na hakuwa amefanya mabadiliko ya kadi. Nia yangu ni kuwa na kadi ya gari kwa jina langu. Kadi bado...
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Zimepita siku 515 toka Kampuni ya Tesla kutangaza kuwa gari yao aina ya Tesla Roadster imeanza safari kuelekea Mars. Mpaka kufikia Mwaka jana gari hio ilikua ishatembea maili milioni 179 Kwa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
IST/Vitz/Swift/Honda Fit Ninamiliki moja kati ya hizo babywoka. Nachotaka kujua ni je: Gari yangu itakua na matatizo sehemu ama ndio kawaida ya hizi babywoka. Siku za weekend demu wangu huwa...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Gari ukiendesha vizuri inatumia mafuta vizuri hadi unashangaa. Kuna kipindi huwa unaweza kupata hata km20/lita kwa gari ya CC2000. Ila haichukui muda inarudi kwenye 10-12km/l. Kuna sehemu huwa...
8 Reactions
147 Replies
46K Views
Back
Top Bottom