JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wadau habari, Mwezi uliopita kupitia STB JAPAN niliweza kuagiza gari tajwa kwenye tittle from abroad bahati nzuri imefika ipo bandarini so kuanzia this week ntaishughulikia malipo yote bandarini...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Naomba mnishauri ni gari ipi ndogo nzuri kwa barabara za shambani zenye mashimo na matope wakati wa mvua.
0 Reactions
35 Replies
9K Views
  • Redirect
Catalytic converter theft on the rise in the UK Increased precious metal prices have driven a rise in the number of stolen catalytic converters in the last year Catalytic converter thefts are...
2 Reactions
Replies
Views
Habarini wapendwa kwema!!! Nina gari yangu aina ya Toyota corolla fielder shida kubwa kila nikiiwasha inawaka halafu inazimika nikirudia tena bado inazimika, ila ukiiwasha halafu ukaikanyangia...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu habar zenu. Hivi kati ya lubricant/oil kati ya kampuni ya TOTAL na CASTROL ipi ni nzuri na ipo juu ya mwenzie? Hapo namaanisha quality. Naona watu wengi wanatumia total kuliko castrol. Ipi...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Karibuni wamiliki wenzangu wa Mazda, tupeane changamoto za magari yetu. Mimi namiliki premacy.
1 Reactions
43 Replies
13K Views
  • Redirect
Wakuu mambo vipi? Toyota Rumion yenye cc 1490 hutumia mafuta kiasi gani per kilometer?
1 Reactions
Replies
Views
Wasaalam ndugu wa jf garage. Katika kupita pita mtandaoni nikabahatika kukutana na anime ya initial d ambayo inahusiana na kijana wa kijapan aitwaye takumi fujiwara ambaye anatokea katika...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni mautaalamu hapa hivi ni nini kinafanya huo moto unatokea hapo nyuma? Nimewatch sana hio video, ila bongo kuja kumiliki hzo ndinga tunasafar ndefu sana.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani mwenye uzoefu wa hizi gari Nissan Hard Bord D22 hii huwa kuna muda ukiiwasha inaweza ikaenda vizuri ila katikati ya safari ina poteza nguvu mpaka uizime uwashe tena na kuikanyaga lesi ndipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajuzi ebu mnisaidie hapo, nahitaji moja ambayo ni durable, imara, less consuming(fuel), availability of spare na ziko cheap. Dukani hawaaminiki Sana wanasema kulingana na bidhaa walizonazo...
0 Reactions
2 Replies
536 Views
Wadau, Naomba mnijuze Kwanini gari yenye cc zinazofanana zinaweza kuwa na speed tofauti? Kwa mfano za ki-Japan mwisho 180km/h wakati za Ulaya (Germany) zipo mpaka 240. Je, ni kitu gani...
1 Reactions
1 Replies
830 Views
Wapendwa, Gari yangu ina tatizo Hili, ikiwa kwenye mwendo halafu ataka kuongeza/kupunguza mwendo gari haiendi inajiresi kwanza kidogo ndio iachie. Inakuwa kama nimeshika breki huku nimekanyaga...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba ushauri nini nifanye gari yangu nissan tiida wametiunga ule unga unaokaa kwenye exhaust muungurumo umekuwa mkubwa je ninaweza kuipata ingine hata ya kuagiza au hazipatikani au nifanyeje...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari jaman, Naomba kueleweshwa vizuri juu ya huu utaratibu mpya wa bima za vyombo vya moto, Je? 1. bei ya bima ndogo imebadilika? 2. tunakata io bima kwa hawa hawa mawakala au ni hadi bank...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Hivi gari ya cc 990 na cc 1290, zina tofauti gani kwenye suala la kupiga masafa marefu? Maana wengine wanasema kama gari engine capacity yake ni ndogo huwezi kwenda nalo masafa...
2 Reactions
121 Replies
17K Views
  • Redirect
Habarini ndugu, nilikuwa na mpango wa kununua gari aina ya IST, ghfla nimetoka kuvutiwa sana na izi gari aina ya nissan dualis, nikaona ngoja kwanza niwashirikishe ndugu zangu humu ili kujua...
1 Reactions
Replies
Views
Nilikuwa naendesha kila mara inafika stage gari inadecelerates na kuzimika, ukiwasha inawaka unakimbia kidogo inazimika, nimefanya hivo mara nyingi mpaka nikafika safari ya km 45, fuel ilikuwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada mwenye kufahamu bei ya power steering leak ya Nissan tiida ni kiasi gani? Nissan Tiida
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kuuza magari huko duniani, nimegundua ukiachana na Toyota na Magari ya ulaya bei zake sio rafiki kwetu dunia ya tatu Nimegundua Mazda wana brand nzuri za...
11 Reactions
210 Replies
42K Views
Back
Top Bottom