JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari za leo wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nimejichanga nataka kununua gari ambalo ni Nissan Note, ila kuna mtu amenishauri nichukue Corolla Fielder. Kwanza nianze...
1 Reactions
32 Replies
11K Views
Habari wakuu, Hii taa ya bluu Ina maanisha nini? Imekuwa ikiwaka muda ninaowasha gari na inapotea baada ya gari kutembea kidogo Naomba kujuzwa ina maana gani?
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Juzi kuna mteja alituita kuwa gari yake aliipaki na kuingia kwenye supermarket kupata mahitaji yake. Ila baada ya kurudi kwenye gari haikuwaka kabisa, ingawa taa zilikuwa zinawaka, radio inafanya...
10 Reactions
3 Replies
1K Views
Toyota IST inatambuliwa sehemu nyingi ulimwenguni kwa kuwa gari ndogo inayo mtosha kila mtu. Matairi yake madogo, pamoja na engine yake inayotumia mafuta kidogo, humfanya mtumiaji Kutokua na hofu...
3 Reactions
60 Replies
17K Views
Wakuu nami nataka kumiliki usafiri wangu kwa mara ya kwanza kwa matumizi ya kawaida ya kifamilia, route za mikoani mara moja moja Dar - Kahama au Dar - Mbinga. Je ipi itanifaa zaidi kati Toyota...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa. Gari yangu ni Corolla Runx Engine NZFE1 vvTi. Nimetoka kubadirisha oil (BP) kama 100km zilizopita. Tokea siku ya Alhamis sijaliendesha hadi jana siku ya Jumanne...
0 Reactions
56 Replies
17K Views
Jamani wanajamvi Mambo vipi. Msaada, ninakigari changu Aina ya VEROSSA kilikuwa kinazingua mis mis, nkakipeleka KWA gereji, wakamwaga Hydrolic na kuweka nyingine lakini haikusaidia, Mara ikagoma...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Inakuwaje wanajamvi! Toyota ni nouma yani sheeda hatari Aisee. Watu wanaidharau sana Toyota. Mjapan akaamua kuwanyamazisha watu. Katoa kitu kikali sana ambacho Kilianza kutumika July 2020 ni...
6 Reactions
43 Replies
6K Views
Habarini wadau, nisaidieni kupata used STARTER kwaajili ya Clavia Vitz au kile kikombe chake tu.Nipeni offer jamani.0787504002
1 Reactions
6 Replies
858 Views
Wakuu..salaam.. Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu,!!baada ya kusafiri takribani week mbili na kuacha nimepaki gari yangu,nimerudi na kukuta battery ipo down kabisa hivyo kunilazimu...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Ship Bunkering-Huu ni ujazaji wa mafuta katika meli kutoka meli moja kwenda nyingine yenye huitaji au vilainishi (lubes).Meli ujaza mafuta kama ilivyo kwenye gari ambapo gari uenda kituo cha...
10 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za saa hizi members wa forum ya magari. Najua humu kuna wazoefu wa Gari aina ya Ist. Ndio gari yangu ya kwanza nnayotaka kuinunua kwa sababu tatu. I. Utumiaji mdogo wa mafuta (nachukua...
13 Reactions
57 Replies
7K Views
Habarini wadau, Nimenunua gari used kutoka japana mnamo mwezi wa 5, mpaka sasa nimetembea km 700, sijabadilisha tyres, ninataka niende safari ya mkoani kuna mtu akaniambia itabidi nibadilishe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting? Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver? Nataka...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu naomba ushauri wenu especially kwa anaejua. Nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza, naishi Nyasa Ruvuma ambako barabara ni rough Sana. Naomba kujua gari gani dogo la bajeti rafiki linaloweza...
2 Reactions
41 Replies
11K Views
Anaejua kubadilisha lugha katika radio ya Gari au kama kunasoftware nisaidiwe Gari in Subaru impreza yako ya nyani...nawasilisha.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu Jioni hii ya saa moja dereva wangu amenipigia simu kuwa gari la polisi wamegonga gari langu kwa kupiga pasi Gari langu linalofanya kazi ya daladala kati ya mbezi na mlandiz jioni...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu wa jamvi habari zenu, Naomba kuuliza tofauti haswa ya hizi engine mbili. Yenye turbo na isiyo na turbo zote zikiwa na Cc 1990. Nahitaji kufanya uchaguzi sahihi. Nafahamu Turbo inakula sana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ya mida hii wana Jf Nina gari yangu Passo,jana baada ya mvua mvua hizi zinazonyesha hapa mjini Dar,mara taa ya check engine imeanza kuwaka,sielewi tatizo ni nini,nikajua labda nikiizima...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Nahitaji Tyres used ambayo toka itengenezwe haijafikisha miaka 5. Iwe haijachongwa. Size 235/70/15. Ushauri wa kununua mpya kaa nao. Nmesema nataka used. So usilete habari za kike. Maana wadada...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom