JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kwa mwenye kufahamu bei ya pikipiki tajwa kwa Dar anisaidie, sipo Dar ila kama ni muuzaji na una reasonable price tutawasiliana na kusafirisha!
0 Reactions
19 Replies
28K Views
Wakuu, Naomba taarifa kuhusu hii VW MODEL Nini mapungufu yake ya mara kwa mara (common problems)? Strength zake ni zipi? VW Tiguan
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Naulizia bei ya kile kitaa kidogo cha chini cha harrier upande wa nyuma Picha
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna hatua sita za kufuata ndani ya dakika mbili tangu kupasuka tairi ambazo unapaswa kuzifuata. 1. USIHAMAKI wala Kukanyaga Breki, tulia kwanza kwa sababu mara baada ya kupasuka tairi gari lako...
14 Reactions
40 Replies
8K Views
Kiukweli mi naikubali hii gari, kwanza mwonekano wake ni Luxury halafu pia iko tough kwa masafa marefu. Wadau mnasemaje kuhusiana na mambo ya kiufundi, ubora, bei, na mengine mengi juu ya hii gari?
2 Reactions
39 Replies
16K Views
Habari. Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi. Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na...
4 Reactions
51 Replies
9K Views
Baada ya kupambana na toyota/mjapani kwa muda mrefu (tunajua anasaidia kujenga barabara zetu lakini yeye pia anapata $$ $ za kutosha kutoka ununuzi wa magari yake). Ni wakati wa kuabdili upepo na...
4 Reactions
28 Replies
8K Views
Wakuu naomba tusaidiane kujua uimara na udhaifu wa hio gar mana nimeiona nikasema ngoja nishee nanyi hapa ili wadau muidadavue hasa kwa wale wenye nayo Ina cc 1340 hivo najua kuna wadau wanaweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wangu! Nilihitaji ushauri kati ya battery na maji na dry ipi itanifaa natanguliza shukran
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Wakuu kuna jamaa yangu anatafuta wanapotoa kozi za magari makubwa ya kusafirishia mafuta na mizigo kwa gari kubwa anataka kujifunza kuendesha hayo magari kwa anaejua au anahusika msaada...
0 Reactions
30 Replies
15K Views
  • Redirect
Habari wana jf hivi Kwa mwanza Kuna chuo cha kufundisha matumizi ya hii diagnosis kama kipo nijuze kipo sehemu gani
0 Reactions
Replies
Views
Gari ina namna moja tu ya kufidia endapo nguvu itazalishwa kidogo, ambayo ni kuongeza kiasi cha mafuta. Engine ya gari ili iweze kuzalisha nguvu iliyokusudiwa ni lazima kuwe na mafuta, Cheche...
11 Reactions
7 Replies
2K Views
Sijajua kama na tabia za madalali wa vitu vingine zipo hivi. Lakini nmewalenga sana madalali wa magari. 1. Lower your expectations. Huwa mnakuwa na matarajio makubwa sana mkishapata mteja...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habar za weekend, Ndugu yenu nimejichanga nataka na mimi nimiliki gari na hii ndo mara yangu ya kwanza kumiliki usafiri. Nimeona kabla sijafanya maamuzi nije kwenu wakuu mnishauri mawili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Milango ya abiria ya noah road tourer, ikifunga haibani vizuri, hata mifumo ya umeme haifiki vizuri, ukifunga kuna uwazi, shida inaweza kuwa nini wataalam na ufumbuzi wake ni nini?msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
654 Views
  • Redirect
Nitakufuata popote ulipo pindi upatapo Changamoto yoyote inayohusiana na umeme katika gari nitaifanyia diagnosis na kuilekebisha My no.0659-717838
1 Reactions
Replies
Views
Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,, sijui ndio ushamba au ndio kukosa maarifa ya kibiashara (business strategies"), au ni ulimbukeni!!??? Kusema ukweli nashindwa...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Nimejichangachanga nimepata 5.5m kuna mhindi nilisoma nae chuo anataka kuniuzia Toyota fielder ambayo ni plate number A, plan yangu nilitaka hasa Ist, Sienta au Rav lakini bajeti...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Back
Top Bottom