JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
wakuu naomba msaada wa kuweza kujua garage zipi ziafanya diagonisis ya engine ya gari?
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Maisha kila siku ni changamoto ila mpaka ukutane na changamoto hizo. Asilimia kubwa ya magari yetu tunapenda kutumia mfumo wa key remote ndio habari ya mjini. Lakini ni hatari kama usipokuwa...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Hizi ni Gari Aina tatu tofauti lkn mm nimeshindwa kuelewa utofauti wake labda naweza kutofautisha kwa muonekano lakini sio kuwa ubora ukubwa wa engine na uimara wa hizo Gari. Mwenye uelewa naomba...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Napenda kujua vizuri utofauti wa haya magari new model iko vipi? Na old model iko vipi 1.kimuonekano 2.ukubwa wa engine 3.mwaka wa kutengenezwa 4.wastani wa bei kwa hapa Tanzania Napenda kujua...
4 Reactions
23 Replies
11K Views
Habari za leo ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nataka nikasomee udereva hasa lengo likiwa nikusafirisha abiria yaani kuanza na magari kama cruiser na Coaster (Manual) na kupata...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wadau. Napenda nifahamishwe zaidi kuhusu hii gari, kuna mtu anataka tufanye biashara. Kwa mnaozijua hizi gari zina changamoto gani na zina ubora au uzuri gani?!
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu, Kuna jamaa anataka kuniuzia Corolla yenye muundo Kama wa harrier kiaina, engine 5a afu manual namba B, ushauri wenu hizi gari ni nzuri? Changamoto zake ni zipi?
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Msaada wadau, Kuna Gari nimeipenda ipo zanzibar na muhusika anasema Gari imekaa Miaka 2 kule, ni cc 1800 Toyota celica, nilipomuuliza kuhusu kodi akasema haizidi 2m kitu ambacho nimepata mashaka...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Vipi wakuu? Nimeanza kujifunza kuendesha gari, ninawezaje kumudu kukata kona kwa uzuri kabisa bila shaka? N akuhakikisha ninakaa kwney line yangu bila kukwangua pembeni. Nipo ninasoma komenti.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya mtanange wa kuelekea katika ukurasa mpya wa teknolojia endeshi ya Magari ukiongozwa na mshika mwenge "Tesla Motors" hatimae mwaka 2020 ulikuwa mwaka wa mapinduzi sana ambapo asilimia 80...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza. Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza...
9 Reactions
21 Replies
4K Views
Nataka kujua kuna madhara gani yatajitokeza katika gari yangu endapo nitatoa Resonator tank? Kwa ambae haijui hii resonator ni kitank flan kinakaa chini ya battery pale kimeungwa na mfumo wa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu kama unataka kuvuta chuma ambacho kipo vizuri kwenye barabara kati ya toyota ALEX na IST, ipi ya kununua wakuu? Toyota IST Toyota Alex
2 Reactions
86 Replies
16K Views
Jamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nina Subaru legacy ambayo matatizo yake yalianza mara baada ya kubadilisha timing belt, baada ya hapo cylinder head ikaliwa, baada ya kubadilisha nayo tu baada ya masaa machache...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimeona tangazo la TBS(Nimeli attach hapo) kuwa kuanzia mwezi March mtu akiagiza gari kutoka nje,halitakaguliwa hukohuko nje Utaratibu uliopo sasa ni kuwa gari inakaguliwa hukohuko nje kupitia...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Mwanzoni gari yangu ya Vitz nilikua nikiwasha then nikaweka kwenye D pasipo kushusha hand break chini?huwa haisogei mbele?? Ila nashangaa leo nimeweka D then hand break ikiwa bado imesimama ma...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Niliwah leta hii mada mm nina marafiki wengi Na kila anaetaka kuendesha gar langu anaeendesha kwa kadri alivoelekezwa. Je uendeshaji wa gar Miguu miwili ni nini atahar au faida tofauti na mguu...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Nmeona gari nyingi sana zikepigwa misumali flani hivi ya silver milangoni,madirishani na sehemu mbalimbali za gari. Sijaelewa huu ni urembo wa aina gani. Nmeuliza nimeambiwa mnaita "libiti" Pia...
11 Reactions
18 Replies
4K Views
naombeni msaada wa piki piki hizi mbili kati ya toyo 150 na boxer bm 150 , mimi ni mpenzi sana wa piki piki toka india kama hyo boxer nataka nunua kwa ajil ya mbishe zangu za mjin na mara moja...
0 Reactions
46 Replies
14K Views
Back
Top Bottom