JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari za majukumu ndugu zangu nauliza wapi naweza kupata engine ya pegeout 504 sr saloon plus gear box yake used well mantained in a good condition na price niko moshi Asante sana.
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Tofauti ya Harrier na Rav 4 Old Model 1. Uundwaji na Moboresho Harrier iliundwa baadae miaka ya 1998 ikadumu mpaka 2002 wakati Rav 4 iliundwa miaka ya 1995 ikadumu mpaka 1999. Hivyo Harrier...
15 Reactions
20 Replies
7K Views
Bado watu wa Subaru tuna tatizo na genuine parts hasa mpya, natafuta brake shoe OG za forester sh5 2008 , nipeni machimbo wakuu. Pale Kinondoni 0-60 zipo chache na sio zote.
2 Reactions
3 Replies
690 Views
Wakuu salama? Juzi nilipata crush ikapelekea rim kuvunjika na tairi kubast, ila nikasikia kuna wataalam wanaunga rim inakaa vzr tu. Swali langu ni kwamba Je? Ikiungwa inafit vizuri kabisa...
5 Reactions
91 Replies
7K Views
Habari za muda huu rafiki na jamaa, Mimi napenda kujifnza ufndi wa pikiki, lakini sijui ni aina gani ya pikiki ukijua kuztengeza huweza kuleta kipato zaidi na kujifnza huko huweza kuchukua muda...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada wakuu, gari yngu ilikaa pasipo kuwashwa Kwa almost a year, Leo nilikua nataka kuiwasha ikakataa so nikaita fundi umeme na engine. Baada ya kuhangaika sana computer ya fundi umeme imeleta...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Naomba kujua faida na hasara ya gari tajwa hapo JUU ,,pia gharama zake kwa ujumla
0 Reactions
Replies
Views
Wasalaam, Leo ningependa kuiongelea kidogo gari tajwa hapo juu ambayo ni miongoni mwa gari pendwa kwa wengi kutoka kwenye kampuni ya Toyota. Toyota Allion ni gari ndogo (sedan/saloon car) yenye...
5 Reactions
10 Replies
12K Views
  • Redirect
Natamani kupata dondoo kuhusu hii gari
1 Reactions
Replies
Views
Eti wakuu. Huku kwenye jua la kutosha, gari ya umeme haiwezi kutumia umeme wa jua? Inatembea na panels za solar juu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimatumaini yangu wote niwazima, nina Toyota Allion ambayo in a ratio lakutetemeka pindi ukiwasha a/c. Nilijaribu kupeleka kwa mafundi wakaniambia nibadilishe compressor na...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Wanajamvi na wazoefu naomba kujua nitumie kitu gani kusafisha tope lililoganda chini ya gari, kwenye engine, oil sump na sehemu zingine. Kwa presha washer imeshindikana kutoka. Msaada tafadhali...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ambaye niko jiji Dar es Salaam katika harakati za kutafuta pesa nmefikiria kununua boda boda ili niweze kujiongezea kipato lakini kutokana na boda boda mpya kuwa gharama sana...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Salaam. Naomba Kujua Faida za Injini ya Petrol pia za Diesel. Na Je, ni Injini ipi bora kati ya hiz mbili. Interms of Durability na Performance. Naombeni Michango yenu.
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Wana JF habari, Naomba kuuliza engine ya 5a cc 1490 kuwekwa kwenye body ya fav 4 short chesis. Je, gari inaweza perfom vizuri? Na nn madhara yake
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii Tesla Cybertruck inabadili tafsiri ya gari kwa karne hii. Hii gari kimuonekano ni kama SUV lakini hili ni Pick up!. Cha kuipa sifa zaidi yenyewe ni EV - electric vehicle lakini imeweza...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Redirect
NIAGIZE IPI KATI YA TOYOTA RACTIS, SIENTA NA SPACIO? Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari Swali kama lilivyoulizwa na mmoja wa wateja wetu. Majibu yako pichani
7 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
IJUE VOLVO XC 90 Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari Utangulizi Gari hii yenye inayotengenezwa nchini Sweeden, iliingia sokoni kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ikishindanishwa na Mercedes...
9 Reactions
Replies
Views
Wakuu naulizia vile vifaa vya kuweza kudetect na kufanya diagnosis ya gari ndogo mwenye ujuzi navyo.. Nimepata access ya kununua China, ila sijajua ipi inaweza kuwa nzuri zaidi.. mwenye picha au...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
IFAHAM TOYOTA PROGRES- kwa ufupi Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagiza Magari Utangulizi Gari hii ndogo ya starehe ilizalishwa miaka ya 1998- 2007. Mshindani wake ni Lexus IS ingawa Progress...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom