JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wakuu? Napenda hili gari Toyota RAV4 1998 ila nimeshindwa kutofautisha kati ya RAV4 J V na RAV4 L V. Naomba mwenye uzoefu wa kujua tofauti ya hizi gari ni nini, nataka kujua ili nikanunue...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Ndugu zangu habarini Nataka kununua gari lakini nipo dilemma lipi nichague kati ya hizi mbili kulingana na maisha yetu, uimara ,upatikanaji vifaa pamoja na uzuri. Baada ya kuchuja nimepata gari...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Wakuu, Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa. Asante
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga...
2 Reactions
119 Replies
20K Views
  • Redirect
Habarini wadau wa JF natafuta pikipiki ya kufanyia mishe za boda boda ila kwa sasa sina ufahamu mzuri wa ubora na changamoto za hayo makampuni. Hivyo kwa mwenye uwelewa naomba anijuze. Natumaini...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu habari zenu nyote... Mimi natafuta garage au mafundi bora kabisa wa bodi kwa ujumla wake kwa maana ya kunyoosha na kupiga rangi upya + engine katika jiji la Mwanza.... Nimepata taabu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu salama? Kuna gari nataka ni import imesimama sana nmeipenda ni toyota ist ila hapa sijapaelewa kwenye picha. Mafundi nielewesheni shida ni nini? Nisije nunua gari kumbe mbovu. Kwenu mafundi.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu leo asubuhi, gari iliniletea usumbufu, tatizo ni steering kuwa ngumu sana kama naendesha fiat, na kwenye dash board likatokea neno P/S hapo tatizo nini. Nifanye nini?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
Wakuu salama? Kuna gari nataka ni import imesimama sana nmeipenda ni toyota ist ila hapa sijapaelewa kwenye picha. Mafundi nielewesheni shida ni nini? Nisije nunua gari kumbe mbovu. Kwenu mafundi.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nataka kujua tofauti kati ya crown athlete na royal ni upi? Toyota Crown Athlete Toyota Crown Royal
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu, naagiza gari hapa kutoka Japan, Harrier tako la nyani ya 2008 kwa usd 5700, km 61k, je nilipie ama napigwa. Naomba uzoefu wenu kwenye hili. Ahsante
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu katika jina la jukwaa hili.Nina changamoto fulani ambayo ningependa mnisaidie katika haya masuala ya uendeshaji wa magari ya automatic. Mimi sina mda mrefu tokea nijifunze...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Wadau nataka kubadili matumizi ya ka-IST kangu kawe cha biashara, angalau kanisaidie kupunguza ugumu wa maisha. Naomba mnisaidie taratibu nazo takiwa kizifuata katika kufanikisha hili katika...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu naomba msaada wa kuweza kujua garage zipi ziafanya diagonisis ya engine ya gari?
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Maisha kila siku ni changamoto ila mpaka ukutane na changamoto hizo. Asilimia kubwa ya magari yetu tunapenda kutumia mfumo wa key remote ndio habari ya mjini. Lakini ni hatari kama usipokuwa...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Hizi ni Gari Aina tatu tofauti lkn mm nimeshindwa kuelewa utofauti wake labda naweza kutofautisha kwa muonekano lakini sio kuwa ubora ukubwa wa engine na uimara wa hizo Gari. Mwenye uelewa naomba...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Napenda kujua vizuri utofauti wa haya magari new model iko vipi? Na old model iko vipi 1.kimuonekano 2.ukubwa wa engine 3.mwaka wa kutengenezwa 4.wastani wa bei kwa hapa Tanzania Napenda kujua...
4 Reactions
23 Replies
11K Views
Habari za leo ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nataka nikasomee udereva hasa lengo likiwa nikusafirisha abiria yaani kuanza na magari kama cruiser na Coaster (Manual) na kupata...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wadau. Napenda nifahamishwe zaidi kuhusu hii gari, kuna mtu anataka tufanye biashara. Kwa mnaozijua hizi gari zina changamoto gani na zina ubora au uzuri gani?!
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu, Kuna jamaa anataka kuniuzia Corolla yenye muundo Kama wa harrier kiaina, engine 5a afu manual namba B, ushauri wenu hizi gari ni nzuri? Changamoto zake ni zipi?
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom